Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. wewe mwanaume unapiga piga magoti kama mwanamke bwana hata kama heshima sio kiivyo aaah njaa hizi

    ReplyDelete
  2. Advocate JashaSeptember 11, 2010

    Kuna usanii mwingine hauwapi wala kuwaongezea sifa au kuwapandisha chati CCM bali kunaendelea kukidhalilisha CCM na Rais hivi kweli sababu alizozitoa huyu mwenyekiti Ex CHADEMA kikiama chama niza msingi "KUNYIMWA PESA ZA MATIBABU NA CHADEMA BAADA YA KUANGUKA NA PIKIPIKI"Alikua CHADEMA KWA MASILAHI YAKE BINAFSI AU KUWATUMIKIA WANANCHI.JE WALE ALIOKUA AKIWAONGOZA WAKIANGUKA NA PIKIPIKI PIA WASAIDIWE NA CHAMA?JE SASA UKO CCM UKIPIGWA NA MKEO NA KUVUNJWA MKONO CCM INAPASHWA KUKUSAIDIA KATIKA MATIBABU?NI WATANZANIA WANGAPI WANAOTESEKA KWA MIAKA 49 YA UTAWALA WA CCM WAKIMBILIE WAPI?SABABU ULIZOZITOA NA HUKU ULIKO AMIA KUNAKUFAA SERA YAKO INAONANA NA CHAMA HUSIKA KUJALI VIONGOZI AU WATAWALA NA SIO WALALAHOI MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  3. huna msimamo hata hao ccm wasikuamini, kwani wakikunyima matibabu/msaada utaondoka tena.
    Try and decide which part you gonna support

    ReplyDelete
  4. haki ya Mungu hiyo sababu aliyotoa nadhani inazidi kukipa Chadema chati yaani ni mwendo wa maslahi binafsi tu!

    ReplyDelete
  5. Acha CCM NJOO TUISHIWOTE NITAKUPA BILIONI MOJA

    ReplyDelete
  6. Ha ha ha ha .....eti njoo tuishi wote apewe bilioni moja.Nadahni ujumbe atakuwa ameupata!! Watu wengine wanadhani kuongoza chama ni kujilimbikizia mali na huduma za kibinafsi. Isitoshe alishafukuzwa uongozi wa Chadema tangu July 1.

    ReplyDelete
  7. Jamaa ameshapewa Fulana na kofia basi amemalizwa kabisa hiyo ndiyo mpaka 2015 tena ndio watamhitaji, kweli bado ujinga ni maradhi yanayoendelea kututafuna !!

    ReplyDelete
  8. Usituletee njaa zako hapa.

    Kama uliangkuka kwenye pikipiki ulitakiwa uende hospitali ukatibiwe, kama ulilazimika kuomba msaada ina maana CCM wameshindwa kuweka huduma iliyo accessible to all na hiyo ni failure yao.

    Usidhani sisi sote tuna akili za kushindia mihogo.'

    Almost 50yrs after independence mtu akiumia badala ya kukimbilia hospital kupata matibabu ya uhakika wewe unakimbilia kuomba msaada na unasema CCM oyee, ebo!!!

    (US Blogger)original

    ReplyDelete
  9. Safi sana!!!!!! Hii ni haki yake ya kidemokrasia. chadema endeleeni kutukana tu, kwani hamna sera ila hiyo mikutano yenu ya siri katika...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...