Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akifunguwa mkutano wa siku moja juu ya uendelezaji na uimarishaji wa jiji la Dar es salaam ambapo Jumla ya mada kuu mbili kuhusu mkakati wa maendeleo ya la Dar es salaam zimewasilishwa kwenye mkutano huo uliowashirikisha Wajumbe kutoka katika Sekta mbalimbali hapa Nchini na Nje ya Nchi. Wa pili kulia Meya wa jiji la Dar es salaam Mhe. Adam Kimbisa
Juu na chin ni Wajumbe wa mkutano wa siku moja juu wa uendelezaji na uimarishaji wa jiji la Dar es salaam kutoka katika Sekta mbalimbali hapa Nchini na Nje ya Nchi, wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiwahutubia kwenye ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo. Picha na mdau Amour Nassor VPO





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    We need follow up actions not expensive MILO and talk talk talk, while viplefti na madimbwi hayaishi hata kwenye kitovu cha jiji jamani, I dont think you need the man with expensive suits and gathering of delegation to fix all the pit holes,

    I guess next time, Mheshimiwa Meya, he will gather a bull dozer, gari la lami, na Rollers na makachero to go on war on all madimbwi, and this action can be done outside KEMPSINK au HILTON HOTEL. but on MUNICIPAL headquarter, and bring all the camera and TV crews in there, I think everybody will start praising him for that! rather than political gathering and scoring political points.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2010

    Msaada tutani?? hivi tofauti ya kazi za meya na Mkuu wa mkkoa ni zipi?? maana naona nachanganyikiwa?? mipaka ip au hakuna. Naomba Ankal uirushe ili tupate elimu ya ziada

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2010

    Nilikuwa Kigali,Rwanda wiki iliyopita, they walk the Talk while we Talk and Talk.
    Hao wadau waende Kigali kujifunza , hasa Meya na Mkuu wa Mkoa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...