In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray "Super Coach"

Marehemu Syllesaid Mziray

Habari Ndg Michuzi,

Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray, "Super Coach" kwa ajili ya mazishi yake yanayotarajiwa kufanyika kesho kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar.

Taratibu hizi zitaanzia Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Kinondoni Biafra kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Tutashukuru sana.

4.00 – 05.00 Kuwasili Waombolezaji

05.00 – 5.30 Viongozi, Wageni Waalikwa wa CKHT kuchukua nafasi zao.

05.30 – 6.00 Nyimbo za Maombolezo.

06.00 – 07.00 Kuwasili Mwili na Ndugu wa Marehemu.

07.00 – 07.15 Wimbo wa CKHT kupigwa.

07.15 -08.15 Misa/Sala.

08.15 – 08.20 Maelezo ya Wizara ya Michezo, Mwakilishi wa Wizara.

08.20 – 08.25 Maelezo ya TFF, Mwakilishi wa TFF.

08.25 – 08.30 Maelezo ya Simba Sport Club , Mwakilishi wa Simba.

08.30 – 08.25 Wasifu wa Marehemu CKHT .

08.35 – 08.40 Maelezo ya mwisho ya MMC VC.

08.40 – 08.45 Shukrani ya Familia,Mhusika wa Familia,

08.45 – 09.45 Kuaga mwili wa Marehemu.

10.00 – 10.05 Wimbo wa Chuo.

10.05 Kuelekea Makaburini Kinondoni

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Dah Tumepoteza one the best coach in our country...may almighty God rest him in piece.

    Rodrick Mwambene--Mdau wa michezo

  2. Anonymous Anasema:

    R.I.P Ndugu yangu Mziray/ Dekula in Sweden

  3. Anonymous Anasema:

    Mungu ailaze pema roho ya marehem peponi. tutakukumbuka mziray kama mpenda maendeleo ya michezo uliokuwa muwazi na hukupindisha ukweli. msimamo wako ndio umekujengea heshima katika soka la tanzania.Makocha wazelendo tumuenzi kwa kutokuwa wanafiki kwenye mipango ya maendeleo ya soka letu.

  4. Anonymous Anasema:

    Makocha na wanamichezo tumuenzi Mziray kwa kuwa wakweli katika kile tunachoamini na si kumpendezesha mtu kwa maslahi binafsi.

    mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker