Frank akimlisha mkewe Natasha keki kwa upendo
Maharusi na wapambe wao wakisali kabla ya kukata ndafu
Frank na Natasha wakifungua Champain
Ringi la maana lilizunguswa katika kusherehekea harusi ya Frank na Natasha.
Kamati ya maandalizi ikiwa na zawadi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ewe, frank umpende natasha kila siku kama siku ya leo ambayo mmefunga ndoa umesikia?? spendi kuona ishu ya small house marufuku!!

    HONGERENI SANA MDUMU MILELE

    ReplyDelete
  2. Akileta ujinga ajue kuna watu bado tunampenda huyo binti.
    Amtunze vizuri mtoto mrembo huyo.
    Ole wako tusikie habari mbovu.

    Hongereni saana Maharusi

    ReplyDelete
  3. Who are they by the way?

    ReplyDelete
  4. mmemependeza sana hongereni

    ReplyDelete
  5. najua huyu jamaaa anafanya kazi duka la kompyuta linaitwa PRINCE ni salesman wao... hongera

    ReplyDelete
  6. frank yuko handsome kweli , nimemtamani, ila nimemkosa

    ReplyDelete
  7. YAANI HIZI NDO DEAL ZA BONGO, KILA KUKICHA HARUSI NA VISHUGHULI, KWELI NAVIKOSA HIVI VITU.

    NA TENA INAONYESHA KUWA USIPOANGALIA UTAISHIA KUFANYIAK KAZI SHEREHE/HARUSI.

    ReplyDelete
  8. SAFI SANA, HATA ULAYA MABIBI HARUSI WANAKUWA GYM KABLA YA HARUSI ILI MWILI UKAE VIZURI.KAPENDEZA YUKO FIT SANA.

    ReplyDelete
  9. frank, bado tuna kutaka babu weee. kama hukupata kitu roho inataka usiache kutu beep

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...