Waandishi wa Habari kutoka mikoa ya Singida, Dodoma na Morogoro walioshiriki katika Mafunzo ya Uandishi Bora wa Habari za Uchaguzi, yaliyofanyika Julai 22-24 , 2010 mjini Dodoma. Watatu kushoto ni Mwezeshaji wa Mafunzo hayo, Lilian R. Kallaghe. Mafunzo hayo ya siku 3 yamedhaminiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
(Picha na Mbaraka Kambona)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2010

    Thadei Hafigwa mwisho kulia mstari wa nyuma-mwana St. Peters Seminary miaka ileeeeeeeeeeeeeeeee
    Big up kaka!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2010

    what a waste of money! kwani kabla ya kuwa waandishi wa habari hawa hawakusomea fani hii? kwani waliposomea fani hii hawakufunzwa juu ya uandishi bora? ina maana wakati wote mwengine wanakubalika kuwa na uandishi mbaya wa mambo tafauti?

    what a waste of money. Tanzania watu hutafuta kila sababu za kupata pesa za kushibisha matumbo yao. Sioni point ya mafunzo haya.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2010

    Wewe, Kaka hacha ujinga na ushamba! mafunzo katika sehemu za kazi ni muhimu ili kukabiliana na mabadiliko ya haina yoyote ile. Hata huku west ambako wameendelea na wahandishi wanalipwa pesa nzuri, bado watu wanapewa training licha ya kwamba walifuzu katika hizo kazi zao hapo awali. Seminars and mafunzo mengine kazini, nisehemu ya maendeleo ya ajira ya mfanyakazi yoyote yule hapa duniani ili kuhakikisha anabakia imara na kutenda kazi sawa sawa! Kwahiyo kama wewe unafanya kazi tu bila kupata mafunzo unapungukiwa ufanisi kazini kwako!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...