KUMBUKUMBU KWA MAREHEMU MARAFIKI DESEMBA 11, 2010
Saa 7:00 Mchana – Marafiki na Waalikwa Kujumuika
Saa 7:30 Mchana – Dua kusomwa na Sheikh na Padre
Saa 8:00 Mchana – Chakula
Saa 9:00 Mchana – Mwisho wa Shughuli
Yafuatayo ni majina ya marehemu tunao wakumbuka: -
1 | |
2 | Angela Madondola |
3 | Balozi Mbapila |
4 | Ben Branco |
5 | Bisanga Mshamu |
6 | Bupe |
7 | Chacha Marwa Boghas |
8 | Charles Lyimo |
9 | Charles Mbandwa |
10 | Choggy Sly |
11 | Costa Teffe |
12 | Eddy ( |
13 | Eddy Sally |
14 | Emmanuel Rweikiza |
15 | Eugine Kagolo |
16 | Farida Masoli |
17 | Frank Mutani |
18 | Four Cash |
19 | Gasper Akili |
20 | Geofrey Dahal |
21 | George Mazulla |
22 | Haji (Tanga) |
23 | Hamphrey Akena |
24 | Hilda (Naomba 100) |
25 | Ippy Malecela |
26 | Jimmy Mahimbo |
27 | Joshua International |
28 | Juma Ngida |
29 | Kalio |
30 | Karuhinda |
31 | Ndalla Kasheba |
32 | Kimambi |
33 | Kimambo NCCR |
34 | |
35 | Majuto Tazara |
36 | Manfred Kapinga |
37 | DJ Mangappy |
38 | Mariam Donna Summer |
39 | Mavalla |
40 | Mbiku |
41 | Mfanga |
42 | Mike Maro |
43 | Mine |
44 | Mr. Emanuel Mbando |
45 | Mr. Labarny |
46 | Mussa Ngoda |
47 | Mzee Assey |
48 | Mzee Bashwan |
49 | Mzee Joseph |
50 | Mzee Khatib Siraji |
51 | Mzee Mujaya |
52 | Mzee Mushi |
53 | Mzee Samuel |
54 | Mzee Shetta |
55 | Mzee Soud |
56 | Mzee Tegissa |
57 | Mzee Yusuf Mandevu |
58 | Nassor Malocho |
59 | Ndealle Makere |
60 | Ng'itu |
61 | Nusura |
62 | Omary Sykes |
63 | Omary Urembo |
64 | Othman Maraha |
65 | Othman Matusi |
66 | Othman Rungu (Matai) |
67 | Pettie |
68 | PJ (Paul Mdachi) |
69 | Rajab Mwajasho |
70 | Ramadhan Majungu |
71 | Ray Abdu Adedeji. |
72 | Rhoda Mbandwa |
73 | Rose Hosea (Mwajasho) |
74 | Royal (Dotto) |
75 | Royal (Kulwa) |
76 | Rukia Mwajasho |
77 | Saad Suleiman (Tazara) |
78 | Saidi Machupi |
79 | Sanga |
80 | Shaaban Satto 'Shebby B' |
81 | Shaan Aspro |
82 | Super Mafuru |
83 | Tecla (TAZARA CLUB Staff) |
84 | Temu Tuffe |
85 | Tina Mzena |
86 | Tomito |
87 | Winston |
88 | Zaki Aman |
89 | Zumu |
MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOTANGULIA
MUNGU AKUBALIKI ulotoa mawazo haya ya kuwakumbuka marehemu ni mara chache sana kutokea tunasahau haraka sana.MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU PEMA PEPONI.AMEN
ReplyDeleteWhat a noble cause..RIP 89
ReplyDeleteGod bless you all for organising this!
e bwana eeeh mimi ni mtoto wa kinondoni,nimekulia huko ,hii list inanikumbusha mbali sana isitoshe wengine nimeishi nao mitaani kina ray abdu,mzee bashwan,donner summer..nimeshtuka kuona mariam donner summer nae ni marehemu daa Mungu awalaze mahali pema peponi,kuna mzee mmoja amesahaulika nahisi alikuwa maarufu sana pale kinondoni enzi hizo ni mzee beka(baba yake baharia kipaso nae maarufu) na mwanae nae ni marehemu pia anaitwa goldenman....mdau ukerewe
ReplyDeleteVery good idea ya kuwakumbuka waliotutangulia. Na pia kuna Mzee mmoja sijaona jina lake Mzee Rajab Hasara.
ReplyDeleteBila kumsahau kaka yangu Simbo Ntiro. RIP brother.
ReplyDeleteNi jambo la heri kuwakumbuka marehemu, mwenyezi mungu awaondolee adhabu ya kaburi. Amen,
ReplyDeletekwenye hii list nimeona jamaa wengine ambao sikujua wameshaiaga dunia. MAREHEMU WOTE RIP, mmetangulia tutafuata.
michuzi siamini kama unaweza kusahau kim mgomelo wa kim and the boyz
ReplyDeleteMUNGU AJALIE FIKRA NZURI HIZI ZA KUWAKUMBUKA JAMAA NA MARAFIKI WAKUBWA KWA WADOGO,WALIOTUTANGULIA KWENYE HAKI .AMEN
ReplyDeleteNi wazo zuri kama wenzangu waliotangulia walivyosema, ila ni vmuhimu mnapokuwa na kampani ni vema kujuana majina yote hasa mawili, la mhusika na la baba yake, ni muhimu sana kuna leo na kesho.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Mola awarehemu. Kweli mmefanya jambo zuri.Mme msahau Fauzi Isaka.Na alikuwa mchezaji mzuri wa timu ya Tazara club.
ReplyDeletetusimsahau Hamis Thobias Gagarino(singasinga) na boss wa akina Four cash John Ngogo but RIP
ReplyDeleteMungu awalaze wote waliotangulia mbele ya haki mahali pema peponi. Amin. Nikiwa kijana wa zamani wa Dar, nilifahamiana na wengi katika orodha hiyo. Nimestushwa kuona kuwa Ray Abdul na mhandisi Saad wa Tazara hatunao tena kwani nilikuwa sijapata habari za msiba wao. Kuwakumbuka waliotangulia na kuwaombea ni wajibu wetu sote, kwani inatukumbusha hapa duniani kuwa tuko katika ya mpito na hatuna budi tupendane, tuwe wakweli na tusaidiane. Ex-Bitozi (ex-Beatles).
ReplyDeleteKwa wote walio katika orodha hiyo na wasiokuwako humo RIP. Amin.
ReplyDeleteBila ya kuwasahau Yusuf Zialor, Teddy Kiwia, Raphael Sabuni na Ahmed Max. RIP.
ReplyDeleteM/Mungu Awarehem waliotutangulia... Na M/Mungu awape kheri waliotoa mawazo haya no 12. Eddy (Inn By The Sea)ni Mohammed Mbarak Salim (Eddy)RIP
ReplyDeleteMungu awabarki kwa kuwakumbuka wapendwa wetu...amesahaulika dada yetu Hope na Daines Banyikwa...mi Yanina
ReplyDeleteWe did not know that our dearest friend and brother Saad Suleiman passed away. The Maganga family extend their heartfelt condolonces to Saad's family. Saad was a loved friend/brother to Ferdi and his family, his presence will be sadly missed. Richard Mbwana or Yusufu please contact us via email - Ferdi.Maganga@bigpond.com
ReplyDeleteJamani....Mzee Iddi Manyanya na Baziano Bwetti (Musician - Wazee Sugu) RIP
ReplyDeleteMr Michuzi, Nitakuwa mchoyo wa fadhala nisipokusifia kwa hili jambo muhimu ulilotukumbusha la kuwafanyia dua waliokuwa Marafiki zetu na Ndugu zetu wapendwa waliotutangulia mbele za haki. Mola awajalie rehema zake na awaweke mahili pema peponi.
ReplyDeletePia na Willy Mwaijibe, aliichezea Simba. Bila kuwasahau Abdul Kiobya na Aliamin Kiobya[My Nephews] RIP!!
ReplyDeleteAmri Kamala - Canada
Kubwa ni kusema "Innalillah Waina ilahi Raajjiun" lakini wapo ndugu zetu wengine tumewasahau kama;
ReplyDelete1. Hassan Saadun, (PIAZZA)
2. Mohamed Mahendo,(Mnazini k'ndoni)
3. Amina Saigon, BIMA.
4. Anania Sangura, TBL.
5. Mussa Khiwelu, Ssc.
Jamani Dafne Omary
ReplyDeleteHuyo Joshua International ni yule mwenye maduka ya nguo au yupi? nikembusheni wadau
ReplyDeleteGod Bless You Brother,
ReplyDeleteNaomba mumuombee na baba yangu THOBIAS ALBERT NKOMA alikuwa anachezea Simba sports club ,alikuwa akiishi MagomenI Kizingo N0 13 much Love Dad
(R.I.P)
Msisahau kujumuisha wazazi wetu wote, na kale kabinti na mume wake au? Amina Chifupa na MPAKANJIA.
ReplyDeleteI wanted to send this to my friends in jamii forum who have responded to my e mail as a new entrants known as mjanjamimi, but I noted that most of them do visit here so no need of doublicating issues:
Nimeshidwa kuingia na niko busy kuanza kusoma totoria za pale, kwa hiyo mjue mimi ni mjanja kweli.
Life Is a Gift:
Today before you say an unkind word -
Think of someone who can't speak.
Before you complain about the taste of your food - Think of someone who has nothing to eat.
Before you complain about your husband or wife - Think of someone who's crying out to GOD for a companion.
Today before you complain about life -
Think of someone who went too early to heaven.
Before you complain about your children -
Think of someone who desires children but they're barren.
Before you argue about your dirty house someone didn't clean or sweep -
Think of the people who are living in the streets.
Before whining about the distance you drive
Think of someone who walks the same distance with their feet.
And when you are tired and complain about your job -
Think of the unemployed, the disabled, and those who wish they had your job.
But before you think of pointing the finger or condemning another -
Remember that not one of us is without sin and we all answer to one MAKER.
And when depressing thoughts seem to get you down -
Put a smile on your face and thank GOD you're alive and still around.
And before you think of signing out, Please think of sending this to atleast ten people including the one who sent it to you.
SAY THANKS GOD FOR WHO I AM.
Bila kumsahau mamangu mpendwa Dinna Kabuhaya. Mwanga wa milele umwangazie Mungu, apumzike kwa amani.
ReplyDeleteWAZO LA KUOMBEA MAREHEMU RAFIKI ZETU NI ZURI NA MAJINA MENGI YAMETAJWA LKN NAONA MICHUZI ALISAHAU KITU HAPA.HII DUA IMEANDALIWA MAHSUSI KWA WALE WADAU WA TAZARA CLUB ENZI HIZO ..SASA KUNA WATU WANATAJWA HUMU LAKINI HAWAKUWA WADAU WA TAZARA
ReplyDeleteMay you REST IN PEACE KAKA H. AKENA, I MISS YOU EACH AND EVERYDAY!!!!!!!!
ReplyDeleteNakuunga mkono Mikausho Mikali, Hii ni hususan kwa wale waliokuwa wadau wa TAZARA CLUB...hakuna ubaya kuwataja humu ndugu na jamaa waliotangulia lakini zingatia paragrafu ya kwanza ya ujumbe wenyewe kabla ya majina. Ukisema tutaje kila mtu humu basi itabidi tufungue blogu nyingine kabisaaa maana hawatatosha. Napongeza wale wote waliochangia mawazo na majina, mungu awazidishie imani na upendo.
ReplyDeleterip baba mkwe s kimambo
ReplyDeleteRest in Peace FATUMA JUALIA ULEDI
ReplyDeletemwanao anazidi kuwa a big boy
we miss you
Wewe unayejiita Mikausho mikali Dua itakayo somwa sio kwa waliokuwa member wa Tazara Club tu hebu soma vizuri hapo juu. ni kwa waliokuwa Member wa Tazara na Club nyingine zilizokuwa zikishirikiana na Tazara (kwenye Sunday Bonanza) kama Railway Club, Sigara,Masai,Check Point,
ReplyDeleteHunter,Bamboo, Break Point na nyingine kwa hiyo kabla ya kuandika utumbo wako soma vizuri kichwa cha habari.
Mdau kamili joshua international aliyekuwa na maduka ya nguo dar na arusha alikufa miaka mingi tu kwa ajali ya gari.
ReplyDeleteRIP MY DAD MZEE KIMAMBO,NAWENGINE WOTE WALIOTAJWA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUWATUNZA MPAKA TUTAKAPOKUTANA,WE ALWAYS MIC U.
ReplyDeleteTumkumbuke pia Nangade na marafiki zake ambao walipenda sana kwenda kupata supu pale Tazara Club
ReplyDeleteRIP Nangade
ReplyDeletemungu ailaza mahali pemapeponi, roho ya namba 44.Mr Emmanuel Mbando na wote mlio tangulia.
ReplyDeletemungu ailaze roho ya baba angu Anania Sangura mahali pema pepono amin birrabil alamin
ReplyDelete