In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

makamanda wa UVCCM dodoma wasimikwa leo

Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Pius Msekwa akiwahutubia vijana jana mjini Dodoma leo juu ya umuhimu wa kushikamana na kujenga umoja wakati wanaelekea katika Uchaguzi Mkuu, mara baada ya kuwasimika Makamanda wa UVCCM wa wilaya zote za Dodoma na Mkoa katika Sherehe zilizofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM Taifa mjini Dodoma.
Makamanda wa CCM wa wilaya na Mkoa wa Dodoma. Toka kulia kwenda shoto ni Mh. Hezekiah Chibunje,huyo ni Kamanda wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, anyefuata ni Mh. Zabein Mhita yeye ni Kamanda wa UVCCM Kondoa Kaskazini, Mh. Job Ndugai, Kamanda wa UVCCM Kongwa na Mh. Laurent Hoya yeye anakuwa Kamanda wa UVCCM Chamwino.

Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    HUU NI UKAMANDA WA KITU GANI? JAMANI WATU BADO WANA ZILE MENTALITY ZA ZAMA ZA CHAMA KIMOJA..JE KUWA KAMANDA INA UMUHIMU GANI KWA WATANZANIA?

  2. Anonymous Anasema:

    Hivi kwa nini kila mara unapokuwa ni mwaka wa uchaguzi, UVCCM huteua makamanda wao tena ambao ni wabunge waliopo au wale wanaoutafuta ubunge. Jambo hili huwa linaleta mtafaruku ndani ya CCM kuliko. Hivi ina maana mtu unaechaguliwa kuwa Kamanda ni automatic utapigiwa kura ya maoni ya kuwa mgombea kwa niaba ya CCM? Tumeshuhudia juzi juzi wakati mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Elisa Mollel alipoachwa kuchaguliwa kuwa Kamanda alivyosababisha vaga kwa vile aliyechaguliwa Ndugu Mideye kaonyesha nia ya kugombea ubunge.Nini hii

  3. Anonymous Anasema:

    sasa huu ukamanda tena wa kazi gani jamani
    mbona mnataka kutuua njaa tu .kiru na mashisha!!! mimi nazani tanzania tupo hivi kwa sababu wote si ni wageni tumechanga nyika changanyika wazawa awakusoma adi leo wanacheza ngoma.humu ndani kuna wa south , wakongo, wanalawi ,wakenya, WA ZENCHI,WAKAMEROONI ,WAPOPO,.CHUKUA TAPIA ZA WATU WOTE AWA NDO SISI WA BONGO .HIYO NDO ROOTS ZA WAZEE WETU

  4. Anonymous Anasema:

    Nawapongeza na ninawatakia heri viongozi na wanachama wote wa CCM. CCM ndiyo chama pekee Tanzania kinachotuunganisha watu wa makabila, rangi na dini zote TZ. Lakini lazima tuwe more serious katika kuitekeleza ilani yetu. Wapinzani wana haki ya kujieleza, lakini wameshindwa kupendekeza programu yako ya ujenzi; badala yake, kazi yao kutukana, uongo kujenga chuki na ku"whine and ramble". Mungu ibariki CCM. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika!!!!!

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker