Cover of 3rd Issue
Cover of 2nd issue

Get it First.Get it Fast!!!
Buy nothing Until you buy MAN Magazine!!!

The Second Copy is Sold for a half Price.
For further Information or queries please Contact EuroCom
Harbour View Towers,
Suite no:422,
Samora Avenue,
P.O.Box 11286,
Dar es Salaam,
Tanzania.
Tel: +255 22 2120616,Fax: +255 22 2120617,
Mobile: +255 784 407 475,or +255 787 699690.
E-MAIL: info@eurocom.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2010

    Ni mwamko mzuri kuona majarida ya kiwango cha juu yanapatikana kwa sasa Nyumbani
    Ila ningependa pia wajaribu kuandaa habari zenye uhakika na ukweli,mfano mdogo Mohamed dewji kumuita billionare?labda uweke kwenye mabano uliimaanisha billionare ya bongo,otherwise mutaoneka wababaishaji katika kazi zenu

    Mdau Mbuli

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2010

    wasomaji wakubwa ni akina nani

    wanawake wanaotaka kuwaelewa wanaume ama midume inayotaka kusoma kuhusu midume wenzao?

    Mbona kunatishiana nyau!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2010

    Matoleo yajao muwaweke akina John Mashaka, Peter Nalitolela, Dr. US Blogger lakinikwanzamuanze na mjomba wao, ankal Michuzi.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2010

    Nadhani Billionaire ni Billionare tu. Sio lazima mpaka awe Billionare wa Saudi Arabia ndio awe Billionare.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2010

    Kwa hela ya madafu hata mimi billionear...na hasheem trillioner.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2010

    Ofisi za gazeti ziko wapi? Toeni contact mpate michango ya wasomaji ili mtoe kitu kizuri zaidi.
    MO ni young and handsome, ana tabia nzuri na flexible, nampenda. huo ubilionea wake tutaonaje, hatuli kwake.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2010

    toleo lijalo atoke Michuzi na any success vijana maana kwa namna moja au nyingine ameweza kuwa mjasiriamali ni nzuri sana kwa mimi na wengine kujipima why not mimi/sisi nk

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2010

    Dismaz hongera bro. Gazeti zuri.mbeleni nashauri ubadilishe jina to DUME au KIDUME.Tulete kesho mazoezini bro.Tupo pamoja

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2010

    Mo is a Billionaire ndio TZ..And Mo has Mo Money & Mo Assets than Hasheem because Hasheem's contract ni $7.7M for two yrs sawa na 11bn za kibongo before luxury tax kiama na Agent zake 15% hapo ya 11bn = 1.65Bn + wapambambe na settlement ya TID kupigwa? ondoa pia, na House Masaki and Big Boy toys (VOGUE)...u Trillionaire wa Hasheem "No Wapo" hapo haupo kaka, US ni Millionaire borderline for our Rookie Thabeet, yeye apige tizi dogo, aache watoto wa IFM na mziki wa Range nje IFM..MeTL is $500M Empire usipime apples na oranges..what what!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...