Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume baada ya kuhutubia mkutano wa ufungaji wa kampeni kwa Chama cha Mapinduzi zilizofanyika jana katika uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia mkutano wa Ufungaji wa kampeni kwa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika jana katika uwanja wa Gombani ya kale Chakechake Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Gombani Pemba, baada ya kuhutubia mkutano wa Ufundaji wa kampeni zilizofanyika jana katika Uwanja wa Gombani ya kale Chakechake Pemba.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwani Pemba wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe unaoashiria Ushindi wa kishindo kwa Mgombea Urais wa zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, kwenye ufungaji wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kiwanja cha Gombani ya kale Chakechake Pemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...