hii ni stendi mpya ya mabasi madogo ya Kabwe jijini Mbeya yaendayo nje ya wilaya ya Mbeya. Kule nyuma ni ujenzi wa maduka madogo madogo ambayo ujenzi wake unakaribia kukamilika karibuni. Ujenzi wa majengo mapya na ya kisasa umeshamiri jijini humu, hususan Mwanjelwa



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. if mbeya region gets more private investors it will be remarkably improve economically and increase its output to the national cake... michuzi please post photos of the songwe airport... we need to know the progress made.

    ReplyDelete
  2. kaka mithupu ASANTE sana kwa kutuletea habari za nyumbani, jamani mbeya kuna mabadiliko makubwa! ngoja niongeze bidii ya kubeba box! makaratasi nayo mmmmh! mugonile le mwesa wa kukaja, mmah le tukusyukwa kukaja pali myee!

    ReplyDelete
  3. mnyakyusa halaliApril 10, 2010

    Michuzi uko kwetu leo, basi hapo soweto upande wa pili wa barabara kuu ukiingia ndani kuna eneo linaitwa block T, kuna ma mansion ya kufa mtu huko, nenda kashangae kidogo basi uweke snapu kidogo au vipi ankal?
    ndaga fijo ankal.

    ReplyDelete
  4. Ni kituop kipya lakini madereva walishakigongagonga tayari. mmmm!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...