In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

Mtangazaji mkongwe wa Idhaa ya Kiswahili sauti ya Ujerumani Ramadhani ali astaafu rasmi leo

Mkuu wa idara ya Afrika, Asia na Mashariki ya Kati wa Radio ya Ujerumani Dr Utter Schafer akipeana mkono na mtangazaji mkongwe wa Idhaa ya Kiswahili Bw.Ramadhani Ali huku mkuu wa idhaa ya kiswahili Andrea Schmidt akiangalia jioni hii katika ofisi za radio hiyo maarufu duniani mjini Bonn katika mnuso mdogo wa kumuaga rasmi mkongwe huyu baada ya kupiga mzigo hapo DW kwa miaka zaidi ya 40.
Mkuu wa Idhaa Andrea Schmidt akiwa na Ramadhani Ali akiwa kakumbatia rundo la zawadi alizopewa baada ya kuitumikia idhaa ya kiswahili kwa miaka zaidi ya 40 ambapo leo amestaafu na kuagwa rasmi
Watangazaji nguli toka shoto Sekione Kitojo 'Bundes', Ramadhani Ali,
Abdul Mtullya 'Konkoo' na Aboubakary Liongo ' Shekhe' Toka shoto ni watangazaji Bi. Halima Nyanza, Bw. Mohamed Abdul-rahman, Bw. Aliyu (wa Idhaa ya kihausa)na Aboubakary Liongo

Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    heh jamani watangazi wengine nilikua nasikia tu majina yao nikiwa mdogo...Aboubakary Liong na Sekion Kitojo ...Hee nimekumbuka zama za kale... Sauti zao zilikua nzuri sana...Hiyo redio Ujerumani ya kiswahili tunaiipataje kwenye internet?

  2. Anonymous Anasema:

    Heh jamani huyu babu atarudi bongo au ndo ashakuwa raia German?

  3. Anonymous Anasema:

    Happy October 1st Beer Festival in Germany..
    Kuleni pombe wakongwe.

  4. Anonymous Anasema:

    Jamani caption ya hiyo ya picha ya pili toka juu inasema huyu mstaafu kakumbatia "rundo" la zawadi.. jamani mi naona kashika ki box cha redio.. sasa hilo rundo la zawadi li wapi? hebu tuwe makini kuandika caption

  5. mdau Anasema:

    Good! time to spend your pensions.
    Dont swap jobs like Tido.
    you really had great career,ur already missed!

  6. Anonymous Anasema:

    Kumbe Abubakar Liongo yupo Deutsche Welle? Nilikuwa najiuliza kapotelea wapi.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker