In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

kilimanjaro stazz yaitungua somalia bao 3-0 leo

Mshambuliaji wa pembeni wa timu ya taifa ya Kilimanjaro stars,Mrisho Ngassa akionyesha umahiri wake mbele ya beki wa timu ya taifa ya Somalia katika mchezo uliopigwa leo ndani ya uwanja wa Taifa jijini.Kilimanjaro stars iliweza kuibuka kidedea kwa kuichapa timu ya Somalia mabao 3-0. Leo uwanja umejaa kwani kulikuwa hakuna kiingilio
Kiungo wa kati wa Kilimanjaro Stars,Henry Joseph akipena misuli na mchezaji wa timu ya Somalia katika mechi ya mashindano ya Tusker Challenge Cup yanayoendelea kufanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Mshambuliani wa timu ya Taifa ya Kilimanjaro Stars,Nurdin Bakari akipachika bao la tatu dhidi ya Somalia mara baada ya kupata krosi maridadi kabisa kutoka kwa Mrisho Ngasaa.hadi mwisho wa mchezo Kilimanjaro stars 3-0 dhidi ya Somalia.
Nyanda wa Somalia akifanyia msaada wa kuvishwa jezi mara baada ya kufanyiwa matibabu na mmoja wa matabibu waliokuwepo uwanjani hapo.
Kocha wa timu ya Kilimanjaro stars,Jan Paulsen akifatilia kwa makini mchezo huo.
Washabiki waliofurika katika uwanja wa Taifa leo wakishangilia mara baada ya kupatikana kwa bao la tatu la timu ya taifa ya Kilimanjaro stars.

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    onea buji ,gombe gopa eeh?
    ngoja kiboko yenu Rwanda mtakiona

  2. Anonymous Anasema:

    Hao wasomali mpaka wapate ajali ndio wafungwe? Wadau, hii timu inahitajika kunolewa zaidi. Aidha wazo la kuwa na timu za vijana litekelezwe, isiwe blabla tu. La si hivyo basi tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu/

  3. Anonymous Anasema:

    Hapo mteremkooo, mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamuweziiiiiiiii...............!!

  4. Anonymous Anasema:

    Mirungi na soka wapi na wapi? Msidhani soka letu limekuwa baada ya kuwafunga wala mirungi.

  5. Anonymous Anasema:

    KIINGILIO ILIKUWA MIGUU YAKO NA MACHO YAKO. SAFI SANA NIMEIPENDA HII.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker