Mratibu wa Masuala ya Jinsia katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Winfrida Rutahindurwa akizungumza na Wandishi wa Habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa chuo cha Urembo kiitwacho Pure Academy uzinduzi huo ulifanyika Jijini Jana , chuo hicho kilichopo Upanga Jijini Dar es Salaam, kitaanza kutoa mafunzo yake mwezi Agosti mwaka huu.
Mdau wa masuala ya urembo, Barnabas Lugwisha, ambaye ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Scangroup Tawi la Tanzania, akibadilishana mawazo na mdau mwingine Prashant Powar, ambaye ni Mkurugenzi wa Matukio wa Kampuni ya Round Trip ambayo pia ni kampuni tanzu ya Scangroup katika uzinduzi wa Chuo cha kwanza kabisa nchini cha masuala ya Urembo Pure Academy kilichopo Upanga Jijini, Chuo hicho kitaanza kutoa mafunzo mwenzi Agosti mwaka huu.

**********************************

Pure Academy of Aesthetics Limited has launched an academy of aesthetics in Dar es Salaam where various courses on beauty will be offered.

The academy which is located at Upanga in the City would of its kind in the East Africa zone and would be operational on August this year

The academy was launched yesterday in the City by Gender Coordinator in the Ministry of Education and Vocation Studies, Winfrida Rutahindurwa who commended the company for establishing such college in the country since it would create more employment opportunity.

“This is a good initiative toward creating employment opportunity in our society, I would like to take thing opportunity to commend all of you for this brilliant idea,” she said.

She said the government would support the academy urging youth to enroll and take various.

Yasmin Shariff a founder of the academy said that the academy would offer Aesthetics Education in Hair Styling, Make up and Skin care, a concept that will bring both beauty and education together.

She said in mind the global interest in beauty and styling and a prospective career path for innumerable Tanzanians seeking this education, Pure is a new hope for potential students with promising careers on the horizon.

On his part Yasim said “My vision was larger in mind, along side a beauty salon and spa I wished to open an academy that will facilitate better prospects in Tanzania. There were limitations for students interested in this field with no easy access to this beautiful education within the country, however things have changed now & Pure has arrived to make this possible and contribute in a big way to dynamic careers!”

She noted students will have access to a superior and top-notch education at an extremely affordable price in the country itself in comparison to going abroad. She has roped in expert teachers & professionals from the US and Canada and has created an international approach for the students in the country. The idea in bringing international expertise was to create a broader spectrum of knowledge on an international level and this will give the students enhanced global insight into the business of aesthetics & augment the scope of learning.

She added “Moving well beyond the traditional paradigm of school training, the Academy will provide an unparalleled approach to Aesthetics Education. This progressive curriculum will shape the flexibility to work in a diversity of avenues ranging from salon, editorial, runway, television, production studios and film sets. With this in mind Pure plans to cave a niche for this avenue in Tanzania”.

Yasmin Shariff has also launched the Pure Hair & Beauty Spa alongside the academy in the same premises. She claims people will get Pure Perfection from Head to Toe, a Spa and Salon that will cater to people who are looking at treatments & styling which is a cut above the rest.



For extraordinary experiences and perfection; Pure defines a new meaning of Hair and beauty Spa unlike any other in Tanzania. Apart from highly trained personnel, the beauty spa and salon will also allow students of the academy to get on the job training & experience which will give them easier access to their practical work and prepare them for future jobs outside of Pure.

She said Pure displays immaculate potential as a venture not only to further talent and create opportunities for young students but also to broaden the scope of the industry in Tanzania thereby increasing employment; providing them first hand superior quality education right in their backyard!

She noted “Pure believes Beauty is what you make of it and Beauty with an education can make Beautiful People! So what are you waiting for, tap your beautiful side and get ready to “open your mind to a beautiful education” alongside Pure Hair and Beauty Spa- Pure Perfection from Head to Toe, treat yourself to a beautiful experience”.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2010

    Ankal pole na majuku ya kazi na natumai umesharudi bongo kuliendeleza libeneke.

    Ankal nimekutana na aibu ya mwaka kuhusu Airport ya Arusha. Habari hii ipo kwny yahoo. Ingawaje lugha yenyewe kama kichina lakini wadau wanaweza kutumia google translate kupata maana halisi hata hivyo picha zenyewe tu zinajieleza. Wanasema Airport hii ni kama choo, na kuna viti vya plastic(kama vile vya cocacola/pepsi) na pia vinatumika kukingia maji ya mvua yanayovuja kupitia katika bati.
    Cha ajabu na wahusika wapo na hali halisi inaonekana,hii ni aibu sana kwa nchi yetu.
    Fuatilia habari hii picha katika link
    hii.

    Ã¥“*笑ä¸�å¾— Ã¥�¦Ã¦Ã‚¡‘å°Â¼Ãƒ¤Ã‚ºšÃ¥€™Ãƒ¦Å“ºÃ¥Ã‚¤Ã‚§Ãƒ¥Å½…竟åƒ�厕所èˆÂ¬Ãƒ§Ã‚®€Ãƒ©™‹ - é›…è™Å½Ãƒ¦—…æ¸Â¸

    Mdau ughaibuni
    Libeneke oyeee!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2010

    Brialliant idea, and it should be respected like other profesiionals.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2010

    Ahsanteni sana. Sasa Baada ya hicho Tunasubiri muanzishe chuo cha kutoa mafunzo ya mapenzi, Jinsi ya kumtongoza mrembo, staili tofautitofauti za kubanjuana, ufanisi Kitandani, muda gani wa kuvaa kimini, kipindi gani utembee bila chupi, ni aina gani ya kilio cha ku-feel utamu unachotakiwa kukitoa uwapo kwenye tendo la ndoa etc!! Bongo bwana!! Halafu Mjomba Paulo Kamau akiwaambia watanzania you are Party Animals and the FUNNIEST creatures in the world mnamshambulia. Urembo hadi vyuo vikuu na mashirika yanamwaga mipesa kufadhili, fuckn'hell!!!
    Paschal, UK

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2010

    we unayejiita paschael ndo wale wale, yaani we umeona hiyo business si kitu, uamke mzee, halafu sijui uko uk, hivi huoni na kujifunza , jitahidi ufumbue macho yako na think big, unajua nafasi ngapi za kazi zitapatikana? inajua ni vitu vingapi vitakavyokua stimulated? angalia hayo yote unayopwaza kichwani, vitu hivi vingi vinapoanzishwa vinasababisha uchumi kukua, hapo tu wakianza kutangaza hiyo shule, vyombo mbalimbali vya habari vitaanza kupata fedha, wameshafanya mkutano hapo tanzama hospitality indusrty ishakamata zake tayari, bado mambo mengine kibao yatakayonufaisha taifa, huo urembo watu watafundishwa vitu vizuri tuu ving kwa mfano katika mikutano unatkiwa uvae je? ujirembe vipi ambayo itahusu adabu pia, vijana wengi wanazurura mitaani hawana la kufanya, hamna kzi halfu vitu vya kuwapatia maarifa na kazi vikianzishwa mnaosha vinywa vile vile sijui mnataka nini du?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2010

    Nguvu zielekwezwe katika Sayansi na teknolojia.
    Siku hizi kumekuwa na mfumuko wa mabinti zetu wengi kukimbilia 'umiss' na fashion shows tu!

    Hii ni hatari kama tunataka kutokamo! Ndiyo nimesema KUTOKAMO kwenye umaskini uliokubhuhu!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2010

    Ulaji huo . Watu wanajitengenezea ulaji. sio chuo cha serikali hicho. Ni cha wahindi kwa ushirikiano na wazungu wa Canada. Na mswahili hapo kaingizwa kuhalalisha.Pesa hizo za wadanganyika zinaondoka. Na huyu mama kumchagua aongee na waandishi hawajakosea. maana hawa akina Rurahindurwa si mchezo . Hata kwenye EPA wapo. Ukitaka utapeli ukae pahala pake, waingize hawa watu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2010

    KAKA MITHUPU NAOMBA JINA KAMILI LA HIYO SHULE NA CONTACTS KM ZINAPATIKANA NATAKA KUJUA WANAANZA LINI NA ENTRY QUALIFICATIONS NNA MDOGOWANGU NAHISI KITAMFAA SAANA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 03, 2010

    Yaani wanadamu sasa mnafika pabaya kabisa, mahali pa kumkosoa Mungu na sasa mnaanzisha vyuo vya kujirekebisha. Kama ni kiburi cha kuwa na pesa ambavyo ni kwa rehema za Mungu mmepewa, si afadhali basi mkawape watoto yatima katika vituo vya kulelea yatima ili mupate heri kwa Mola!!
    Hicho sasa siyo chuo cha urembo bali chuo cha uharibifu kama hamjui. Urembo anaujua Mungu wako aliyekuumba. Kama mnadhani Mungu alikosea kuwaumba hivyo mulivyo na mnataka kumkosoa, sasa mutamjua.
    Mutaharibika badala ya kurembuka mnakofikiria.
    Wewe mwenye masikio achana kabisa na hicho choo chako cha uharibifu.
    Kaka Michuzi, weka wosia huu ili pengine wataeuka watu, maana sasa watu hawana hofu ya Mungu kabisa!!
    Mmejichuna peke yenu, mmeona haitoshi mnajenga vyuo ili wengi waharibike.
    KUKOSEKANA KWA CHUO CHA UREMBO WALA HAKUTAATHIRI MAENDELEO YA NCHI NA WALA HAKUPUNGUZI MAENDELEO YOYOTE, BALI KUTAPUNGUZA IDADI YA WAHARIBIKA.
    MWOGOPENI MUNGU.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 03, 2010

    we mdau wa UK inategema una umri gani kama hupo 40'and above wewe bado walewale wanaoamini kila mtu lazima asome awe doctor au lawyer,sio kila mtu ana akili hiyo, get a life hujui unachokiongea,fani ya urembo ni fani inayokuwa sana tena ulimwengu mzima,na nchi nyingine wanachukulia serious.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 03, 2010

    hivi jamani kila kinacholetwa humu nchini ni lazima tukipokee hata kama kukosekana kwake hakutaathiri chochote kuhusiana na maendeleo kitaifa?
    Na sisi kwa kukubalikubali, hatujambo. Na zaidi kinachozidisha kwetu, tumezidi mno kuiga.

    Nina wasiwasi kama mtu atajitokeza kuleta chuo cha kukeketana, nafikiri tutampokea na kumsifu kuwa amebuni kitu kizuri!!! Mh!

    Wameleta madawa ya kubadili maumbile, tumekimbilia!! Madawa ya kurudia ubikira (viginity) watu wanakimbilia!! AAHHH, KIZAZI GANI HIIIIIIIIKIIIIIIII ?????!!!!!!!!!!

    Haya, yetu macho na masikio.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 03, 2010

    Tumekwisha...hayo ndio maendeleo jamani...mmmh sasa wasichana hawatasoma...hiki ni kama chuo cha women exploitation...amkeni watz...I do not think many parents are going to be proud of sending their daughters there si bora pesa ziende kuhamasisha vyuo vya afya, engeneering na professions zingine za kuongeza wataalamu nchini...tunakwenda wapi watz?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...