Hi there,
I'm a male Tanzanian who lives in north America.I'm a regular
reader of this blog and if you don't mind please have my post posted.

Though I have lived here for a couple of years but I still pretty much
preserve my culture and this has lead me into wanting to see if I can
get into knowing any lady out there especially in Tanzania who is
interested into a long term relationship to marriage.

I'm not into bf/ gf thing, but rather knowing somebody to take it to the next level.
I'm in the thirties,and would like someone who's btn 24-28,average body and in good health,I'm also attracted to light skin and should at least have adv. Diploma or currently in higher learning institution please.
So let's get to know each other.
My email is
marktiamo@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. duh! kazi kwelikweli...

    ReplyDelete
  2. Dear Mark,
    This is good approach. However, because you have mentioned that you are in the USA, expect to be overwhelmed by many e-mails and edited snap shots ti fit your complexion desirability. Moreover, be prepared to get counterfeit certificates, well scanned, etc. By the way, kwa advert hii, ladies are crazy!

    ReplyDelete
  3. Ndugu yangu wee kwa vile unapenda kuendeleza mila na tamaduni za kwenu kwanza kwa nini umeandika maombi yako kwa kiingereza?

    Sasa hapo ndiyo hao akina dada watajikanyaga kwa kujidai kukuandikia kwa kizungu.

    Pili utaitambuaje tafauti baina ya picha ya binti mweusi tiii na yule aliyechakachuliwa kwa mkorogo? Afadhali hata ungenyamaza kuhusu rangi na ukaamua kujichagulia mwenyewe.

    Nakubaliana na mdau wa hapo juu subiri maombi kwa vikapu!

    ReplyDelete
  4. sio ishu wala nini, mke mwema mtu hupewa na bwana na wala siyo kwenye mitandao,so be careful kwani unalo hilo babu!!

    ReplyDelete
  5. MADALALI wa kazi hizo tupo....hela yako tuu mteja......kama uko serious kweli jisalimishe kwenye blog....tutakupa picha za warembo (with a PRICE TAGS ofcourse).....and then tutakusikiliza

    ReplyDelete
  6. ello maki, awa yu? Amu singo ende lede tu mingo wiz yu ... ai hev rait skin endehevu e diglii in bizness menejiment. I sink ai dizevtu bi wiz yu bikoz amu byutifur ende twente nain yiazof ejh... (am just kidding jamani. Hii ni sample tu ya wakina dada watakaomuandikia Mark...........kazi kweli kweli


    Olivia.

    ReplyDelete
  7. yes me inglish is good, body fit, cheupeee dawa(no mkorogo i swear), diploma na digirii 2, ila ndio miaka yangu 40. duh nimemiss the cut, i wish this ad was placed 12 years ago, however if age is just number, holla!

    ReplyDelete
  8. Jamani geography iko wapi?jamaa kasema anaishin N. America so it could b Canada,Mexico,the carribean or USA .hajaspecify what country

    ReplyDelete
  9. So what are you offering? Au kwa kuwa uko North America ndio basi akina dada waingie kichwa kichwa tu?!!! We' mbona hujatoa maelezo yako hapa???
    Just listen to yourself:
    You want 24 - 28!, Average body in good health!, light skin and at least should have a diploma or in highrer leardning institution!!!!??? AND WHAT THE HELL DO YOU HAVE TO OFFER???? AND THE WHO THE HELL ARE YOU TO ENLIST ANOTHER HUMAN BEING LIKE ASKING FOR A CAR SPECIFICATIONS?????

    ReplyDelete
  10. This guy deserve a beautiful wife because he is honest. Please keep us posted that we know Michuzi played his part.

    ReplyDelete
  11. Naomba nami niweke ombi langu hapa linalofanana na hili.

    Jina langu ni Ahmed kwa sasa niko hapa UK nikifanya kazi kimkataba na moja katika makampuni yenye asili ya kispain, natafuta mchumba wa kitanzania, awe yupo tanzania, uk au sehemu yeyote ile duniani, ila awe yuko tayari kuhamia hapa UK na kuishi kwa angalau miaka minne kabla ya kufikiria kurudi nyumbani for good.

    Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 40, mimi nina umri wa miaka 35. awe mchangamfu, mwenye heshima, hekima na idea ya nini anataka katika maisha. Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana katika email. Anuani yangu ni ahmedyoungafricaa@gmail.com. Ahsanteni sana

    ReplyDelete
  12. Mdau anayesema kuwa sio vizuri kutafuta kama specification za magari, anaishi dunia nyingine. Wahindi na Wachina wanatafuta mke na mume wa watoto wao vile vile. Utakuta bwana na bibi wa Kihindi wote makaktari, wote mainjinia n.k. Kutafuta mke na mume kw aspecifications ni tabia ya kibinadamu.

    North America ni Canada. America pia ni North America lakini Wamarekani hawatumii North America ila States au America. Wakanada ndio wana mtindo huu.

    Pia, kama unaishi nje umeshapanchi. Are you kididng me? Huwezi kulinganisha maisha ya huku na ya nchi masikini. Labda unakuja huku bila elimu, lakini hata mkimbizi au mtu asiyekuwa na elimu au kazi nzuri anaishi vizuri. So, Dada, jamaa kapanchi na dili ni viza ya kuishi huku, hii ndio offer yake. Take it or leave it.

    ReplyDelete
  13. Habari wote,
    kuna mdau anasema anataka kujua geography,, ngoja nikusaidia,, Angesema America, hapo ndo tungesema kuna Canada, USA, Mexico and the Caribean,,, ila kasema North America, so Anaweza kuwa Canada au Marekani hiyo ndo North America, hizo zingine ulizotaja ni South america upo hapo mdau?
    pole sana kume wewe ndo huelewi.
    mdau North America

    ReplyDelete
  14. Kaka inaonekana kweli hujafinka bongo muda mrefu sana au utatest tuu zari. Medemu wa bongo siku hizi wameendelea, sio tena wale wa kuagiza kama bidhaa.

    Ila kama uko serious nakushauri umtafute demu wa kibongo huko huko uliko. Mtafute aliyezoea maisha ya huko. Anayejua nini maana ya kupiga box. Nimeshughudia kwa macho yangu mwenyewe wanaume wa kibongo na nchi nyingine za kiafrika wakiachwa solemba mademu zao waliowalete majuu tena kwa nia nzuri kabisa. Wakishajua life ughaibuni utakiona. Thats is a naked fact so kuwa makini ndugu yangu.

    Ushauri wangu tafuta demu wa kibongo huko huko. Ikishindikana tafuta wa nchi nyingine. Achana na mambo ya kupreserve culture. Kuwa na mke na ndoa nzuri haina maana kuwa ni lazima upreserve culture. Kinachomatter is how much you love each other. Kama kweli mnapendana it does not mna culture tofauti.

    ReplyDelete
  15. Kaka kwa kukumegea kidogo,ningekushauri ukate ticketi mwenyewe ili uingie bongo na ujionee mwenyewe madada zetu wa hapo bongo walivyo ili uweze kuchagua. kama unafikiri utaoa kwa kutumia picha na kuongea na cmu, basi utaoa hewa kama kuwatumia ndugu zako hela halafu wanakujengea nyumba hewa. by the way wewe ni kabila gani unaetaka kuoa through blog? basi nenda facebook omba urafiki kwa madada lite skin.

    ReplyDelete
  16. peleka hii post u-turn.co.tz utapata wadada kibao, huku ni kwa wasomi tu ha ha ha a and politicians

    ReplyDelete
  17. Nakuunga mkono @ 04.56...Huyo sijui anaishi wapi na hajaona mastory ya mail order brides yanayowakuta watu huku kila siku. Tafuta msichana aliyeishi huku na anayejua the real value of $ ndugu yangu. Ukiingiza mwanasesere kutoka bongo mpe mwaka tu anakuacha. Wengi wamelizwa na hao mabinti. We jitahidi kutoka toka tu kwenye Africa communities gatherings na ukifungua macho utapata msichana aliyeishi huku na anaelewa maisha ya huku na hata wasichana walioko huku wanapreserve culture sana tu tatizo la wanaumme wa bongo wanaogopa mtu mwenye akili na ideas. Wanaona akishakaa huku anaelewa maana ya equality na jinsi mwanamme anavyotakiwa kumtreat mwanammke basi mnakimbia na kuogopa na kijida kupreserve culture. Culture gani? Unataka mke au house girl? Kama ni house girl hata wao wameshaamka kama ni mke usijali mwombe Mungu atakufonyesha haijali culture, ametokea wapi wala nini bora mapenzi na maisha yataendelea..

    ReplyDelete
  18. Na mdau 'male Tanzanian' mbona hujatuambia kama na wewe upo kwenye 'good health', light or dark skinned na kama una madigirii na madiploma??

    ReplyDelete
  19. Kwa sababu unaishi U.S., utawapata sana. Lakini ungekuwa unaishi Dar na unapanda dala dala halafu huna hata cell phone, hata salamu usingapata. Nawajua wanawake wa Dar, nimekulia Dar. Nilipata e-mails nyingi mno baada ya kuja U.S. kutoka kwa wale wale waliokataa kuwa na mimi wakati niko Dar. Unaona walivyo wanafiki? Nilishasema mimi sitapoteza muda wangu na wanawake wakiafrika, ndio maana mwanamke wangu ni Mmarekani, tena mnugu. Na mtoto wangu ni nusu mnugu nusu mwafrika, yote maisha. At least mwanamke wa kimarekani yuko tayari kuwa na mwanamme hata kama anapanda dala dala, au hana cell phone, ili mradi personality yako aipende kuliko wale wa kiafrika wanafiki wakubwa.

    ReplyDelete
  20. Sir,
    If u were preserving ur culture (as u mentioned)u would write this announcement in Swahili, not English (unless English is ur culture)

    ReplyDelete
  21. I think its so rude to advertise like this, like your looking for an appartment or a car or something. Ish, ndo maana bado uko single...women are not objects if you dont know yet! And how shallow is it to ask for a light skinned, educated girl????

    ReplyDelete
  22. North America, the planet’s 3rd largest continent, includes (23) countries and dozens of possessions and territories. It contains all Caribbean and Central America countries, Canada, Mexico, the United States of America, as well as Greenland - the world’s largest island.
    Tuache ubishi.
    Mdau wa DC.

    ReplyDelete
  23. Mimi nakutaka wewe kaka Ahmed, tangazo lako linaleta maana na matumaini, utanipendea hekima yangu na mtazamo wangu wa maisha kama unaendena na wako nadhani tutakuwa tumepata ndoa iliyosimama imara katika maisha, maana personality ni muhimu kuliko pesa, mali, elimu, umbile, rangi, uzuri au ubaya. Nshakupenda kaka. Loving thinking of you, you are such a gentleman, i love thinking of you more and more as i type this whew!!!
    A gent like you, your mom and dad did such a good Job and thinking you will be a good father too. aaawww... spot on!

    ReplyDelete
  24. we mdau hapo juu nani kakwambia u-turn hakuna wasomi? tupo wasomi huko na PhD zetu letu alone hicho ki-advanced diploma

    ReplyDelete
  25. tungependa kujua umefikisha elimu yako wapi.nowadays women are lookng for overeducated men.leaving in usa means nothing.by the way who told you only light sknned gals are beautiful!!!!!!!!!!!!!.

    ReplyDelete
  26. Achana na hao woote. Mimi nipo tayari. Naishi Dar, nimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam, mweusi rangi ya chocolate, miaka ni 29. Niandikie tafadhari muttusei@mail.com nami nitakujibu. Asante na ubarikiwe

    ReplyDelete
  27. Hahahaha!! Wabongo bwana, maneno meeeengi... msaada sifuri!! Jamaa anahitaji mke, kama wewe una sifa hizo, jimuvuzishe! Mbona ize tu? Mambo ya North America na wanawake wabongo wanafiki ya nini tena? Reading your comments, which are so off-track is hella fun though!

    I hope you get your Ms Right, man! Good luck :P

    Mdafada, CA

    ReplyDelete
  28. ............WHAT DO YOU HAVE TO OFFER!!? wewe ni mtoto wa BAHKRESA AU MENGI, AU CHENGE?? sie tutapata nini kwako tukiwa na vitu vyote hivyo?....soooo RUDE!!

    ReplyDelete
  29. Kaka mmoja alikuwa anatafuta mke wa kuoa,
    yeye ana miaka 30+,
    sifa alizokuwa anazitaka msichana maji ya kunde, angalau ana degree 1, mwenye umri usiozidi miaka 30,anayeendana na dini yake, mvumilivu na mwenye mvuto kwanza
    ( yaani kwa nje ukumuona mashalaa) umbile la kiafrika kwa mbali.

    Basi mjomba mtu akaanza kazi ya kumtafutia mabinti wenye sifa ya kijana.
    Akaletewa wa kwanza,sifa zote anazo kasoro ni mweusi tu,Kijana akasema hapana uyu ni MWEUSI mimi nataka mwenye rangi.

    basi akaletwa wa pili anasifa zote kasoro ni mfupi sana(sio kiwango kijana anataka)
    kijana akakataa tena kwa kusema uyu ni mfupi sana
    anapoteza mvuto.

    Akaletewa mwingine,uyu anasifa zote yaani za urembo mle mle kama kijana anataka na alikuwa yuko tayari kuolewa muda wowote,kijana naye kaona sasa ndo nipata mke, katika maongezi ya hapa na pale dada akasema hana degree, kiwango cha elimu aliyonayo ni kidato cha nne tu.
    Kijana alikasirika sana na akamkimbia huku akisema simtaki hana elimu.

    Siku moja yuko kikazi Kilimanjaro huko Moshi akakutana na mdada mmoja mrembo sana mwenye sifa zote kijana anazozitaka kwa nje,katika maongezi dada akamwambia ana degree mbili, kijana alichanganyikiwa akasema FINALLY nimepa ta mke. wakawa marafiki kwa muda huku wakitaka kujuana zaidi na zaidi.
    Muda ukafika kijana akatangaza nia ya kuoa,yule dada akawa anamwambia tubaki kuwa marafiki tu lakini maswala ya ndoa HAPANA.
    Kijana akamtuma Mjomba akamuulize WHY mdada hataki kuolewa naye
    Mdada akajibu uyo sio Mwanaume anayemtaka hana sifa za Mume anayemtaka hata moja.
    Kijana kusikia hivyo aliishiwa na nguvu kabisa.
    .........END...
    Fundisho,vijana wengi wanaotaka kuoa au kuolewa wanakuwa wanauchaguzi sana usio na sababu na kusahau kuwa kila mtu ana chaguo lake na kutanguliza ubinafsi pasipo sababu.
    WEWE WAKATI UNACHAGUA NA MWENZIO PIA ANA CHAGUA.
    NDOA HUUNGWA NA MUNGU WALA SI KWA AKILI ZA KIBINADAMU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...