Hallo kaka michuzi,
Natumai unaendelea vizuri na shughuli zako za kulijenga taifa. ningependa unitangazie blog yangu ya
ambayo inahusu maswala ya ku-share recipe za mapishi (home cooking).
Nitafurahi kama utanifikishia ujumbe wangu kwa wadau wote wanaopenda maswala ya maakuli ili waje kunitembelee na ku- share recipe zao pia.

Ahsante
Mdau Asha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ukinipikia chakula na mafuta yanaelea bila ushirikiano na the msosi namna hiyo unanikumbusha 'uyenguyengu' wa boarding skuli!

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana kwa blog yako, nilikuwa natafuta jinsi ya kupika vitumbua maana mikate imenichosha. naomba uniandikie jinsi ya kupika maandazi ya kumimina maana nimejaribu hayatoki kama ya bongo au kuna kitu nakosea, huku USA kuna unga wa aina tofauti kwahiyo sijui upi ni mzuri.{ hakuna azamu}

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...