Taswira ya msanii ya daraja la kigamboni bridge. haihusiani na stori wala picha hapa chini

Hi Ankal,



Nilisoma habari ya mdau Robert kuhusu kampuni ya Ace Consulting kuandika katika mtandao wao kwamba daraja la Kigamboni Bridge limekwisha jengwa. Nikaona isiwe tabu.. nikawatwangia ka email na leo wamejibu kama ifwatavyo:




Mdauzzz


Dear Sir,

Thanks for the e-mail and your observation. We would like to note that:ACE has already conducted the services of "Feasibility Studies and Design” for the “Kigamboni Bridge” project during the period from 2005 to early 2007.



The client is the "National Social Security Fund of Tanzania". The required awarded services was completed and the project was closed for ACE since early 2007. Rufiji Bridge is also another project in Tanzania for which ACE provided its services.


The observed wording mistake - which is basically a result of our website developer getting confused between the information and services provided for both of ACE's projects - has been taken care of and corrected.Regards,ACE IT Department ACE Consulting Engineers



Moharram.Bakhoum


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Daraja litakuwa Upande wa Kurasini sio kivukoni, Kivukoni haiwezekani sababu ya mameli makubwa Mambo ya Daraja la kufunguka bado sana. Kurasini litakuwepo Daraja.

    STORI ALIYOTOWA HUYO JAMAA KAMA VILE KAJIBIWA NI UONGO TU ANAJARIBU WATU TUPATE KUANZA KUWEKA MAONI. MAKAMPUNI NI MENGI YANATAKAK UJENGA DARAJA HAPO TATIZO NI SERIKALI BADO WANAFIKIRIA YUPI NDIO WAMPE. SEIF.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    http://3.bp.blogspot.com/_D6uU3fAZaoY/S31-Tl-N89I/AAAAAAAAAQc/baboZwT6tic/s1600-h/DSC00760.JPG

    Tizameni hilo hapo daraja la kigamboni kazi kwenu sasa. Masudi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2010

    well done!

    Tukiweza kuwauliza hata viongozi wetu wa serikali maswali kama haya itakuwa vizuri sana.

    Lugalo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2010

    I think we should ask our officials and office responsible for this project, on their dumb founded, hijacked of the NATIONAL interest and their own mind and interest by this type of oversea companies, to be allowed to be taken for granted, in other words "ULAJI UMESHAPITA, I am just saying!"

    I wonder if this wasn't part of EPA scandal, they might have already corrected the WORDING, but I tell you what? It is probably with cost, of tax payers money, (IT IS JUST PERCEIVED SPECULATION, but you cann't rule out anything with CORRUPT officials in Tanzania, i think thats the line of inquiry to follow through as well.)

    If what they are saying is correct, then we should probe "National Social Security Fund of Tanzania", the contractor did the research as confirmed so what was the next step, or is the project thrown down the drain, while millions paid for research for NOTHING, or are we expecting them, to build the bridge, A LOT OF QUESTIONS TO BE ASKED ? I WONDER IF WE ARE GOING TO GET ANY CLEAR ANSWER FROM THEM.(NSCFT)..

    and from the ACE part, how come the webdesigner is getting confused on what words to put on which picture, I think this was deliberate on their part, they thought no body would find out, and unfortunately we dig them from their feets. I believe they use it on their own advantages, halafu wanamsingizia web designer.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2010

    HAHAAHAHA LELOOOOOOOOO TANZANIA SERIKALI INAJUTA KUONA DAH NET INAMWAGA RAZI YA VITU KUJULIKANA, WANAVYOFICHA SASA SIJUI WAKIULIZWA WATA JIBU VIPI, ITABIDI WAANZE WAANDISHI WETU KUFANYA PANORAMA DOCUMENTARY KUHUSU HIZI PROJECT ZETU NCHINI TANZANIA. HASSAN.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2010

    Kwa nini tusijenge barabara nzuri tu huko huko Kusini?

    Hizi pesa tununulie madawati na nguo za wagonjwa wa hospitali kuliko wagonjwa kuvaa nguo zao na mama wajifunguao kuvaa kanga zao: usafi uko wapi? Chawa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 04, 2010

    Ukisikia habari za Daraja la kigamboni utasema kweli sie kama tumelaaniwa vile.

    Apparently rais Mkapa alishatoa decree daraa lijengwe lakini kuna bureaucrat au tusea FISADI mmoja pale wizara ya mipango kwa kufuata instructions za akina Mgonja na Mraba waliamua kwa kusudi bila sababu za msingi kuchelewesha ujenzi mpaka pesa za ORIT walizokuwa wanataka kutoa wa HOLANZI zikaondoka...yes yule bwana mpaka leo yuko pale MIPANGO ana itwa CHACHA...

    NSSF walipoamua kutafuta finance kwa mpango wa BOT huwezi kuamini CHACHA alikuwa anainungwa mkono na nani...WORLD BANK TANZANIA...ambao walikuwa wanasema eti sisi watanzania bado hatujafikia hatua ya kutaka tuwe na lanes 5 kila upande wa daraja as if wao WORLD BANK walikuwa wanatoa pesa! na ohh huyu bwana Chacha yuko pale ssa hivi anaendelea kutia ukaizibe barabara ya mpya ya kwenda Chalinze. Halafu mnatafuta wachawi!


    Ufisadi si kuibia serikali bali kuzuia miradi ya maendeleo bila sababu za msingi and its a sad state tuliofikia.


    Hivi hawa waTAWALA wetu washafika Nigeria wakaona yale madaraja waliyojengwa Lagos na ma superhighways yao pamoja na ufisadi wao?

    lakini tusishangae sana THIS IS THE ONLY COUNTRY IN THE WORLD PRESIDENTAL DECREE inapuuzwa na civil servant na hakuna kinachotendeka!

    ReplyDelete
  8. Wabongo tunalilia kuwepo kwa Landmark ya daraja kama nchi nyingine wasiwasi wangu ni hawa madereva wetu vichwa panzi watakavyo hamisha roho za watu kila kukicha.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 04, 2010

    annon may 4,2.19 am

    kweli kuna watu bongo wamehsakua mungu-watu,ndo ivo ubabe ubabe tu kama JK alivokuja jana na TIMU ZIMA LA WAJESHI

    sijui anatutisha?sijui lakini

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 04, 2010

    mdau wa Mon May 03, 07:59:00 PM umesoma kwa makini maelezo lakini?

    ReplyDelete
  11. Enzi za Mzee Ruksa tuseme kwenye mwaka 1990 nikiwa mwanndishi wa habari wa Daily News, waFaransa walikuja nakufanya feasibility study ya daraja pale Kigamboni. Walisema hayo hayo, kuwa kujenga daraja pale Kivukoni haitafaa. Walisema ingekuwa bora wajenge karibu na Kurasini kisa....pafupi zaidi!!!!! Na tulipanda magari na kwenda kwenye sehemu zote mbili pamaja na waziri wa wakati huo ambaye nimemsahau (Kibona?)

    Michuzi hebu cheki archives za Daily News utaona stori niliyoandika.

    ReplyDelete
  12. Mdauzzz - GenevaMay 04, 2010

    Nakuunga mkono mdau wa Tue May 04, 11:59:59 AM. Mijitu mingine hata haisomi vizuri habari - kazi kuropoka tu. Anyway mimi ndie nliliye waandikia na wamejibu plus wamerekebisha - Habari ndio hiyo... Libeneke oyeeee!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...