hii ndio ilikuwa makao makuu ya shirika la reli maarufu kama relwe jijini Mbeya ambapo enzi hizo hapo mahali saa hii pangekuwa na vurugu ya mabasi ya abiria na abiria wenyewe wakitoka ama wakielekea sehemu mbalimbali. siku hizi limebaki gofu tu kama zilivyo rasilimali nyingine kibao za relwe nchi nzima, ukiondoa maduka na ofisi za biashara za watu binafsi wanaopachangamsha, swali linakuja mali kama hizi kwa nini zinaachwa zioze?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...