Waziri wa Nishati na Madini mH. William Ngeleja (kulia) na Mwekezaji wa kampuni ya Ophir , ambae ni Technical Director bW. Jonathan Taylor wakiwekeana mkataba kwa ajili ya utafutaji wa gesi na mafuta baharini katika eneo la Kusini mwa Tanzania na litagharimu karibu shilingi zaidi ya trilioni 10 za madafu ama dola bilioni 7 za Kimarekani. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2010

    THATS INSANE,OCEAN/OFF SHORE DRILLING?HAVEN'T YOU HEARD OF WHAT IS WHAPPENING IN THE GULF OF MEXICO???OILS SPILLS WHICH IS THREATENING TO KILL MILLIONS OF SEA CREATURES,AND THIS IS HAPPENING IN THE USA A MOST DEVELOPED COUNTRY AS FAR AS TECHNOLOGY IS CONCERNED AND THEY HAVE FAILED TO STOP THE GUSHING OF MILLIONS OF LITRES POURING 24/7 IN THE OCEAN.NOW YOU GUYS WANNA DRILL IN THE OCEAN,THATS INSANE COZ IN FUTURE IF OIL SPILLS OCCURED,WHO'S GONNA BE ABLE TO SAVE THE LIVES IN THE OCEAN FOR A POOR COUNTRY AS OURS?THINK AGAIN GUYS!!

    ReplyDelete
  2. 10% ya hii Deal ni $700M.

    Uchaguzi 2010 ni CCM Daima.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2010

    Naona Mhe. Mb. Mkono kama kawa huchezi mbali na hela ndefu baba!...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2010

    Mkubwa mpe heshima yake

    Bow down

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2010

    some where nilisoma ama nilisikia !! katika miaka hijayo mafuta ya waarubu yataisha then mafuta yatakuja vumbuliwa katika nchi za africa !! Sasa hapo sijuhi kutakuwaje sijuhi Africa hitakuwa kama ulayakimaendeleo ama vita ndo vita tumaliza ????

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2010

    Hicho kisima/visima nadhani ni aghali sana kuchimba maana vinagharimu madafu trillion kumi ambayo ni serikali ambayo inalipa, vile kama wawekezaji wakipata chochote huikata serikali gharama iliyotumia katika utafutaji wa gesi. Hiyo gharama ni cost recoverable serikalini, ni kama serikali ndio inagharamia uchimbwaji huo. Hayo siyo mapato, ni costs za uchimbaji.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2010

    Namuona mtaalamu wa sheria za mabenki na nishati nchini, Mh. Mkono.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2010

    Du! Maulaji hayoooooo bongo. Mahali yupo Mzee Mkono mheshimiwa! hiyo ni kali kuliko zote. Tuombe mungu mkakati huu utawafaa vitukuu vyetu lakini sisi walaaa hata sampuli ya tone la rojo la mafuta hatutayaona kama vile ilivyo mazahabu. Kila la kheri bwna Ngeleja

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2010

    Hizo ni Gharama za Uchimbaji wa visima katika utafutaji wa mafuta, na si fedha ambayo hao wawekezaji wanailipa serikali. La hasha. Ikitokea hao wawekezaji wamepata chochote, yaani mafuta (Mungu saidia)au gesi, basi baadae huja kuikata serikali gharaza zote hizo ilizotumia tena saa nyingine na riba juu yake.

    Kwa ufupi hizo gharama huja kufidiwa na kodi za wananchi. Mark me, HAYO SIYO MAPATO.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 26, 2010

    Deal yoyote ikimhusisha huyo mzee mwenye kikofia hapo naogopa sana. Huyu ni kati ya watu waliotutumbukiza kwenye madili ya ajabu. Kazi ipo

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 26, 2010

    When I joined Shell in 1972, it cost the company 2.5 million ringgit to drill an average oil well of 8000 ft. The price of crude was at 2.42 USD per barrel.[5] When I left in 1995 the cost to drill one average well has gone up to over 10 million ringgit and the price of crude was steady at 19.60 USD per barrel! At its peak in 1986, during the Opec oil crises, crude was selling at 34 USD on the spot market! What do you think? Did Shell make any money?Assuming that an average oil well produces an average of 1000 bbl/day for an average of 15 years @ an average price of 15 USD. We have 82 million USD from just one average oil well!

    So John Mashaka and Wadau can you speculate how much Tanzania can earn in the near future?
    Mdau
    davidchin3718.blogspot.com/

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 26, 2010

    John Mashaka and Wadau
    A One Million Dollar question, for example if we take Shell

    How much does it really cost Shell to refine, transport and market one barrel of crude? What is the resultant value of the finished products per litre? Nobody knows and Shell is not telling! It depends on the type of crude oil, Arabian light or North Sea heavy crude. Is it really a trade secret? What is the price of crude today for North Sea Brent and for Arabian Light? Do you know? Prices and costs are always changing.We know that North Sea crude is selling at a different price from Arabian light. Malaysian crude, being low in sulfur content is selling at a higher price! What about government’s royalty and production sharing agreements? Confusing isn’t it? Is this why we do not get a straight answer from the oil companies?! I am sure some one knows the bottom line; but knowing and telling are two very different things!
    Mdau
    davidchin3718.blogspot.com/

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2010

    RES IPSA LOQUITUR

    THINGS SPEAK FOR THEMSELVES

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 27, 2010

    Ankal tafadhali hakikisha kama ni $7Billion with a B manake namba inatisha kwa kuwa inazidi bajeti ya taifa kwa mwaka.

    Hao kwenye picha ndio wanaume.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 27, 2010

    Were not those costs a bit exaggerated? Incredibly high.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 27, 2010

    what's the fuss all about you silly tanzanians!!! nimeshawaambia aliyeturoga alikufaga hata kabla wakoloni hawajachukua hii nchi, so ahueni yenu ni mpaka aliyeturoga afufuke kimiujiza aje kutuonea huruma apunguze ukali wa madawa aliyotumia kutufanya mazezeta wenye kifafa cha kudumu!! tukanyage twende tu jamani for we have all decided that there is no way out of this fuckin'shit kwahiyo tuache kulalamika tutafika tu.wajanja walishazikimbia hizi kero leo hii wana makaratasi yao ulaya na marekani za kaskazini huko hizi kero hawataki hata kuzisikia haziwahusu, wenzangu na mie mbugila tuliokosa hata vischolarship vya kupewa na kuchapwa makofi juu yake bado tupo na ndo kwanza umri unatutupa mkono, acheni kulalamika si ndio nyie mnaopewagwa hongo za tshirts na kanga kila october ya mwaka unaogawanyika kwa tano?? sasa kelele za nini na wakati bado miezi minne tu mtapewa tshirt mpya na kanga mpya kwa ajili ya kuvaa miaka mitano ijayo?? michuzi bwana hawa watu wanaopenda kulalamikalalamika bila mpango wa kueleweka humu uwage unawatosa tu bwana maana wanatuchezea akili zetu. mngekuwa mnalalamikaga kwa vitendo basi leohii hapo kwenye picha huyo mzee mwenye kikofia chekundu utadhani mzee kifimbocheza wa gazeti la sani tusingemuona, na si ajabu hata mkataba wenyewe usingekuwa unasomeka kwa matrillioni ya kiasi hicho. so let's obey and follow our choices!!! you want it? yes, how do you want it?? they way you wanted it!! so? kaeni kimya na pia muache kuwachoma vibaka moto, hali ingekuwa nzuri wasingewaibia.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 27, 2010

    Hivi huu mkataba mkubwa hivi uliwekwa wapi wananchi wakauchambua na kujua nini kitawasibu wao na wanao miaka elfu lela ulela?

    Tanzania kuburuzana tu..Kuchimba mafuta habari hata haikupigiwa kelele kabisa. Bunge lilijadili hii kitu lini manake nilipitwa hebu nielezeni

    I am so greatful for the opportunity I had to get out of that county. Mniseme msiniseme lakini vitu kama hivi ndio vinanifanya kila siku niwakumbushe wanangu how lucky they are...

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 27, 2010

    tz in wenyewe bwana. sijui nyie mnalalamika nini! mzee wa kikofia cha ushungi hapo ameisha panga kuongeza vitega uchumi kwa ajili ya vitukuu. hapo mawazo si mengine

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 27, 2010

    Watu wengine bwana! utadhani walizaliwa katika umaskini wa kutupwa, wakisikia pesa udenda unwatoka. Hebu cheki mzee kifimbo cheza udenda unavyomtoka akiangalia hozo saini za matiriri.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 27, 2010

    Naomba kuwapakulia kidogo tu kutoka kwenye chungu. Siku hizi angalau tumeamka. Kama wachangiaji wengine walivyoeleza kwamba 7bn USD ni cost hiyo ni kweli. Lakini mikataba ya siku hizi ya kuchimba mafuta ni Production Sharing Agreements btw the gvment and investors na ni 50/50 share. Hivyo mafuta yakipatikana investors wanaruhusiwa ku recover only 50% ya costs zao (3.5bn USD) na sio zote. Na vile vile kuna requirement kwamba lazima waipe gvmet 25% ya production kila yanapotoka kwa gvment (through TPDC) kuuza wenyewe. The 50% cost wanayorecover inatokana na remaining 75% wanayouza wenyewe. Wakimaliza kurecover 50% gvment inakuwa imelipia share zake na wanaanza kugawana 50/50 ya chochote kinachotoka. Kwangu mimi hii mikataba ya mafuta ni bora kuliko ile ya madini. I give JK credit for this. Nawakilisha

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 27, 2010

    Point yetu ni kwamba, wawekezaji wana-recover hizo costs zote, na bado mgao wao upo pale pale. Share ya Serikali ukiichambua kiukwelii ni kidogo sana. Serikali inapata asilimia ya mgao wa mapato baada ya makato. Hiyo 50% (if at all)nadhani ni ya profit gas (ambapo pia wawekezaji nao hupata 50%), baada ya deduction ya cost gas ambayo huenda kwa wawekezaji, na saa nyingine huwa na malimbikizo ya riba.

    Shida yetu nyingine, ni nani aliyehakiki kuwa kweli hizo gharama ni za kweli au zimezidishwa?

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 27, 2010

    Kama kweli mkataba uko hivyo nadhani JK atakuwa amecheza kweli safi sana

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 27, 2010

    Tarehe Thu May 27, 03:01:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous

    ANON Mentioned above you have talked some Sense...hatuwezi kukurupuka asubuhi jamaa katua na ndege michuzi anatuletea picha mkataba wa 7bn dollar nenda na 7bn dollars marekani/UK kajaribu ku invest uone utakavyochunguzwa na kujadiliwa na bunge kabla hawajashtukia ni mwizi
    jamani hili limejadiliwa lini? je employment hapo watanzania wangapi tutaajiriwa AU NDO MZEE MKONO PEKE YAKE KAAJIRIWA? MKONO ni SERIKALI au SOME PRIVATE BLOKE? mezani mbona kuna kabendera ketu tu huyu jamaa anatoka wapi? kuna mengi tusiojua tuache porojo

    CHECK MAMBO HAYA MICHUZI PLS POST THIS

    ***On 28 October 2005, the Group was awarded a 100% interest in Block 1, offshore Tanzania. The Government of the United Republic of Tanzania has back-in rights of 12% in the event of a commercial discovery. In 2006, the Group acquired a 100% interest in Blocks 3 and 4 which commenced on 19 June 2006. The Government has a back-in right of 15% in these two blocks.****

    MORE INFO GO TO
    http://www.ophirenergy.com/Default.aspx?folder=PageViewer&control=Default&master_id=129&parent_id=129&page_id=229

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 27, 2010

    kama kawaida,hatujaisikia popote hii news

    ivi haiwezekani maswala kama haya yajadiliwe kwanza na wanainchi/bunge ili tujue prons n cons zake?

    ipo siku

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 27, 2010

    nina uhakika kwanza huu mkataba umeandikwa kingereza jamaa wanatia sign bila kusoma/kuelewa

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 27, 2010

    The figure is 7 million dollars (Tsh 10 Billion)na sio $7 billion(Tsh 10 Trillion). Tatizo letu watz na waandishi wetu wa habari tunashindwa sana kwenye haya mambo ya mahesabu na kuweka uwiano, get your figures right.
    Na hii ni kwa ajili ya exploration hakuna uhakika kama kuna mafuta au gesi. That is their risk they take with their 7mil dollars. No one in this world gamble with 7 billion dollars !! Unless you are Lehmann Bro and look where they are now?

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 27, 2010

    Anon May 27, 11:37

    Who are you to make such a clarification statement. Are you an authorized person or the Government's spokesperson?

    Personally, I am not obligated to take your word for it.

    You could be just another Tom-Dick-and-Harry.

    My initial query on the costs still stands.

    We need proof, not just Bla! Bla!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...