Mzee Makassy, Mjomba wa marehemu
Dk Remmy Ongala akiwa msibani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. poleni sana familia ya marehemu Dr Remmy,ndugu jamaa na marafiki...Pumzika kwa amani Remmy..amen

    ReplyDelete
  2. R.I.P Ramadhani Mtoro Ongara aka Dr.Remmy.
    Tunatoa pole kwa familia ya Marehem DK.Remmy Ongara,
    Tumepokea taarifa ya habari ya kifo cha Dr.Remmy kwa majonzi na udhuni mkubwa.
    Mwenyezi mungu mlaze maala pema peponi Dr.Remmy
    Amin
    wadau
    Ngoma Africa band aka FFU,
    OLDENBURG,GERMANY

    ReplyDelete
  3. kali ongala mbona simuoni jamani au akuwepo ?
    mdau paris

    ReplyDelete
  4. Kitime na kamati yako nawapongeza kwa kazi nzuri yakumuuaga mwenzenu. Mmefanya jambo la maana sana katika historia

    ReplyDelete
  5. mkubwa tazama picha ya nne,ya tano na ya kumi na sita yupo Kally ila issue hapa si Kally bali ni msiba wa Dk Remmy.

    Rest in Peace Dk wa muziki wa dansi,watanzania ulituwakilsha sana huku ughaibuni japo hukuwa Mtanzania.

    ZAUNUNU-AMSTERDAM

    ReplyDelete
  6. Nani amekuambia Doctor hakua Mtanzania?sasa alituwakilishaje wakati sio mtanzania?doctor hakuzaliwa tanzania,ila alikua raia wa tanzania,hivyo kiswahili chepesi alikua ni mtanzania,wewe umezaliwa ukaanza kupata akili doctor yupo Tz,ni mgeni gani huyo?wewe hapo ukipewa mkoba wa ki Holand utakua mu holand,ila umezaliwa Tz, na unaweza kuiwakilisha holand ktk fani yoyote ile kama muholand,uanakaa nchi za nje lakini bado umelala!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...