You can get a copy at 'a novel idea' outlets in Dar and Arusha. Also at la petite Galarie at Oysterbay Hotel. L'arca di Noe Namanga". The 62-page full colour comic book sells @ 10,000/- madafu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2010

    Mambo vipi makaka na madada humu ndani bila kukusahau ankal michuzi.Mi naomba kuuliza swali,hivyo huyu mtunga hiki kitabu ni mzungu au mtu wa hapa nyumbani?? kama ni mtu wa bongo au kama hiki kitabu kinazamilia kisomwe na wa bongo au kama katuni zinahusu maadili ya bongo, KWA NINI JAMAA ANACHORA KATUNI PICHA ZA KIZUNGU?? au gamba ndio kizungu ndani katuni zinakuwa za kiafrika?.Sielewi jamaa sababu zake kuweka mizungu,wakati watu siku zote tumefurahia picha za kina pimbi,chakubanga na katuni wengine,ingekuwa vizuri kama huyu mtungaji angekaa mstahili huu huu wa katuni tulizozoea.kwani sisi si wazungu.sina maana achore picha za kina pimbi nina maana katuni za ki-bantu, sio watu weupe na nywele zao za tambi,`draw cartoons that people can relate to`

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2010

    mdau Tue Jun 01, 01:16:00 PM unayesema katuni zimechora za wazungu ... weee vipi wewe

    wewe huoni huyo masai anakuwakilisha wewe ???? nitakuletea miwani uvae
    mbaguzi wa rangi wewe ....

    mdau
    Dar

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2010

    chikoko amechora tu lkn alietunga hicho kitabu ni mzungu na nivizuri upate nakala yako kisha utajua kwanini kuna pic za wazungu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...