HABARI ZINASEMA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) DK WILBROAD SLAA AMEVUNJIKA MKONO WAKE WA KUUME AKIWA KATIKA SAFARI YA KUZUNGUKA MIKOANI KUTAFUTA WADHAMINI.
MWENYEKITI WA CHADEMA MH, FREEMAN MBOWE AMETHIBITISHA JAMBO HILO SASA HIVI NA KAIAMBIA TBC KWAMBA PAMOJA NA KUWA DK. SLAA AMEFUNGA PIOPIO LAKINI WATAENDELEA NA SAFARI AMBAPO LEO WATAKUWA SHINYANGA NA BAADAYE WATAELEKEA BUKOBA.
MBOWE AMESEMA DK SLAA AMEVUNJIKA MKONO BAADA YA KUTELEZA AKIWA BAFUNI NA KUSEMA KUWA HALI YAKE IKO POA NA ATAENDELEA NA MSAFARA.
DK. SLAA MWENYEWE KASIKIKA KUSEMA KUWA JAPO ANASIKIA MAUVIMU HAJAMBO NA ANAENDELEA NA LIBENEKE LA KUSAKA WADHAMINI NA KUJITAMBULISHA KWA WANACHAMA WAO
















































Namuombea Dr Slaa apone haraka, pia Mungu amuepushie mabaya yote.
Get well soon Mkombozi Dr. Slaa.
(US Blogger)
Dr. Slaa nimeshakuombea kura 1,000 za wana CCM wa bara na 675 za wana CCM wa Zanzibar na wameniahidi kukupa kura, sijamhonga mtu hata shilingi, ni nguvu za hoja tu kwani unauzika kuliko Tanzanite.
naendelea kukuombea kura za CCM...na kila anayekubali namuomba alete wengine 6 na hao sita walete 6, yaani nimeanzisha kampeni ya
'Ninamtafutia Dr. Slaa kura 6 ili atokomeze mafisadi'
Dr. Slaa, Freeman, Kabwe, tafadhalini sana anzisheni kampeni ya kutaka kila Mtanzania anayependfa nchi yake amtafutie Dr. Slaa kura 6, mimi nimeshaanza.
huu ni mwaka wa maajabu, kila Rais anayeoenda hii hii atumie nafasi hii ya pekeee ya kuweka historia nchini.
Ankal tafadhali usifanye ufisadi wa comment.
(US Blogger)
DR. SLAA NI MATUMAINI MAPYA YA WATANZANIA...
DR. SLAA NI NYOTA NJEMA YA WATANZANIA..
DR. SLAA AMETUMWA NA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE KUIKOMBOA TANZANIA LUTOKA KWA MAFISADI KAMA YEYE MWALIMU ALIVYOTUKOMBOA KUTOKA KWA MABEBERU...
DR. SLAA USIOGOPE TUKO PAMOJA NA WEWE LEO, KESHO HADI SIKU YA UCHAGUZI NA KUENDELEA
MUNGU AKUONGEZEE NGUVU....
mh!siokombora la sheikh yahya lakini maana huyu babu alishasema atakaempinga jk ata!!!!!!!!!!!!!!!
Hayo ndio madhara ya nyeto
Ahsante Akal Namuombea Dr. Slaa apone haraka.lakini kunajambo moja linanisikitisha Kuhusu TBC na magazeti ya CCM na serikali. kuchukua fomu ya kugombea Urais Dr.Slaa is not a news lakini kuvunjika mkono kwa Dr.Slaa is a news.HAWAMTAKII MEMA SHUJAA DR. SLAA.DAILY NEWS NA TBC NI VYOMBO VYA UMMA HABARI ZAO ZINAPASHWA KUA BALANCED MUNGU IBARIKI TANZANIA
wewe unayesema hawamtakii mema Dr.Slaa,juzi ukumsikia yule mwanamziki aliyehojiwa na redio free afrika ya mwanza,yule mwanamziki katwambia watanzania kuwa hatuna haja ya kudanganyika kwa wito wa sura mpya,bali tumchague rais ambaye ni mkweli,makini na mchapa kazi,akampa JK 100% kuwa ni mkombozi wa tanzania na wananchi wa tanzania,sasa hapa naona dalili za mvua ni mawingu sidhani kama Dr.Slaa ana chake.
We msemakweli hivi ni kweli ndio kweli unahukumu kwa staili hiyo? Wadau nadhani tujitahidi tu kumtakia mema na ukweli uko wazi jamaa walau anakidhi kiu fulani kwa wale wanaojua kazi zake.Sio kampeni ila ndo ukweli wenyewe.Asante Us bloger kwa kazi nzuri.Hatua ni mdogomdogo, e baba!