ndinga likikatiza maeneo ya Mufindi mkoani Iringa, hususan kwenye mashamba ya miti ya kiwanda cha Mogororo. Ni sehemu yenye mandhari ya kuvutia mno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ankal, hayo sio mashamba ya kiwanda cha Mugololo, ni mashamba ya Sao Hill, taasisi ya serikali chini ya wizara ya mali asili. Kiwanda cha Karatasi Mugololo, Viwanda vya mbao na watu wengine wenye matumizi ya mbao huweza kununua miti hiyo kwa utaratibu maalum.

    ReplyDelete
  2. Ukikaa nje ( abroad ) mbeya ni sehemu nzuri kukaa. Milima na mabonde . The weather is awesome . Sijatokea mbeya .

    ReplyDelete
  3. Ha ha ha!!! Mithupu unanikumbusha mbali sana.
    Siku hizi hapo ulipo kwa nyuma kidogo kuna kamji kadogo kalikokuwa na vibaka balaa.
    Karibu miaka 12 iliyopita, usiku wa saa saba vibaka waliniwekea mawe barabarani.Bahati nzuri nilikuwa na cha moto na nilikiwasha mfululizo.
    Nikaona nyasi zikichanganyikiwa vibaka wakiulaza.
    Nakupa changamoto nyingine ukipita hapo kwenye kipori, ukikikatiza kwa muda wa dakika 10 utakuwa unakanyaga wese kwa mwendo gani?
    Hilo ndo changamoto ninalojipa kuwahi aidha Mbeya au DSM
    Angalizo:usifuatane na mabasi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...