Tamaa ni hatari sana, kila kukicha kampuni za beer zinajikita kwene maisha yetu!Hapa Norway timu ya mpila ilifungiwa kwa kuvaa jezi zinazotangaza beer,lakini huko kwetu pamoja na majanga yote ukimwi watoto wa zinaa wapi viongozi wametia pamba masikioni mwendo mdundo waonekane wa kisasa na wasionekane wadini kwa kukataza huu upuuzi kazi kweli kweli hivi pamoja na swala zake Kikwete haoni kama ataulizwa siku ya malipo kwene uongozi wake?
EBU WEKENI UJUMBE UNAOELEWEKA HAPA..UKISEMA "MAMBO YOTE LNDONI KESHO" MANAKE NINI, KUNA NINI, TANZAZO, MWALIKO AU??? KUWENI MAKINI PENGINE KAMA NIA NI KUTIA UJUMBE.
Yaani Mi nakuja nimuone Francia tu.
GO GO Francia, I can't wait to see you tomorrow, I'll be cheering you up
Tamaa ni hatari sana, kila kukicha kampuni za beer zinajikita kwene maisha yetu!Hapa Norway timu ya mpila ilifungiwa kwa kuvaa jezi zinazotangaza beer,lakini huko kwetu pamoja na majanga yote ukimwi watoto wa zinaa wapi viongozi wametia pamba masikioni mwendo mdundo waonekane wa kisasa na wasionekane wadini kwa kukataza huu upuuzi kazi kweli kweli hivi pamoja na swala zake Kikwete haoni kama ataulizwa siku ya malipo kwene uongozi wake?
Mi nitakuja nimuone Mama Maajar, maana namsikia tu.
EBU WEKENI UJUMBE UNAOELEWEKA HAPA..UKISEMA "MAMBO YOTE LNDONI KESHO" MANAKE NINI, KUNA NINI, TANZAZO, MWALIKO AU??? KUWENI MAKINI PENGINE KAMA NIA NI KUTIA UJUMBE.
Minster means a Church or a Place of Worship. (Westminster).
Minister means a Clergyman or a high ranking official in a government.