Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya kinyago kutoka kwa Askofu Jacob Mameo Ole Paulo wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Morogoro wakati wa Harambee ya kuchangia ujenzi wa sekondari ya Ebenezeri Lutheran Junior Seminary ya Morogoro.
Mkazi wa Sokoine Morogoro. Justine Shamba Kubwa akipongezwa na Rais Jakaya Kikwete Baada ya kuchangia shilingi Laki Mbili taslimu (200,000) wakati wa Harmbee ya Ujenzi wa shule ya sekondari ya Ebenezeri Lutheran Junior Seminary iliyopo Morogoro. Kulia ni Askofu Jacob Mameo Ole Paulo wa Dayosisi ya KKKT ya Morogoro aliyesima kulia kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa Morogoro Kanali mstaafu Issa Machibya .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. koti hilo, koti hilo Raisi, inakuwa kama zefula bwana.... Kauka nikavae nini mheshimiwa? maana picha nyingi ni koti hilo hilo......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...