Tanzania (Africa ) is not ready yet for Dual Citizenship, not now! Tanzania
Narudia tena maneno ya awali Who set it and Whose is interest….lets forget about remittance and travel ling around the world .

We have to look at this issue critically …..Tanzania kwa sasa we only have one thing to hold on NATIONALITY, to have a bit control of foreign investors according to TIC regulations (local partner…)

Sasa Kama Tanzania tutaruhusu Dual Citizenship at this point will end up in a mess..big time kama tulivyo ingia kwenye global village tumeona matokeo yake sio Tanzania tuu the all Africa imekuwa dump ya cheap products and aggressive investors. we ended up exporting jobs outside continent and importing finished product at highly cost. Lakini awali tulitegema kujegwa maviwanda. swali Africa ina profit nini mpaka sasa after all this globalization how much tume loose?

Ardhi ndio uhai wa mtanzania na 80% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo for a living sasa kama kila mtu atakuwa raia na kuweza kumilikishwa ardhi hawa 80% masikini wata ishi vipi???

Nimeomba Balozi za EU, US Canada na nchi nyingine tuangalia watu wangapi wanahitaji Dual citizenship na sababu zao ili kuweza kufanyanalysis. Lakini sio wewe US blogger Mashaka Oklahoma and the rest of you not even 1% of the population to push hiyo Dual Citizenship and again the question who set it and whose interest….

Kama sababu ni watoto , According to my reaserch second generation ya Diaspora never go back to their Countries of origin kama nyinyi wazazi mmeshindwa kurudi. We have Indians in Tanzania , they will never go back sababu hawata fit kwenye hizo society same thing kwa nyinyi Diaspora. Ujerumani kuna turkey minority wameshindwa kurudi kwao sababu wamesha adapt kwenye system za Ujerumani, Jamaicans in UK. etc etc…..

Nchi ambazo zina Dual citizenship wana strong systems and highly developed kuliko Africa.

Muhimu kuwa linked na nchi na kupata support sio lazima Diaspora warudi Tanzania ambaye yuko tayari kurudi stillanaweza kurudia urai wake (We created a Model on how to involve Diasporas contribution in development & investment kwenye nchi zao)which needs institutional arrangement first before emplementation ambayo niko tayari kushare if needed .

Africa Union established sixth region of the AU ambayo ni Diaspora living outside the continent hii ina include Africans, African America, Brazilian , Haitian everybody ambaye origin yake ni Africa saga hawa waki claim citizenship according to the defintion ya Diaspora tutawanyima??
I live in EU na nakubali I would love to have Dual citizenship not now ,lakini lazima tuangalie na consequence zake.

Mdau EU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Ivi kumbe kuna watu wengi sana ambao ni wajinga, mbumbumbu na waoga (cowards) Mnaogopa dual citizenship, bila hata ya kujua kwanini hasa mnaiogopa, wakati more than half the world has allowed it and the issue is like rain. hakuna atakaeweza kuzui hili suala lazima litakuja tuu.

    Poleni kwa kupoteza muda kujaribu kuzui mvua. Labda kama mngekuwa mnaishi southern califonia-it never rain in southern califonia.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa EU,

    Umeongea point. Watu wanaong'ang'ania multiple citizenship hata 1% hawafiki. Kwa nini tuhatarishe usalama wa taifa la watu mil. 44 kwa ajili ya watu laki nne au pungufu?

    Sana sana kama wanataka wapewe special viza za kutambua uasili wao wa Tanzania mara watakapobadili uraia.

    Kama kweli kuna wawekezaji tungewaona tu. Wengi ni maneno matupu. Hoja ya kusema eti ni kwa ajili ya watoto wao kama ulivyosema ni uzushi, maana kama baba kakimbia unadhani mtoto ndio atarudi?

    ReplyDelete
  3. 1.kuhusu ARDHI je nchi kama Ghana, na Uganda,zilizoruhusu dual citizeship, zimekumbwa na matatizo ya ardhi? mbona kila siku tunawapa uraia wakimbizi toka Rwanda,Burundi,na DRC?

    2.suala la second generation kurudi makwao angalia jumuiya za Wahindi katika diaspora zilivyo na mahusiano na India. IT industry ya India imesaidiwa sana na utaalamu wa wana diaspora wao waliokuwa na dual citizenship.

    3.dual citizenship itawezesha wana diaspora ku-invest nchini bila vipingamizi. sasa hivi wana diaspora wakihitaji viwanja au viteha uchumi vya aina yoyote ile ama inabidi wawekeze kama foreigners au watumie ujanja kuandikisha ndugu zao. hali hiyo inakatisha tamaa.

    4.diaspora wanaweza wasiwe na mamilioni ya dola tunayotegemea toka kwa wawekezaji wa kawaida toka nje. lakini diaspora wengi naamini wanaweza kabisa kujitutumua na kuanzia na investments za kiasi cha dola 30,000 mpaka 60,000. wawekezaji wa aina hii siyo wale wa kuingia nchini kuiba na kuondoka.

    5.kama kuna hofu kwamba diaspora watajiingiza katika siasa, basi tunaweza tusiwape uraia kamili, badala yake tukawapa hadhi ya PERMANENT RESIDENCY--kama green card za Marekani. Permanent residents hawatakuwa na haki ya kupiga kura au kugombea uongozi.


    6.suala la usalama lishughulikiwe kwa kuanzisha mfumo madhubuti wa vitambulisho vya Uraia,birth certificates,na social security number. pia tuimarishe ulinzi mipakani na tuiboreshe idara yetu ya uhamiaji.

    7.KAMA HOJA ZANGU 6 HAZITAWASHAWISHI, BASI NAOMBA DIASPORA WAHURUMIWE KAMA TULIVYOFANYA KWA NDUGU ZETU WA KIZIGUA (SOMALI BANTUS) WALIOSAHAULIWA SOMALIA WAKATI WA BIASHARA YA UTUMWA. NUDGU ZETU HAO WAMEPEWA URAIA HIVI KARIBUNI.

    ReplyDelete
  4. muhandishi lazima uchague ni lugha ipi ambayo watu wataelewa haraka wote si kwamba ni Waswa-english kama ulivyoandika kama unakaa nje ya nchi umekana utanzania kwa kujilipua na karatasi yetu sasa unataka nini maisha mazuri nje unayo sehemu yeyote unaeweza ishi, Usa lazima ukane uraia wako ndio wakupe wakwao.je mfano huu mtasemaje ukija hapa changia taifa kwa visa yetu atleast tupate mchango wako kwa taifa unapiga kelele tu tanzania hatundelei wakati kodi yako ipo nje cku zote ndugu zako uwakumbuki kwa tzs yoyote make vibibi vishakubeba.

    ReplyDelete
  5. Anony wa kwanza na tatu good job. Anony wa pili na huyo mwenye article (Mdau EU) acheni ujinga na uoga. You only take one side of debate. Angalia Morocco na mfalme wao kijana walivyochangamkia dual citizenship and how they rip its benefits. Mind you that there is no any single policy that exists in this world that doesn't have its advantages and disadvantages but one has to weigh which is which. Watanzania ni woga woga tu mpaka tunakuwa wajinga. This thing brother/sister is inevitable whether you like it or not. Jamaa wamekupa mifano hapo ya Uganda na Ghana. Look at Ghana, Ghananians are moving forward, angalia hata uchaguzi wao ulisikia kuuana au kukataa matokeo. Acheni wivu na ujinga. Yes caution needs to be taken lakini sio uzushi na upumbavu.

    ReplyDelete
  6. TELEVISION CHANNELS BAADA YA UHURI.....WATANZANIA HAWAKO TAYARI.

    MFUMO WA VYAMA VINGI ....WATANZANIA HAWAKO TAYARI.

    MGOMBEA BINAFSI .....WATANZANIA HAWAKO TAYARI.

    EAST AFRICA COMMUNITY .....WATANZANIA HAWAKO TAYARI.

    SHWAINIES....Could you stop hidding your poor minded/ shwaini ideas [excuse my french] behind WATANZANIA and be ready to take responsibility about UPEO WAKO BINAFSI

    ReplyDelete
  7. Kwa vyo vyote vile dual citizenship haelengi watanzania wote, bali wale wachache ambao wanajikuta wamo katika hali ya kutaka huduma hiyo. kwa hiyo, ndiyo huduma hii ni kwa watanzania kiduchu, na kama ni ipo haja na ni haki hata akiwa mtanzania mmoja anastahili kupata haki hiyo. Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu na kwa bahati mbaya watu wanachanganya uzawa, uraia na uzalendo. Unaweza kuwa mzawa na usiwe raia (wa makaratasi), unaweza kuwa raia na usiwe mzawa, na pia unaweza kuwa raia (hata wa nchi moja kama Tanzania) na usiwe mzalendo. MAFISADI wanaotafuna nchi hii kama mchwa (ikiwa ni pamoja na waliowahi kushika madaraka ya urais na uwaziri mkuu) SI RAIA WA NCHI MBILI!! ni raia wa nchi moja tu ya Bongo. Uraia wa nchi mbili ni makaratasi tu yanayomwezesha raia mzawa ambaye pia ni mzalendo kushiriki kikamilifu katika ujenga wa nchi yake.

    ReplyDelete
  8. ujinga mtupu,kama uliutaka utanzania kweli kwanini ulijikimbiza?
    kafie mbele huko,mnataka kuja kutukombea ardhi yetu na mi dola yenu hiyo na sisi je?

    ReplyDelete
  9. Mdau EU. You sound like a college Freshman, trying out on your first essay. This is probably not the right topic for you. Get your facts right before you respond next time. You are all over the place. The issue here is DUAL CITIZENSHIP IN TANZANIA. Besides, Global market is inevitable. We are trying to get good ideas and be constructive. You are just creating some confusion.

    ReplyDelete
  10. Nyie mnaong'ang'ania dual citizenship mmetumwa na nani? Hii kitu hata Marehemu Mwalimu Nyerere hakukubaliana nayo, na pia hakukubaliana na foreign investments kwa sababu alijua bado tu dhaifu hatuna nguvu wala mabavu ya kushindana nao.

    Sasa nyie vibaraka mmetumwa na mkoloni gani? Mwarabu, Mhindi, Mzungu au Mchina? Mnafikiri hiyo sheria ikipitishwa itakuwa yenu peke yenu? Humo mapapa na Manyangumi yataingia katika wavu wa vidagaa. Tafuteni jambo la maana la kutwambia, huyo John Mashaka anaingia TZ apendavyo na kufanya apendavyo alishanyimwa kufanya kitu kwa kukosa dual citizen?

    Haya leo twambieni nani amewatuma kuturudisha kwenye ukoloni?

    Pili, wewe usitulinganishe na Uganda, ambako sehemu kubwa ya ardhi inamilikiwa na Kabaka wa Buganda na baraza lake, jiji lote la Kampala ardhi yake iko chini ya himaya ya Kabaka. Ni watu wachache wana ardhi kiasi kikubwa Uganda; majority wana viparcel vya land ambavyo havifiki hata eka 2, tena wengine hivyo viparcel wamekodi kwa watu wanawalipa wakishavuna mazao yao.

    Gia ya kuchukua ardhi ya Tanzania imeshindikana kupitia EA Community sasa mnatumia kigezo cha "dual citizenship" kutaka kupora ardhi zetu.

    Nendeni Uganda basi au Ghana mkapewe uraia huko ambako ni rahisi!

    ReplyDelete
  11. MDAU WA EU SIKUONA POINT YOYOTE ULIYOLETA HAPA, NI NCHI NYINGI TU ZA AFRICA ZINA DUAL NATIONALITY FANYA UTAFITI UTAZIONA, KUHUSU ARDHI HIYO NI POINY KIPOFU MBONA KUNA WATU WALA SI WATANZANIA SASA HIVI WANANUNUA AIDHI KIBAO TU NA WANAITUMIA KWA BIASHARA ZAO NI WENGI TU TENA SI EKA MOJA NI MAELEFU YA HEKA. NA MBONA KUNA WATU KIBAO TU AMBAO SI WATANZANIA KWA SASA WANAPEWA UTANZANIA NA HATA KAMA MTAWANYANG'A PASS ZA NCHI ZAO MTU KWAO NI KWAO TU. MIMI SIONI SABABU YOYOTE YA MSINGI YA KUWAFUTIA URAIA WAO ONCE WAKICHUKUWA URAIA WA NCHI NYINGINE.

    ReplyDelete
  12. Go get a break; I am tired of your stupid, critics, baseless, senseless and nonsense unpatriotic points and ideas on “dual citizenship” issue. No wonder !! Tanzania as the country is not and will not go anywhere if some of its overseas residents like you and one being you, seems to be so stupid or unintelligent than the locals here. Last time I read your article , same as this second one was full of shit and with no any brain, and now- you’re’ still keeping this no brainer shit of yours coming up.
    Stop hate!! Brother, I will advise you to work on your knowledge on issues which you don’t know or have any clue. You’re in Britain right, go ask them (the Britons) why they believe in dual citizenship and EU at the same time, and what are they gaining in that essence and gather those info without any bias and let us know what you have in general. I am tired of this stupid lack of sense 5 paragraphs, short pieces articles of yours that are showing how shit you’re.
    We are discussing a country like Tanzania and Tanzanian citizens to obtain dual citizenship here and not AU Diaspora, or that blah blah of yours which does not relate to the issue we are discussing, neither holds legs nor water. We are looking the benefits that will be brought by introducing or allowing Tanzanians living abroad with other residency or citizenship status other than their native country, be allowed simultaneously to maintain also their native country citizenship.
    The issue is remittance and it will remain to be the issue no 1 of allowing dual citizenship, it’s all about the money and it will be the money for our economy, and nothing else. Don’t joke like this is not an issue, and by the way this is what make me read your stupid 5 paragraphs article and wonder why in hell we still have Tanzanian like you living overseas. Let me give you one simple example: At now times, Tanzania as the country is looking into means and ways to increase or tap the resources that are brought by this Diaspora and see the ways to redirect them towards building their native nation. It’s not a joke as you mentioned, and this are the facts: That if, 1% of entire TZ population of its people living abroad can contribute ¼ th of country budget in that matter a total of 600 billion Tshs, a year and the Country budget- Actual expenditure for that same years was 2.7 trillion Tshs ,then you have to understand the importance of dual citizenship.
    In this case Tanzanian Economists from different ministries are seeing if by introducing a Dual citizenship to its citizens leaving abroad will double increase their remittance up to 1 trillion Tshs a year then why not go with it. People who are stupid and ill hated like you who still will say it’s not yet time will have to stay out of the way and let us enjoy the benefits that will be brought by this new wave of thinkers.

    ReplyDelete
  13. maneno mawili tu kumjibu mleta hoja hii UTUMBO MTUPU

    ReplyDelete
  14. Sio hoja ya utumbo. Mambumbumbu ndio unaona mwenzio akiongea ukweli anaita mwenzake hoja ya utumbo ...We need to learn from Haiti...Haiti ni nchi mojawapo ina hii system ya dual citizen. Na kama umeona stealing Haiti utaelewa ninaongelea nini....

    NOT NOW!!!!! watanzania walioko hapa ninapoishi wengi ni wa asili ya kihindi na somalia...so go figure...Ni watanzania wangapi watabenefit na hii dual citizenship thing?

    Mdau greencard holder, hubby naturalized citizen and 4 kids citizen by birth wa nchii hii but I still think we are not ready for this thing at all.

    ReplyDelete
  15. tz wananchi wanaishi bila vibali yaani mwananchi hajasajiliwa hivyo uraia wa nchi 2 bado hauna maana(((((
    pia uraia wa nchi 2 uta 2feva wadau ambao 2po nje ya nchi..KWA MASLAHI YA TAIFA BADO HAINA MAANA KURUHUSU URAIA WA NCHI 2(((( TZ KUINGIA KTK MCHEZO HUO WA KIBEPARI KWA SASA ITANUFAISHA WA2 WACHACHE KTK MAMILIONI...2vute subira mpaka pale kila mtz atakapoweza pata gamba lake kama raia halali wa tz..(((((((((((((

    ReplyDelete
  16. MDAU WA EU,
    I support your views 100%. I salute you for giving preference to national interest over selfish self-centred whims.Those who want dual citizenshipp now at all costs are basically individuals who are more interested in promoting their own individual welfare instead of thinking about our nation's strategic interest. Maybe that is why so many of them are so angry and abusive towards people who do not agree with them. Well.......they can't eat their cake and still have it. Mungu ibariki Tanzania. Amin.

    ReplyDelete
  17. florian rweyemamuFebruary 20, 2010

    mtoa mada naomba utumie lugha moja kwani kuchanganya lugha kunaondoa maana ya mada yako. Mtoa mada mahiri ni yule ambaye anahakikisha kuwa anachokiandika kinawafikia walengwa. Je unahakika sie wote tunaosoma blogu ya jamii tunajua kiingereza? Je, na wale wasiojua kiswahili unawaweka wapi?

    ReplyDelete
  18. Wanaopinga dual citizenship ni watu waliopitwa na wakati waoga na hawajiamini.Hawana tofauti na waliokuwa wakipinga mfomo wa vyama vingi.Nina uhakika mzee wetu (Baba wa Taifa) ange kuwa hai angeunga mkono urai wa nchi mbili kwa mtanzania kama alivyo u-ungamkono mfumo wa vyama vingi siku za mwazoni kabisa, kabla hata ya Mrema hajafikiria kutoka CCM kwenda NCCR mageuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...