Maafande wakuu wastaafu wakiwa katika sherehe za kitaifa neshno enzi za Rais wa awamu ya tatu Mh. Benjamin Mkapa. Wadau wenye data na majina na vyeo msaada tutani tafadhali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ni wakuu wa Majeshi: Sarakikya, Mwita Kiaro, Mboma mkuu wa majeshi Uganda, Jakaya Kikwete

    ReplyDelete
  2. Kutoka Kushoto: General Mirisho Sarakyikya (CDF wa kwanza wa JWTZ), General Mwita Kiara, General Robert Mboma, General David Msuguri, Luteni Kanali Jakaya Kikwete, General Mwita Marwa.

    ReplyDelete
  3. kwa mbali namuona rais wangu mhe Jakaya M kikwete.

    ReplyDelete
  4. Ni wakuu wa Majeshi: Mirisho Sarakikya (1964-1972),alisoma Sandhurst Academy ya UK, akapandishwa kutoka cheo cha kapteni baada ya maasi ya 1964 had Brigadia akawa mkuu wa majeshi, then akawa meja jenerali kabla ya kwenda kwenye siasa za kuteuliwa. Alipokuwa amestaafu akapandishwa cheo na Mkapa kuwa jenerali kamili ili alingane na ma CDF wengine.
    2. Jen. Mwita Kiaro (1988-1994) alipanda vyeo bila kupigana vita vya Uganda.
    3. Jen. Mboma (1994-2000) alikuwa Brigadia wakati wa vita vya Uganda aakiwa pia mkuu wa kikosi cha anga kabla ya kuwa CDF.
    Mwisho ni Luteni Kanali Jakaya Kikwete. Alikuwa mwanajeshi mwanasiasa, kwani alikuwa anapandishwa vyeo huku akiwa ni katibu wa CCM.Hajawahi kushiriki mambo yoyote ya kijeshi, iwe kupigana Uganda, Msumbiji wala kufanya manubaz ya kijeshi.

    ReplyDelete
  5. Wakuu wa Majeshi wastaafu: Kuanzia kushoto Gen. sarakikya, Ernest Miwta Kiaro, Robert Mboma, David Msuguri, Jakaya Kikwete (Foreign Minister), Mwita Marwa na Sir George Clement Kahama ( Minister Ushirika)

    ReplyDelete
  6. Majina na vyeo vyao vilibandikwa nyuma ya viti walivyokalia.

    ReplyDelete
  7. NI WAKUU WA MAJESHI WASTAAFU,
    KWANZA KUSHOTO NI SARAKYA,MWITA KWARO,ROBERT MBOMA NA MSUGURI MWINGINE NI MHE JK

    mdau CM

    ReplyDelete
  8. Eee bana ee! Hawa jamaa wangevaa manyota yao hapo pange meremeta kiaina
    Jenerali Sarakikya, Jenerali Musuguri,Jenerali Mboma ,Jenerali wa Uganda,Jenerali Kikwete,Jenerali Mwita Maranya!!!!
    (Siku hizo Jenerali Mithupu bado mchanga)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...