
Naibu Balozi Uingereza Chabaka Kilumanga akiteta na Dr Jane Goodall kwenye tafrija ya miaka 50 ya Taasisi yake . Dr Goodall alikuja Tanzania kwanza 1960 alivyokuwa na miaka 23 . Utafiti wa Nyani ( Chimpanzee) Gombe ambayo imesaidia kukuza jina la Tanzania kwenye maswala ya hifadhi ya wanyama aina ya chimpanzee duniani.
Kaka Misupu kwa matumizi ya baadae chimpanzee ni sokwe na sio nyani(baboon)