Shule ya Secondary ya Wasichana ya Loleza Jijini Mbeya ni mojawapo ya taasisi za elimu ambazo watu maarufu wengi wamepita. wenye data msaada tutani tafadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Neema Ngwilulupi malecela( mke wa william malecela ) mkazi wa NEW YORK kasoma hapo .

    ReplyDelete
  2. La hasha hapo Langoni panahitaji makeover, Sina uhakika huko mabwenini kutakuwa kunafananaje!

    ReplyDelete
  3. Marehemu Rhoda C Msuya, mke wa waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Cleopa D msuya,
    Marehemu Ezerina Mwaipopo Malecela, Mke wa Waziri Mkuu/Makamu Mwenyekiti wa CCM mstaafu Mheshimiwa John S Malecela,
    Marehemu Mary Hankok, Mwalimu mkuu wa kwanza wa shule hiyo, na baadaye kushika nyadhifa kwenye serikali
    Mrs Tabitha Siwale Waziri wa Elimu mstaafu, Waziri wa Ardhi mstaafu.
    Mheshimiwa Mary Nyoni Katibu Mkuu Wizara ya Afya.and the list goes on and on. Ni wengi mno walio maarufu walisoma hapo ambao wameitumikia nchi kwa muda mrefu sana,na kwa upande waliofuata nyayo ni wengi mno ambao wameshika nyadhifa mbalimbali kwenye Mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...