Home
Unlabelled
frank na natasha wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ewe, frank umpende natasha kila siku kama siku ya leo ambayo mmefunga ndoa umesikia?? spendi kuona ishu ya small house marufuku!!
ReplyDeleteHONGERENI SANA MDUMU MILELE
Akileta ujinga ajue kuna watu bado tunampenda huyo binti.
ReplyDeleteAmtunze vizuri mtoto mrembo huyo.
Ole wako tusikie habari mbovu.
Hongereni saana Maharusi
Who are they by the way?
ReplyDeletemmemependeza sana hongereni
ReplyDeletenajua huyu jamaaa anafanya kazi duka la kompyuta linaitwa PRINCE ni salesman wao... hongera
ReplyDeletefrank yuko handsome kweli , nimemtamani, ila nimemkosa
ReplyDeleteYAANI HIZI NDO DEAL ZA BONGO, KILA KUKICHA HARUSI NA VISHUGHULI, KWELI NAVIKOSA HIVI VITU.
ReplyDeleteNA TENA INAONYESHA KUWA USIPOANGALIA UTAISHIA KUFANYIAK KAZI SHEREHE/HARUSI.
SAFI SANA, HATA ULAYA MABIBI HARUSI WANAKUWA GYM KABLA YA HARUSI ILI MWILI UKAE VIZURI.KAPENDEZA YUKO FIT SANA.
ReplyDeletefrank, bado tuna kutaka babu weee. kama hukupata kitu roho inataka usiache kutu beep
ReplyDelete