
JK akihutubia mkutano wa kampeni Uyowa Wilayani Urambo leo

Wananchi wa Uyowa wakiwa na nyuso za furaha wakati wakifuatilia hotuba ya JK kwenye mkutano wa kampeni leo

Umati mkubwa wa watu wakimshangilia JK wakati akiingia Uyowa, Ulyankulu Wilayani Urambo leo.

umati mkubwa wa watu wa Uwoya,wilayani Urambo ukimsikiliza JK wakati akihutubia katika mkutano wa kampeni leo.
Kigwangala amekataliwa mbele ya JK Nzega. Hebu weka Picha Michuzi
Mnamuwaza Irene Uwoya mbona juu Uwoya chini uyowa mara tena Uwoya which is which
Uchaguzi wa mwaka huu unaweka historia maanake baba, mama na mtoto wana-criss cross nchi nzima kusaka kula. Hatujawahi kuona kwa Nyerere, Mwinyi na Mkapa.
Mheshimiwa inabidi atoe maahadi kibao yasiyotekelezeka maanake anajiandaa kutayarisha pensheni miaka 5 inayokuja
Kaka unaharibu jina la nyumbani kwetu ni UYOWA na si UWOYA, tuombe radhi bwana, acha mas'hara
Michuzi mbona uananza kulegeza kamba? kaza kamba maoni ya wapinzani usiyape nafasi kwenye blog yako kama ulivyoanzia.
Pole mzee inaelekea hizi silaa mpya haukuzitegemea, mzee ongeza ahadi sasa umevuka thelathini na nne wao hawajafikisha kumi na tano; Ongeza kasi uje umalizie na ile ya kujenga barabara kuzunguruka Tanzania, hapo utakuwa umewamaliza kabisa.
jaribu kuwa fair inamaana vyama vingine havifanyi Kampeni? Kila siku CCM na JK inakua vp? Inaboa Kaka.Kama ni global ya jamii usiwe na upendeleo.
we unayemzungumzia uwoya uwoya which is which hatukuelewi