Just when you've seen it all....
Enter A Wedding in ShanXi
Traditionally a very poor region of China until the discovery of vast coal deposits. Have a look at a wedding involving one of the coal boss' family.


Wedding limo: Rolls-Royce Phantom

Bride and part of the escort team


6 Jeeps for the camera team, 4 Ferraris lead the convoy of 4 Rolls Royce main fleet 6 Mercedes 6 Bentleys 20 Audi A8s Hummer at the back

Ferrasis for the escort team's jobb whose job is to go ahead of the wedding fleet to "clear the road"! Ready to roll.. 40 Porsche Cayennes, Range Rovers, BMW X5 and Audi Q7 are not counted as the wedding fleet, only escorts. The 1000-guest ball The bride's family Receiving the red packets on the other side to let the groom in.. offering the red packets for the groom to get in and meet the bride on the other side A 3,000 USD manicure, forget the diamond ring. The lucky bride make up Bride being made up, below is Groom and his Best Men team
A Ferrari here is only the escort car!






















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. du hii kali well planned. imecost how much? i wud like to have mine in bongo just like that one even more than that. i will hire all vipanya's what do you think?

    ReplyDelete
  2. Mmmmmmmmmmmmm?!!! inakuwaje?!, kumbe ht wazungu nao hawako cost-coscious!!!

    ReplyDelete
  3. afu unakufa waenda shukia kuzimu

    bora lipi?

    ReplyDelete
  4. Ukuwa na mbesa bwana unaweza jikuta hata garama hujali.wazingu ni maskin ndo mana wanajali sana hela

    ReplyDelete
  5. Ebwaneeeeeeeeeeh, ni noma hii, halafu waachane kesho kutwa!!!!!!!!!!!!! Money can do everything which can be made by a human being

    ReplyDelete
  6. SASA WANAO JIGAMBA WAME OLEWA MMEONA ARUSI???????????? NGOJA NA MM NITAFUTE MCHINA MANAKE NAONA WAZUNGU AWANA LOLOTE LOL.....

    ReplyDelete
  7. haya mbona mambo ya kawaida kabisa miji yenye mabilionea na mamilionea kama moscow na ny haya mambo daily kla weekend mi mwenyewe naplan nikichoka mibard ya mbele nrud home nfanye k2 zaid ya hcho

    ReplyDelete
  8. HII INANIKUMBUSHA HARUSI YANGU NILIYOFANYIA MKOANI MBEYA MWAKA JANA, TOTAL COST ILIKUWA TSHS4,000,000 IKIINKLUDI NA GHARAMA ZA FUNGATE, KUTOKANA NA HIZO GHARAMA MPAKA SASA BADO SIJASTEBOLAIZI FAINENSHALE. KWELI DUNIANI TONATOFAUTIANA SANA

    ReplyDelete
  9. We Anon hapo juu unadhani kila mtu mwenye ngozi nyeupe ni mzungu? Umeona mzungu wapi kwenye hizi picha?

    ReplyDelete
  10. utafikiri hawatakufa

    ReplyDelete
  11. Hii ni China...hayo magari yote ni FEKI...yanafanana tu na magari ya Ukweli..!!!

    ReplyDelete
  12. alafu makamuzi pale pale chooni ngoma drooo

    hakuna lolote fanya wewe hapa dar unapigwa kipapai harusi haifiki hata miezi 6 mmeshaachana au mmoja wenu anakufa ooh.....

    iga ufe

    ReplyDelete
  13. and we thought communist way of life is poor an humble, never have been and never will be, the rich and powerful live in even more luxurious and extravagant life style than in a capitalistic countries. Even Mao had a harem in his palace!! China is on the way to be the next Super Power taking over from USA !!!

    ReplyDelete
  14. Huyu jamaa,nahis anakunya gold na diamond.

    ReplyDelete
  15. Mm na mtafuta mchina wazungu awana mana wame kondeana shida tu,

    ReplyDelete
  16. Hawa ndo wachina bwana, masikini wenzetu matajiri wa roho wanavyojua kutanua.
    Ulaya! ulaya! masikini wa kutupwa!!!

    ReplyDelete
  17. michu,
    mmh hii kiboko but is it true? sidhan kaka

    ReplyDelete
  18. uuuuwiiiiiii huh!

    ReplyDelete
  19. kama arusi ya US BLOGGER hivihivi!!

    ReplyDelete
  20. Wanajitahidi jamaa lakini show off imepitiliza sana. Huwezi kukuta hii kitu Ulaya sababu wazungu wanaubinafsi so hawawezi kuchangishana.Mtu akioa hualika watu waje kusherehekea ila huyu Mchina kapigisha donee kwa washkaji zake wamemwazima magari hayo. Pia nakubaliana na mdau wa Mon Feb 22, 03:25:00 PM. Maana hata mtoto aliyeimba jukwaani kwenye ufunguzi wa michezo ya Olympic hakuwa mwenyewe halisi aliyetakiwa kuimba kwani mwenyewe meno mabaya angeharibu picha. soma hapa uone Chinese walivyo hatari

    ReplyDelete
  21. Anon Tarehe Mon Feb 22, 02:56:00 PM, Umenipasua mbavu aisee...

    ReplyDelete
  22. HIVI WAJAMENI JOHN MASHAKA KAOA? AU ANATAFUTA SIFA HUKU KWENYE BLOG?

    KAMA ANATAKA SIFA BASI HII NDO JINSI YA KUOSHA SURA NA KUONDOA NUKSI.

    MASHAKA KAMA UMEOA, BASI KWENYE ANNIVERSARY YAKO FANYA HIVI, ILA KAMA UNATAKA KUOA BASI HUU NDO MTOKO WAKE.

    KUTULETEA PICHA ZA WAMI SIJUI MIKESE, HAMNA DEAL.

    BABA UBAYA

    ReplyDelete
  23. MNATUELIMISHA NINI KWENYE BLOGG YETU YA JAMII? SASA MTATUFANYA TUIBE NDUGU, HAYA MAGARI THAMANI YAKE NI KILIMANJARO KEMPSKI YENU.

    ReplyDelete
  24. watu wa njano wanahela.

    ReplyDelete
  25. ONA JINSI WATANZANIA WALIVYO NA ROHO ZA KIMASKINI. YAANI KUONA HARUSI YA CHINA HIVI TUU ,OOH CHINA NDIO KUNA HELA OOH WAZUNGU NINI WAMEKONDEANA...OOH. HIZO NI DALILI ZA UJINGA NA KUJIONA HATUWEZI. HIVI MNAFIKIRI KILA MTU CHINA ANAISHI HIVYO? HAMJUI CHINA NDIO NCHI YENYE CHEAP LABOUR KULIKO NCHI NYINGI. FANYENI KAZI KWA BIDII MATUNDA MTAYAONA MSIKILIE KUDHANI ETI UKIENDA HUKO UTAPEWA TUU. HUYO MMESHAAMBIWA NI MMILIKI WA MGODI AU MTOTO WA MMILIKI WA MGODI, NI BILLIONAIRE HUYO.. MNAFIKIRI NI MWENZANGU NA MIMI HUYO?

    ReplyDelete
  26. ujinga mtu...ndugu zao wanaomba ukimbizi ulaya....wanataka kujifanya wamrekani????washamba tu.
    mdau money uk

    ReplyDelete
  27. Wadau mimi niko China Hapa mwaka wa tano sasa,hilo kweli ni tukio la kweli na bado ni kitoto ,kuna matukio mengi sna na ya kutisha, huku wachina wana pesa bana,ilo wabongo inatakiwa mkubali.

    hawa jamaa population yao ni 1.4 billion, 200 million people ni wachina ambao wana pesa yaani wao wana uwezo wa kubadili gari kila mwaka,na gari huku sio second hand, brand new... Kusafiri kila mahala duniani, na kufanya any fucking shit,

    kwa kucheck hiyo population ya 200 million people wenye pesa hatari,ni sawa kabisa na population ya USA.

    ILA WANA AKILI YA KUTAFUTA PESA AJABU, HAWALALI

    ReplyDelete
  28. .. that's a self esteem state!

    ReplyDelete
  29. wewe mtoa maoni hapo juu umeona mzungu hapo juu au kila mweupe wewe unaona ni mzungu.

    ReplyDelete
  30. NAAMIN WATU KAMA HAWA UKIMWAMBIA KUNA KUFA ATAUMWA...HAWA WATU HAWAJUI KUFA....

    ReplyDelete
  31. wazee wa feki unaweza ukakuta hayo yote si magari halisi si unajua mchina tena ila sikujua kumbe mchina naye ana mambo ya kihaya

    ReplyDelete
  32. nyie ambao kila kitu cha kichina mnaona feki, badilikeni, vitu feki wanavitaka wafanyabiashara wa bongo wanaokuja kununua vitu china, wabongo wanapenda vitu cheap cheap ndo wanatengenezewa kutokana na hela zao, kwani hawapo serious jitu linatoka mbali huko linakuja kununua vitu substandard kwa sababu anaogopa vyenye ubora ni bei kubwa, wachina wanapenda vitu vya maana na sio feki feki wanatengenezewa wanaovitaka, china sasa inatengeneza karibia kila aina ya gari, juzi juzi wameshanunu brand ya hummer na zitakua zinafyatulia uchina, wako kwenye deal na volvo na itanunuliwa muda si mrefu, mg rover ishachukuliwa siku nyingi na vitu vikali vinatoka tuu, ferrari na makampuni mengi ya uchina ya magari yanashirikia na kuna uwezekano hizo ferrari zimetengenezwa china.wabongo tunalalamika tuu, kwa nini hata sisis tusitengeneze vijiti vya menu feki(fake tooth stick) wabongo tumegundua sana ni ngoka eleven, na dawa za kuvuta wachumba.jitu lipo ofisini lisaidie watu lakini halisaidii, kila kitu ni sinema na madeal ya ajabu ajabu, tuipende nchi yetu wabongo na kila zuri linalofanyika tushukuru na kuwapa moyo waliofanya ili wajitahidi na kufanya mengine meazru zaidi

    ReplyDelete
  33. Aisee...hii sasa kufuru,yaan kwa hapa kwetu na ma foleni yetu mpaka j2 kitu kama hii msala(dont ever try this at home)

    ReplyDelete
  34. This is our Money, tuko busy kununua mpaka toothpick/viwembe/hengachifu kutoka china, wakati bongo chelewa kibao!!!imekula na itaendelea kula kwetu for another century

    ReplyDelete
  35. Haya yoteeeee ni matokeo ya VIONGOZI FAKE WA AFRICA.Africa viongozi woteee ni fake, Tanzania hakuna viwanda kabisa, matokeo yake vitu vyoteeeee tunanunuwa kutoka China, ni lazima wachina wafanye mambo makubwa wanauza bidhaa zao kuliko maelezo, na wanafanya kazi kufa mtu. Mfanyakazi anakimbia mbio akienda chooni akitoka chooni mbio anarudi kwenye desk lake, nimetembea duniani nchi nyingiiiii sanaaaa, lakini nimefurahishwa sanaa na China, wako juu, juu, juu sana tukubali tukatae wako juu hata USA wanaogopa speed yao siyo ya kawaida. Wako very serious haya mavitu fake ni umasikini wetu tunapenda sana vitu vya bure na cheap unategemea nini, hata mimi nilipokwenda nilibakia kununuwa hayo hayo macheap vitu.
    UCHAGUZI UNAKUJA MSICHAGUWE MAFISADI KUWEENI WAANGALIFU CHAGUWA KIONGOZI MCHAPA KAZI

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 17, 2010

    Daa ee bwana ee natamani ningefanya harusi kama hii,mimi nimeolewa na mzungu lakini huwezi kuamini harusi yangu kulikua na waalikwa wa 5 tu.wazungu wanaubnafsi sana,zawadi niliyo pata kwenye harusi yangi ni kadi ya kusema hongera.Yani wazungu hawana lolote ni njaa tu zinawasumbua pesa kwao ni kama mungu wao.

    mdau kutoka
    Usa

    ReplyDelete
  37. duh! hii kali hata mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sijawahi kuona ni kufuru kwa kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...