Effective Friday, March 5, 2010; Vodacom Tanzania has introduced a NEW Cheka Time bundle known as ‘TELEZA’ 200 to all of its customers.

TELEZA 200 will now allow Vodacom customers to talk for 15 minutes per day available in Coastal region i.e. Dar es Salaam, Zanzibar, Lindi & Mtwara. Roll out in other regions will happen in the near future.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tatizo lenu nyie watu wa marketing wa mitandao akili zenu fupi! Utasikia ongea voda kwenda voda au tigo kwenda tigo au zain kwenda zain hii inasababisha watu watembee na simu tatu-tatu au nne-nne at the end of the day mnabaki kushea wateja hao hao. Lakini mmoja wenu akili zake zingekuwa ndefu angeanzisha huduma hizo za extrem ya kupiga au cheka time kwenda mitandao yote then watu tungetupa simu zote na tukabaki na ile moja tu ambayo extrem yake ya kupiga au cheka time yake ni kwenda mitandao yote. mfano mzuri ni extrem ya sms ya tigo ni kwenda mitandao yote thats why watanzania wengi mwenye simu wana line za tigo but hiyo haitoshi na extrem ya kupiga inabidi iwe kwenda mitandao yote bila kuchagua namba kama ktk uhuru feki wa kuongea wa zain hapo ndo mtakomba wateja wote Tanzania. |Ankal michu wafikishie hili ni kwa faida yao. Mtandao wa kwanza utao weka extrem ya kupiga kwenda mitandao yote bila kuchagua namba ndio utaokuwa mtandao wa kila mtanzania na ndio utakaotukomboa kutembea na simu nne na zote zina laini mbili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...