Mh. Job Ndugai akila kiapo baada ya kuchaguliwa wa kura nyingi kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo jioni mjini Dodoma.
Spika Anne Makinda akimkabidhi
Naibu Spika Mh. Job Ndugai nyenzo za kufanyia kazi

Naibu Spika Mh. Job Ndugai akikalia kiti cha enzi kuanza kazi

Mh. Job Ndugai akijieleza kabla ya uchaguzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pongezi mara elfu kumi ndugu Job Ndugai na Mola akulinde na akupe kila la heri. Amen.

    ReplyDelete
  2. Mhe. Naibu Spika Job Ndugai,
    Wananchi wanategemea Bunge la kasi zaidi,kiwango na uwezo wa mkubwa wa uwakilishi

    MAINA OWINO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...