Ally Rehmtullah and his team of Fashion for Education Benefit did a presentation at the Aga Khan Mzizima Secondary School at the Assembly to initiate the students to participate in the campaign for raising funds for the Kisarawe School District.

Ally Rehmtullah and his team of Education Benefit at the Aga Khan Mzizima Secondary School at the Assembly to initiate the students to participate in the campaign for raising funds for the Kisarawe School District.
Aga Khan Mzizima Secondary School Assembly being told on how to participate in the campaign for raising funds for the Kisarawe School District.







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Nice poster...can we see it clearly?

    ReplyDelete
  2. mzee wa bunjuFebruary 23, 2010

    mhhhh!!!! kuuliza sio ujinga, ila napenda kujua hii shule ni maalum?? mbona kuchikuchi hotahe ??? na ni nishule ya serekari??? nataka nimpleke mwana wane pale

    ReplyDelete
  3. mzee wa bunjuFebruary 23, 2010

    mhhhh!!!! kuuliza sio ujinga, ila napenda kujua hii shule ni maalum?? mbona kuchikuchi hotahe ??? na ni nishule ya serekari??? nataka nimpleke mwana wane pale

    ReplyDelete
  4. Wahindi watupu

    ReplyDelete
  5. Safi sana Remtullah. Ni Ex-Mzizima guy hapa nafurahi kuona umeanzia kuchangisha nyumbani.

    Kwa wanaouliza Mzizima inamilikiwa na dhehebu la kiislam la Ismailia. Ni wahindi hao, lakini wanachukua rangi zote. Muhimu uwe na uwezo wa kulipa ada, na ufaulu mtihani wa kuingilia hapo (matriculation test)

    ReplyDelete
  6. wewe anon hapo juu umeuliza kuhusu hiyo shule kama ni ya watu wote au ya watu wenye asili ya kiasia pekee..

    jibu ni kwamba hiyo ni shule ya watu wote muhimu ukiweza kulipa dau lao basi utapata nafasi kusoma hapo

    kwani siku hizi mashule ni mengi sema malipo au ada ndio zinapishana kila mbuzi atakula kutokana na urefu wa kamba yake

    wengine wanasomesha watoto wao nje ya nchi wengine shule za chini ya miembe uwezo wako wa kifedha ndio utachagua shule ya kumpeleka mwanao.

    ankal mfikishie huyo jamaa hapo juu jibu la swali lake.

    ReplyDelete
  7. wabaguzi kinoma, mwanafunzi asiyekuwa kuchikuchi anakuwa isolated vibaya, inshort hawafaiii.

    ReplyDelete
  8. Shule hii ya Mzizima ipo maeneo ya DSM ktk vitongoji vyenye Watanzania wenye asili ya Kiasia kwa wingi.

    Ni kama shule huko Moshi Vijijini inawezekana kabisa ikawa na wanafunzi wa kutokea sehemu ya Moshi Vijijini kwa asilimia kubwa.

    Mdau
    Ex-Mzizima student.

    ReplyDelete
  9. ndugu yangu si unajua kama bongo wahindi wameishika maana wanavijipesa ile shule kuna watu wa aina tofauti sema ila wahindi wamezidi ile shule inafundisha wanajitahidi kielimu ila ina ada kubwa sio siri pale bongo shule za wahindi nyingi zina ada kubwa hata shree hindu mandal nayo wahindi wengi hiyo loh si mchezo ila wanahela pale tz jamani.

    ReplyDelete
  10. Acheni choyo nyie duh

    ReplyDelete
  11. kufisadishana tu

    ReplyDelete
  12. sasa mnalia nini hela hela nanyie si mtafute mbona mna roho ya choyo khaaa!!!!kaazi kweli kweli mwingine hapo juu kaandika eti wana vijipesa vijipesa nawewe peleka mtoto wako na vijipesa vyako basi.

    ReplyDelete
  13. Inaonekana wote mnaotetea suala hilo la kwamba shule ya mzizima ni ya wote inaonekana kwamba kwa njia moja au nyingine ni aidha baba zenu Fisadi au mna asili ya huo udosi, kwani tangu enzi za mwalimu injulikana kwamba shule za Mzizima na Shaban Robert ni za watoto wa vibopa au wadosi mimi nimekulia hapo mtaa wa mindu nalijua vizuri hilo, kwa hiyo msitete upumbavu, huyo mdosi sio lazima aanzie hapo eti kwa kuwa alisoma hapo, mbona ikulu haikujengwa Butiama, kwani ndipo Mwalimu(Nyerere) alipozaliwa na alipoanzia masomo. Acheni hizo angeanzia atleast mkoani ningemuunga mkono. Mdau Reading, UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...