In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

Rais Karume afungua mkutano wa siku tatu wa Kikanda wa Kimataifa wa kukabiliana na ugaidi na uhalifu wa kimataifa leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Amani Abeid Karume akifungua mkutano wa siku tatu wa Kikanda wa Kimataifa wa kukabiliana na ugaidi na uhalifu wa kimataifa leo. Mkutano huo unaendelea katika Hotel ya Golden Tulip na unahudhuriwa na Majaji kutoka ndani na nje ya Tanzania.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Amani Abeid Karume (kulia) akishiriki kuimba wimbo wa taifa wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku tatu wa Kikanda wa Kimataifa wa kukabiliana na ugaidi na uhalifu wa kimataifa leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Augustino Ramadhani. Mkutano huo unaendelea katika Hotel ya Golden Tulip na unahudhuriwa na Majaji kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Washiriki wa mkutano wa siku tatu wa Kikanda wa Kimataifa wa kukabiliana na ugaidi na uhalifu wa kimataifa unaendelea nchini Tanzania wakimsililiza Rais Amani Abeid Karume wakati wa sherehe fupi za ufunguzi uliofanyika katika Hotel ya Golden Tulip na kuhudhuriwa na Majaji kutoka ndani na nje ya Tanzania.

(Picha na Tiganya Vincent-Globu ya Jamii)

Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    hivi mbona marais wa nchi nyengine hawana jamaa hao wa nguo za kijani nyuma yao?

    au sisi bado tumo usingizini?

  2. laiza Anasema:

    Waheshimiwa majai mnapokaa hapo golden Tulip muje na makubaliano ya pamoja ili taaluma yenu iheshimike. Mtoe ushauri kwa nchi za Kiafrika ziache kukaidi agizo la mahakama ya kimataifa, limshauri Omar Hassan Al Bashir, kama na uhakika kuwa yuko innocent basi na achukue likizo yake aombe kusindikizwa na kiongozi maarufu kama Mzee Madiba afike kule wamfungulie shtaka wamwachie kwa dhamana arudi nchini kwake akaendelee na kazi

  3. Anonymous Anasema:

    Mungu akubariki sana jaji wetu mkuu. he is such a gift to our legal system.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker