Home
Unlabelled
Rage atangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la tabora mjini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
he! kwani ukishakuwa mfungwa waruhusiwa ?
ReplyDeletemichuzi nimeuliza swali nahitaji majibu sio kubana ah ah
Nadhani si sahihi kutumia makao makuu ya klbu ya Simba kutangaza dhamira ya kisiasa. Hayo ndio mapungufu ya kutokuwa na busara. Hebu tujiulize umechaguliwa kuiongoza Simba hata miezi mitatu bado unakuja na ajenda nyengine ya kugombe uongozi ambao ni dhamana kubwa kwa wananchi. Hebu tuamkeni watanzania watu wasichezee wananchi. Chagua moja siasa ama soka.
ReplyDeleteIlikuwa ni muda tu, huyu jamaa Tabora wanamkubali sana tokea 2000 aliposhindana Prof Mgombelo. Rage alishinda kura za maoni ila NEC wakakata jina lake kuwa alizidisha takrima.
ReplyDeleteKutumia ofisi yako kuongea na waandishi si kosa provided dondoo muhimu ya mkutano ilikuwa ni masuala ya klabu na mwisho akadokeza tu kama AOB. Ila kama hakufanya hivyo atakuwa ametumia ofisi vibaya
Logistics officers wea r u...give answrs.
ReplyDeleteMdau M,A
ADEN Nakutakia kika la kheri lakini Utamuweza KABOYONGA mchumi aliyebobea?
ReplyDeleteKWA NINI USIITUMIE SAIGON CLUB KUTANGAZA NIA YAKO YA HUO UBUNGE?MIMI NAONA SI SAHIHI KUITUMIA CLUB YA SIMBA INAWEZA KUONEKANA SIMBA NDIO TUMEMTUMA WAKATI SI KWELI,HII COMMENT NAOMBA ITOKE KAMA ILIVYO
ReplyDeleteKABOYONGA NA RAGE!! .....KIFO NA USINGIZI,VITU VIWILI TOFAUTI,PIA TUSISAHAU YA WAHENGA,WAO WALISEMA MZIGO MZITO MPE MNYAMWEZI.
ReplyDeleteJe yale yooooote aliyowaahidi wanachama wa Simba wakati wa kampeni za kuwania uwenyekiti miezi michachee tu iliyopita atayatimiza vipi kama sasa anaelekeza nguvu ya kuwa mbunge ? Kweli bongo kalaghabao !!!! TIT This Is Tanzania.
ReplyDeleteHe!Bado hajakata tamaa tu?Mtaniambia kama yale ya FAT hayatorudishwa tena mtu atupwe lupango.
ReplyDeleteWadanganyika bwana!!! Tuko zaidi ya milioni 40 kwanini mtu mmoja akamate nyadhifa mbili??? Aendelee na uenyekiti Simba na ubunge aachie mtu mwingine. Ebo, asije peleka mambo ya simba bungeni badala ya kero za wanaTabora.
ReplyDeleteMgombelo uko wapi? au kwishinehi!!!
Rage tunakukubali sana tabora, big up tunakutegemea utuletee maendeleo, mungu akutangulie, wananchi wa tbr njini tunakupenda, wenye chuki wakae na chuki zao, husda na husda zao.
ReplyDeleteCCM HAINA TOFAUTI NA VIWANDA VYA MCHINA KWANI NAYO INAZALISHA WABUNGE WABOVU KAMA MALI ZA MCHINA.
ReplyDeleteRage alishinda katika rufaa yake, na maana yake ni kuwa uamuzi wa mwanzo haukuwa sahihi kwa hiyo hajafungwa!!!
ReplyDeleteJAMANI EEEH MI NITAMTETEA ADEN KUHUSU KUTANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE WAKATI NI HIVI MAJUZI TU ALICHAGULIWA KUWA M/KITI WA SIMBA,KWA MNAOFUATILIA NADHANI WENGI MMELISAHAU HILI,ADEN WAKATI AKIOMBA KURA PALE MKUTANONI ALISEMA ANAOMBA SIKU 90 TU,SASA KWA MNAOJUA HESABU SIKU 90 KUTOKA SIKU ILE ZITAMALIZIKA AMA KUTIMIA SIKU MAJINA YA WALIOPITISHWA NA CCM KUGOMBEA UBUNGE,HIVYO BASI RAGE KAMA ATAKUA MIONGONI MWA WATAKAOPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE,ATAACHANA NA SIMBA NDANI YA MUDA WA ZILE SIKU 90 ALIZOOMBA,SO WENYE KUITAKA NAFASI YA UENYEKITI SIMBA,MUOMBEENI ADEN APITISHWE KWENYE KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE,MAANAKE NAONA TATIZO NI "HUU WENYEKITI" ALIONAO,ATAWAPA MSIJALI
ReplyDelete