Kipa wa JKT RUVU, Shabani Dihile akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Mohamed Banka kuandika moja ya mabao 3 ya simba dhidi ya 1 la maafande hao kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uwanja wa Uhuru jijinik Dar
Wachezaji wa simba wakifutahia ushindi wao wa bao 3-1 dhidi ya JKT Ruvu

Mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassan Mgosi (kushoto) akimtoka mchezaji wa JKT Ruvu, Haruna Adolf katika mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo. Simba ilishinda 3-1




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ubingwa lini maana nilisikia zimebaki point 4 kumbeba mwali, naomba mniwekee msimamo wa ligi inakuwa ngumu sana kwa sisi wa nje kujua msimamo wa ligi za nyumbani, huwa tunaona matokeo tu ya nani kashinda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...