Baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo(ya kwanza na SENEGALya pili na BURKINA FASO) timu yetu jana-30/07/2010- iliyaaga rasmi mashindano ya AFRICAN CUP yanayofanyika mwaka huu katika kiwanja cha AJAX TAVROS mjini Athens. Mechi iliyobaki na Gambia vijana wetu wameahidi kushinda. Wapenzi waliojazana uwanjani walilalamikia upangaji wa timu na walitaka kocha ajiuzulu mara moja.wakidai kuwa timu yetu haikustahili kutoka mapema katika mashindano haya.
Kikosi kamili

















































kweli sasa serekali hina bidi hifikirie tena swala zima la watu kuwa na urahia wa nchi mbili !1 kwani wabongo walio zamia nje wengi sana!1
mashabiki wa stolowehi hao !1 rudini nyumbani sikuizi sifa za kusema upo ulaya tu jina akuna bongo kuna kazi jamani !1
Sijakiona kifaa changu ALLY AMIR AKIDA.
Mdau
Holland
(US Blogger) kaka yangu naomba kuuliza kweli wewe una PHD ya uko unako dahi??? mimi sizani kama ni kweli kwani hapa na kusoma kinyota wewe ni mpiga box tu mpenda sifa humu!
mdau PAris
Msoma Nyota
KAMAU WHERE ARE YOU !! ANKO I HOPE UJAMBANIA ANKO KAMAU WE MISS YOU KAMAU
nyie vijana mnasoma UKo ??
nchi nyingi zilizo endelea wamekuwa wabaguzi sana kwa watu weusi ! sasa mimi napenda kuuliza tutakimbilia uko adi lini ? Ni wakati na sisi tujenge nchi yetu hili tuipende kuishi siyo kuikimbia ! bora kuwa masikini nchini kwako kuliko kuwa kama mtumwa nchi za watu !!
Kwa nini mshinde wakati ninyi ni Watanzania?
yote haya kayataka MAXIMO lazima ajiuzulu tu kila mashindano tunafungwa?
ACHENI KUFUATILIA MAISHA YA WATU,ACHENI WATU WAKAE WANAPOPENDA KUISHI,KWANI LAZIMA KILA MTZ AISHI TZ??ACHENI MAJUNGU HAYAJENGI.
mdau wa paris mbavu zangu zinauma lol!
mijitu mingine bana kwa kupenda sifa watu wanajadili mpira wewe unaongelea stolowei! kama huna cha kusema bora unyamaze. watu kila siku wanavunja bomba kwenda bongo wanafanya mambo yao ya maendeleo wanarudi. nyumbani ki maisha bado labda ww baba yako fisadi.
Turudi Bongo kufanya nini wewe? Au weye ni mfanyakazi wa TiAraEi, unavizia kuturundikia kodi vitu vyetu ili kutufosi tukuachie ela ya kula, au tukuachie kwa kushindwa kulipia unreasonable and irritating amounts?
Namkumbuka rafiki yangu mmoja alikuja na HP Color Printer catridges zenye thamani ya US $ 27 (yes, dala ishirini na saba). Baada ya kusachiwa na kudiklea, akaambiwa alipie TShs. 210,000 (laki mbili na elfu kumi). Kichekesho, tulimwachia zile catridges tukiwa shua kwamba hatoweza kuzifanyia kazi yoyote, kwani model ya printer yake sio specific kwa East African market.
Ndugu yangu, kama mambo mswano huko uliko hakuna haja ya kurejea, utajuta. Bongo faya! Ule wa kwa shetani una nafuu! Utaboreka kwa kila kitu kama vile kiuchumi, na kwa hakika hutaweza kukwepa mambo yao ya siasa na usanii!
Bora kuwa masikini ulaya kuliko kua masikini Tanzania(better living standards). Acheni vijana wa watu watafute maisha. Mnawalaumu wao baada ya viongozi.Kama umezaliwa masikini Tanzania nafasi za kukitoa ni ndogo, kwa hiyo hakuna msela anayepata nafasi ya kuchukua pipa anaiacha na si kwa sababu ya sifa ya kuwa ulaya ni kwa ajili ya kuinyoosha sura ambayo ilikunjika na maji ya uchochoroni.
KILAMTU AKISOMA NANI ATAMSOMESHA MWENZIE KAZI KAZI KAZIGANI ZIKO BONGO UKO BONGO TUNAOGOPA KUFA NA MARADHI MTU MNAKULA MPAKA MAYAI FEKI KUTOKA CHINA,MAJUU MAHARAGE MBEI MBAYA KULIKO KUKU.MTU HULI KUKU MPAKA IDDI MOSI.
Warudi bongo,warudi bongo.Hivi kila mtu angekuwa anaishi ktk nchi aliyozaliwa au aliyotokea dunia ingekuwaje?Mnachonga sana kuwa waje kuijenga taifa.Tz imeanza kujengwa tangu lini na mabadiliko ya kimaisha yapo wapi?Kikwete aliwaahidi maisha bora @ mwananchi matunda yapo wapi?
ma baharia kwa kujitetea bwana !!
Duh! roha mbaya bwana! kazi kwelikweli.
Faida 10 tuu za kuishi ulaya.
1. Maisha bora. (siyo bora maisha kama yale mnayoishi bongo)
2. Miundo mbinu ya uhakika. (utaendesha gari lako vizuri hakuna barabara za kishenzi na foleni za kibongo ambazo kutoka ubungo mpaka faya gari inatumia masaa 4 badala ya dakika 25)
3. Ulaya ajali inayo kinga. (Huku hatufi kwa kugongwa na magari kila siku na wala hatupinduki na magari kama huko bongo)
4. Haki za mwanadamu. (Ukiishi ulaya, hata kama unaishi kinyume cha sheria, bado unakuwa na haki za kimsingi kuliko mtanzania aliyezaliwa bongo na kuishi bongo)
5. Na hata tunaporudi nyumbani, bongo, tunarudi kawa wageni "foreigners" lakini tunaipenda nchi yetu bongo, na tunapewa haki za kimsingi kuliko m-bongo anayeishi bongo. Kwa mfano, tukiwa baa tunapata kinywaji, likitokea tukio lolote la kuwahusisha polisi, basi wewe m-bongo utakatwa vibao na polisi, lakini polisi haohao wakishajua kama mimi ni "foreigner" basi wataniheshimu kama mwanadamu. Nimeshuhudia hili likitokea.
6. Huku ulaya, ukiumwa kuna matibabu ya uhakika ambayo huko kwenu bongo ni asilimia 3 tuu ya wabongo wote wenye kuweza kuyapata matibabu hayo.
7. Maji safi. Yanatoka katika kila bomba ndani ya kila nyumba. (hayaletwi na wachina)
8. Umeme wa uhakika. (siyo wa mgao, haukatiki hata kama mvua haijanyesha)
9. Viwango bora vya huduma na bidhaa zote. (Vya kiwango cha kiulaya kwa matumizi ya watu wa ulaya, na wala siyo viwango vya kichina kwa matumizi ya waafrika)
10. Huku ulaya siyo kila kifo tuu, eti ni kazi ya mungu. (najua mpo mtakaosema "kufuru hiyo" sawa, hata mimi zamani nilikuwa nafikiria kama nyinyi.) Hawa jamaa wanasema kwamba "kwa kiwango cha maisha ya ulaya cha sasa hivi, asilimia 75 ya watoto wanaozaliwa sasa hivi wataishi kufika miaka 100". Na ni kweli hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Na kama huko bongo maisha ni mazuri kama hivyo mnavyosema, kwanini Mke wa kiongozi akiumwa "appendix" tuu hatibiwi hukohuko Bongo? Kwanini viongozi wenu wanawaibia pesa na kuleta watoto wao huku ulaya kusoma?
mimi ndg zangu wananiambia kaka huku moto usije kizembe kama mambo yako sio poa utakufa siku si zako! ulaya tunaishi sio kwetu lkn tunachumia juani tulie kivulini ilove tz lakini du!
wewe unayedahi maisha bora wapi manaishi kwa kujificha hamna vibali vya kuishi hata kazi ya maana hamuwezi pata !! mna pata kazi za u nder the table !! bongo murula bana maybe kama hamjasoma !!
duh! watu wana-organise ligi za mpira na wanacheza mashindano kama haya, bado tuu unasema wanaishi kwa kujificha?
kweli bongo "murula".
na kwa usomi wako, "unaedahi, manaishi, murula" elimu yako haijakusaidia hata kujua kuandika?
Mdau uliyetoa Faida Kumi tu za kuishi Ulaya, inatosha maana Bongo hata uwaeleweshe vipi wao wamezoea 'shida' mchana na usiku, kulia na kushoto, kwao shida zinawoweza kupatiwa ufumbuzi huziita 'ndo kilimwengu eti sababu Tanzania ni masikini!?!*".
Mdau Ughaibuni EU.
wewe unayejifanya una maisha mazuri ulaya unalingisha jinz na raba wakati mbongo muuza mchicha anavaa iyoiyo..afu kwa taarifa yako mchina ndo anaongoza kuuza bidhaa ualaya na marekani ila huko mnauziwa kwa bei ya juu kwa kuwa kodi ni kubwa kuliko africa so angalia raba yako km sio kutoka china au thailand,.africa kuna maisha sio ya kusafisha vyoo,au mambo kupiga box..km ww kwel mjanja njoo africa upige ela njoo utumie exposure uliyopata sio kutuambia ulaya hakuna ajal wakat kil siku kwa michuzi mnatuwekea picha watu wamekufa wanatakiwa waletwe bongo..
Namuona Kassa Musa hapo..... Nakumbuka enzi zake Coastal Union "Mangush" pale mjini Tanga akiwa na wenzake kina Ally Maumba; Hussein Mwakuruzo; Yassin Abuu Napili; Said Salim "Korongo"; Razak Yusuph "Careca" na wengine...
mdau Tarehe Mon Aug 02, 04:31:00 PM,
umenena !!
BONGO KAMA UMESOMA UWEZI KWENDA ULAYA KUPIGA BOX !! KWA WALE WENYE KAZI YA MAANA HII MSG HAIWAUSU !WENGI WALIOKIMBILIA ULAYA NI LA SABA NA FORM FOUR DIVISION 0 AMBAO KWA BONGO KAZI YA KUKAA OFISINI BONGO AWAPATI!!
UKO ULAYA MNAONA DEAL VIPESA MNAVYO PATA KULA ULABU NA KUNUNUA PAMBA ZA MCHINA ! BONGO HAMNA HATA KIBANDA
ha ha ha! sisi wote wabongo lakini tumekimbia nyumbani shida jamani. wewe mdau wa mwisho usijikirie wewe tu ladda umefanikiwa ebu tembea uone watu wanavyopata tabu paka wamekata tamaa ya maisha mtu anafikiria chakula! wakati huku ulaya no way mtu anafikiria mambo makubwa watu tunakuja huko tunaona inatisha.nb kusafiri elimu tosha
wabongo bwana taabu kwelikweli. Ni wivu au nini? Mimi bongo nakupenda lakini inatisha wasomi wote wanakimbilia huku. Watoto wa baba wote wanaletwa huku sasa siye na videgree vyetu tufanyeje? By the way kesho jumanne rafiki yangu nilisoma naye anakuja naenda kumpookea. Ana master degree ya bongo mlimani anakuja huku na amesema amegawa kila kitu kwa vile bongo hakanyagi tena...Sasa nyie mnasema turudi kujenga nchi wakati nyie wenyewe mnakalia kutype tu hapa kumbe mnatafuta mission siku nzima kwenye internet cafe za kuondoka hapo.
Halafu mbona ingekua hivyo kila mtu hapo Dar angetakiwa arudi kwao wangebaki wachache tu. Na nyie rudini huko mikoani kwenu mkajenge vijiji vyenu. Mbona mmekaa hapo Dar kila mtu na kwenye miji mikubwa tu? Hao wahindi na wachina mbona hamuwaambii watudi huko kwao kujenga taifa lao? Puleeeees
Msituonee wivu ni bahati sana kutoka hapo nje ya nchi na honesty kwa maisha niliyokua nayo bongo haopa ni 1000% better kwa mimi niliyekua mtoto wa mkulima. Nikirudi Dar simjui mtu maisha yangu yatakuaje? Ndugu zangu wananeemika kwa mimi kukaa huku ssa nikirudi bongo itakuaje? Kazi nitapata wapi kila kitu ni lazima nimjue mtu hayo mambo nimeshayasahau siku nyingi sana huku?
Watoto wa mafisadi msituonee wivu kwa vile siku hizi tukija bongo tunaingia kwenye playground zenu. Zamani nilikua sijui billcanas, hotel za maana hapo bongo nizakuzisikia tu. Sasa hivi nikienda naona ni uchafu tu...What a life!!!!
Tarehe Mon Aug 02, 06:06:00 PM, hujui unachosema...mimi nimesomaea huku niliondoka na elimu ya form VI lakini ni wangapi walioko hapa wenye elimu za mlimani, sijui morogoro etc etc...do your home work kabla hujaandika huku.
Ndugu zangu wamesomea India degree zao na sasa hivi wako bongo na kila siku wananisumbua wanaaka niwatafutie shule waje wasome hata masters tena...Wewe uko hapo hujui unachosema..Tuulize siye na miye ninayepokea email 10 kwa mwezi watu ni kusumbea tu na kutaka uwakaribishe huku....
Be real wote tunaipenda nchi yetu lakini kwa maisha bora sio vibaya mtu akiamua kuishi anapotaka. Kama wewe unaona hapo bongo umeneemika kaa kimya na umshukuru Mungu wako..
bravo wadau wa mwisho! kwanza ile kesi ya uzururaji na uzembe bado ipo? kwetu manzese nikikaa barazani kwetu wakija polisi wananichukua eti! mzembe nikifika post pale kiduka sitoki bila mapene kama bi mkubwa hana kitu unapewa kesi yeyote. sasa mungu kanijlia nipo huku nabeba boski kama wanavyosema wao. lakini bi mkubwa nawadogo zangu vishavu vinawatoka na kale kajumba chetu cha miti nimeshakabidilisha. ha ha ha!ebu tuacheni jamani na wale ma sista duu wa mtaani kila siku wananiulizia !! jamaa atarudi lini jamani tume mmiss kweli!
jamani wabongo waliopo nje ya nchi walikuwepo hapa bongo wanaijua bongo vizuri tusiwadanganye.mtu anakimbia moro anakuja dar anafanikiwa na mtu wa dar anakimbilia moro anafanikiwa kwa hiyo haya maisha tu! sisi tulio bongo tuangalie mpango wetu kwanza tuna matatizo ya umeme, maji, uchafu, tumeua uda tumeleta vibajaji hiyo akili? sisi tupo dunia ya tatu jamani. ulaya ni ulaya jamani. mimi nawafagilia wasafiri! haya na nyie wasafiri nimewasifia nitumieni hata ka euro kumi basi bongo noma