In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

taarifa ya msiba

Marehemu Martha Alu Alute enzi za uhai wake

Familia ya Mzee Augostino Lissu Mughwai wa Mahambe, Singida inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa,Martha Alu Alute kilichotokea tarehe 30 Machi, 2010 huko Dar es Salaam, Tanzania.

Maandalizi yanafanywa kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Mahambe, Singida kwa mazishi.

Marehemu alizaliwa mwaka 1932 Ighuka, Singida. Ameacha mume na watoto nane: Alute Mughwai wa Arusha, Tundu Lissu, Mjengi Lissu na Christina Lissu wa Dar es Salaam, Rose Masesa wa Songea, Peter Muro Mughwai wa Kondoa, Mateo Mughwai wa Singida na Vincent Lissu Mughwai wa Connecticut, Marekani.

Vile vile marehemu ameacha wajukuu 20, na vitukuu 6.

Kwa marafiki wa wafiwa wanaokaa nje ya Tanzania (Marekani, Uingereza n.k) unaweza kutuma rambirambi zako kwenye
accnt # 1259458568,
routing #221172610.
Au
kwenye anwani ifuatayo:
Vincent Mughwai
370 Huntington Road
2F Bridgeport
CT 06608

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Poleni kaka na dada zangu. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Alex na Familia, Maryland, USA

  2. Anonymous Anasema:

    Lissu Mghwai poleni kwa msiba mlioupata, mlimpenda mama sana lakini mungu amempenda zaidi, BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE AMEN. Alcard Mumwi& Family, Dar, Tanzania.

  3. Anonymous Anasema:

    Poleni,kwani Bwana ametoa na ametwaa. Ila rambi rambi lazima tuweke kwa hizo akaunti??

  4. Anonymous Anasema:

    Mungu awasaidie sana katika kipindi hiki kigumu cha msiba,poleni sana kwa msiba,D.Mwashumbe

  5. Patrick Tsere Anasema:

    Ndugu ALUTE na TUNDU namuomba Mungu awatie nguvu na moyo wa subira wakati huu ambapo mumefikwa na msiba wa kufiwa na mama yenu. Poleni sana. May Her Soul Rest in Eternal Peace. Amen

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker