In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.










  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com












Archive for July 2010

wadau ugiriki waaga mashindano ya african cup

Baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo(ya kwanza na SENEGALya pili na BURKINA FASO) timu yetu jana-30/07/2010- iliyaaga rasmi mashindano ya AFRICAN CUP yanayofanyika mwaka huu katika kiwanja cha AJAX TAVROS mjini Athens. Mechi iliyobaki na Gambia vijana wetu wameahidi kushinda. Wapenzi waliojazana uwanjani walilalamikia upangaji wa timu na walitaka kocha ajiuzulu mara moja.wakidai kuwa timu yetu haikustahili kutoka mapema katika mashindano haya.

Kikosi kamili
mapumziko....zogo tupu
mashabiki. watembelee wadau wa Ugiriki


onesho la mavazi kusaidia hospitali ya wagonjwa wa akili yafana zanzibar serena inn

Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akitoa zawadi ya simu aina ya Blackberry yenye thamani ya dola 800 kwa mshindi wa bahati nasibu ya papo kwa hapo katika onesho la mavazi lililofanyika Ijumaa usiku hoteli ya Zanzibar Serena Inn. Kwa picha hii na nyingine kibaaaaaoooo


Professor Jay Atinga Washington,DC tayari kwa makamuzi Zanzibar leo

Prof Jay akiwa na maporomota wake wa DC,kushoto ni Dickson Mkama kulia ni Phanuel Ligate
Prof Jay akitia mkono(akisaini graph) kwa mashabiki wake DC
wadau kutoka Kenya na Uganda wakipiga picha na Prof Jay

Mashabiki kutoka Columbus Ohio kutoka Kushoto ni
Peter Kirigiti,Frank Kambira na Denis Tibakwira ambaye ni Mganda wa DC





BREKING NYUUUUUUZZZZ: DR SLAA AVUNJIKA MKONO

HABARI ZINASEMA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) DK WILBROAD SLAA AMEVUNJIKA MKONO WAKE WA KUUME AKIWA KATIKA SAFARI YA KUZUNGUKA MIKOANI KUTAFUTA WADHAMINI.
MWENYEKITI WA CHADEMA MH, FREEMAN MBOWE AMETHIBITISHA JAMBO HILO SASA HIVI NA KAIAMBIA TBC KWAMBA PAMOJA NA KUWA DK. SLAA AMEFUNGA PIOPIO LAKINI WATAENDELEA NA SAFARI AMBAPO LEO WATAKUWA SHINYANGA NA BAADAYE WATAELEKEA BUKOBA.
MBOWE AMESEMA DK SLAA AMEVUNJIKA MKONO BAADA YA KUTELEZA AKIWA BAFUNI NA KUSEMA KUWA HALI YAKE IKO POA NA ATAENDELEA NA MSAFARA.
DK. SLAA MWENYEWE KASIKIKA KUSEMA KUWA JAPO ANASIKIA MAUVIMU HAJAMBO NA ANAENDELEA NA LIBENEKE LA KUSAKA WADHAMINI NA KUJITAMBULISHA KWA WANACHAMA WAO


CHADEMA YAITEKA MUSOMA

Mgombea ubunge wa Musoma mjini kupitia CHADEMA Vicent Nyerere akisalimiana na mmoja wa wafuasi wa chama hicho wakati wa ujio wa viongozi wao wa juu mjini Musoma
Vicent Nyerere akimkaribisha mwenyekiti wake Mh. Freeman Mbowe, na viongozi wengine Mgombea urais wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa
akiongozana na uongozi wa juu wa chama hicho baada ya kuwasili Musoma
Mji wote unasimama
Dr Slaa akimtambulisha mgombea wa CHADEMA wa kiti cha ubunge Musoma mjini






ajali ya basi la najmunisa iliyoua 17 hapo hapo jana

Ajali hii ya kutisha ilivyotokea jana majira ya saa 6 wilayani Kahama kwa kuhusisha basi la Super Najimunisa lililokuwa linatoka Bukoba kwenda jijini Dar Es Salaam na kugongana uso kwa uso lori aina ya fuso. Ajali hiyo ilisababisha vifo vya watu 17 pale pale na wengine kibao kujeruhiwa




DJ Bush Baby is back in dar with a bang!


The EAST AFRICAN BASH......

bushbaby back in action along side.....

Jackie of Blue 3, desire Luzinda, and GNL ZA

MBAMbaramwezi Beach(formerly DAR LIVE/MALAIKA)

FRIDAY AUGUST 06, 2010

STARTING AT 7pm

10000/=


ze fulanazzzzz yavamia serena hotel zenji

ankal akila konozzzz na wadau wa hoteli ya serena usiku wa kuamkia leo alikokuwa kwenye mnuso fulani hivi. ankal anafarijika mno kuona wadau hawa wa serena ya zenji wanaendeleza libeneke la globu ya jamii kwa kwenda mbele. kila saa hawakosi kuperuzi. asanteni wadau...


JK aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya sokondari mkoani morogoro

Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya kinyago kutoka kwa Askofu Jacob Mameo Ole Paulo wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Morogoro wakati wa Harambee ya kuchangia ujenzi wa sekondari ya Ebenezeri Lutheran Junior Seminary ya Morogoro.
Mkazi wa Sokoine Morogoro. Justine Shamba Kubwa akipongezwa na Rais Jakaya Kikwete Baada ya kuchangia shilingi Laki Mbili taslimu (200,000) wakati wa Harmbee ya Ujenzi wa shule ya sekondari ya Ebenezeri Lutheran Junior Seminary iliyopo Morogoro. Kulia ni Askofu Jacob Mameo Ole Paulo wa Dayosisi ya KKKT ya Morogoro aliyesima kulia kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa Morogoro Kanali mstaafu Issa Machibya .


fancy nkuhi aibuka kidedea kura za maoni UVCCM mkoa wa singida

Msimamizi mkuu wa uchaguzi huo ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Singida,Mh. Pascal Mabiti akimpokngeza Fancy Nkuhi kwa kupata nafasi hiyo.
Fancy Nkuhi akiwa na mpinzani wake wa karibu Jamila Hasani mara baada ya matokeo.
Picha ya pamoja ya wajumbe wa mkutano huo mara baada ya uchaguzi kwisha.



Na Hillary Shoo,Singida.

KATIBU wa asasi isiyokuwa ya kiserikali ya (UNA) United Nation Asociation iliyopo kwenye jengo la umoja wa mataifa jijini Dare s salaam Fancy Nkuhi (25) amechaguliwa kuwa mmoja wa wagombe Ubunge kundi la vijana kutoka mkoani Singida.

Fancy aliibuka kidedea kwa kupata kura 16 kati ya kura 29 zilizopigwa jana na wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM mkoani hapa.

Katika uchaguzi huo mshindi alipata upinzani mkali kutoka kwa msindi wa pili Jamila Hasan aliyepata kura 10 huku Vailet Eliasi ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya UVCCM makao makuu akiambulia kura 3.

Mjasiriamali kutoka Kinondoni Mosi Ntandu aliambulia patupu baada ya kupata kura sifuri.

Akizungumza mara baada ya kupata ushindi huo Fancy mwenye shahada ya sheria kutoka chuo kikuu huria,alisema matarajio yake ni kuhakikisha fursa wanazopata vijana katika nyanja mbalimbali zinafanikiwa.

Alisema atahakikisha kuwa fursa hizo zinapata msimamizi mwenye uwezo wa kuzitetea katika bunge pindi atakapochaguliwa kushika nafasi hiyo.

Hata hivyo msimamizi mkuu wa uchaguzi huo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Pascal Mabiti aliwataka vijana hao kuunganisha nguvu ya pamoja na kuvunja makundi ili kuhakikisha mwakilishi huyo kutoka mkoani hapa anaibuka mshindi katika awamu ya pili Mkoani dodoma Agosti 3 mwaka huu.


back to the 80 @ mbalamwezi beach club today



BREKING NYUUUUZZZZ: HATIMAYE MACHINGA COMPLEX YAANZA KAZI

bustani mwanana inaremba sehemu za Machinga Com[lex ambayo ni majengo maalumu yaliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga ili kuwapa sehemu nzuri ya kufanyia kazi na kuondokana na kero ya kupigwa na jua na mvua barabarani. Mradi huu ambao umebuniwa na JK unatarajiwa kufanyika wilaya zote tatu za jiji la Dar na baadaye mikoani. Hivi sasa wamachinga wameruhusiwa kuingia na kuanza kazi inagwa ufunguzi rasmi bado. Inasemekana wiki ijayo sherehe za ufunguzi rasmi zitafanyika. Jumla ya wamachinga 4,500 wanatarajiwa kufanya biashara zao humo
sehemu ya chini kusini
mafundi wakiwa kazini kujenga ofisi za
Benki ya Wamachinga itayokuwepo hapo pamoja na ATM kibao
sehemu ya ndani katika mojawapo ya ghorofa tano za jengo hilo
wadau wakiingiza fomeka kwa ajili ya kutengenezea segemu zao
mama anaandaa biashara ya khanga. anasema anashukuru kupata maghali rasmi pa kufanyia biashara na kwamba ada ya 2000/- kwa siku
wadau wakijiandaa kuingia kazini kwenye
sehemu iliyotengwa maalumu kwa stationary

mojawapo ya ghorofa katika jengo hilo
wengine tayari wameshaanza kazi
kwa nje












zawadi kwa mgeni

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akimkabidhi Zawadi ya Kinyago Naibu Waziri wa Mazingira wa Korea Jong Soo Yoon Mara Baada ya Mkutano wa Ushirikiano kuhusu Usimamizi wa Mazingira Baina ya Serekali Korea na Tanzania Uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Naura Mjini Arusha.


MAONYESHO YA MUZIKI KUTOKA KATIKA CHUO CHA MUZIKI “DCMA”


Chuo cha Muziki wa nchi za Jahazi (DCMA) ni shirika linalotoa elimu ya muziki lililoanzishwa mnamo mwaka 2001.

DCMA ilianzisha shule ya muziki katika Mji Mkongwe mnamo mwaka 2002 na kutoa mafunzo ya muziki pamoja na mafunzo ya ala mbalimbali za muziki kwa bei nafuu kwa mtu yeyote yule ambaye anapenda kujifunza muziki ama kuwa mahiri katika ala mbalimbali za muziki.

DCMA hasa imeweka msisitizo katika kufundisha aina mbalimbali za muziki wa asili ya Zanzibar kama vile Taarab, Beni na Kidumbaki na walimu walio wengi ni kutoka hapa Zanzibar. Aidha, chuo cha muziki kinaendesha warsha, mafunzo na semina maalum za muziki kwa kushirikiana na walimu mbalimbali kutoka nje ya nchi ili kuongeza umahiri na ujuzi kwa wanamuziki wanao shiriki mafunzo kutoka katika chuo hiki.

Chuo kina sehemu kubwa sita ambazo ni:

* Mafunzo ya muziki kama: Violin, Oud, Qanun, Cello na Gita
* Mpango wa ufadhili kwa wanafunzi
* Librari ya muziki (inatoa vyombo vya muziki kwa matumizi ya hapa chuoni pamoja na noten za muziki, mashairi pamoja na kurekodi)
* Mafunzo kwa vikundi vya muziki (Muziki kutoka Zanzibar na nchi za majahazi, Muziki wa Kimagharibi, pamoja na ngoma za asili)
* Kutafuta nafasi kwa wanamuziki kwa ajili ya kuwatangaza na kutafuta kazi ndani na nje ya nchi
* Warsha na semina

Chuo cha Muziki kinatoa nafasi ya kutunza na kuendeleza azina kubwa ya utamaduni na muziki wa asili ya Zanzibar na kutoa elimu ya nadharia na elimu ya ufundi.

Chuo cha Muziki cha Zanzibar, DCMA, kinapenda kutoa taarifa inayohusu maonyesho ya muziki katika maeneo ya wazi katika manispaa ya Zanzibar na onyesho moja kubwa la kufunga muhula (URITHI 2010) yatakayofanyika siku ya tarehe 26 Julai 2010 pale Lebanoni Mtaa wa Baghani, tarehe 27 Julai 2010 pale Michenzani mbele ya Jumba namba 2 na tarehe 30 Julai katika chuo cha muziki “DCMA” katika barabara ya Mizingani mkabala na Makumbusho ya Kasri.

Maonyesho hayo ni sehemu ya mkakati wa chuo katika kupeleka mafanikio yaliyopatikana kwa jamii pamoja na wageni wakaazi na wageni wote waishio hapa Visiwani Zanzibar. Maonyesho hayo yatafanyika katika mpangilio ufuatao:


Julai 26, 2010- saa 10:30 alaasiri mpaka 11:30 alaasiri Lebanon Square-Mji Mkongwe

Onyesho la Muziki wa Taaarab asilia litafanyika Lebanon Square likishirikisha walimu na wanafunzi wa muziki kutoka DCMA. Onyesho hilo lina lengo la kupeleka ladha halisi ya Taarab asilia kwa wakaazi wa maeneo ya Lebanoni pamoja na wageni na watu wote kwa ujumla.

Julai 27, 2010- saa 10:30 alaasiri mpaka 11:30 alaasiri Michenzani mbele ya Jumba namba 2

Onyesho la Muziki mchanganyiko kutoka katika bendi ya wanafunzi “Swahili Vibe” kutoka DCMA. Bendi ya Swahili Vibe inajulikana kwa kupiga muziki mchanganyiko na wenye ladha tofauti, kuanzia Muziki wenye asili ya mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi na muziki kutoka pande mbalimbali za Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Onyesho hilo litakuwa limesheheni vibaji kutoka “DCMA” Aidha, onyesho hilo litakuwa na lengo kubwa la kupeleka muziki kwa jamii ili kushajiisha wakaazi wa Visiwa vya Zanzibar wenye vipaji na nia ya kujifunza muziki kuweza kuitumia nafasi hiyo kupata taarifa mbalimbali kuhusu chuo na shughuli zake katika kuendeleza muziki unaojali tamaduni na asili ya Zanzibar.

Mbali na kufanya maonyesho hayo, “DCMA” itafanya onyesho kubwa la kumaliza muhula Julai 30, 2010 kuanzia saa 2 usiku hapa chuoni DCMA. Onyesho la URITHI 2010 ni mfululizo wa maonyesho ya muziki kutoka hapa chuoni yanayofanyika kila mwaka.

Onyesho hilo ni la mwisho wa muhula na litafanyika katika sehemu zote za jengo la chuo. Watazamaji watapata nafasi ya kipekee ya kuona aina mbalimbali za muziki wenye vionjo vya sauti mbalimbali vyenye ladha halisi kuanzia ghorofa ya tatu ya jengo mpaka sehemu ya chini ya jengo ambapo onyesho la mwisho litafanyika.

Ungana nasi katika safari hii ya kipekee ili kuona vipaji vya muziki vya hali ya juu kutoka katika Chuo cha muziki wa nchi za Majahazi “DCMA”

Maonyesho hayo yamedhaminiwa na Vodacom Tanzania, Pemba Lodge, Mnarani Beach Cottage, Zan Air na Zanzibar Grand Palace.

Tunaambatanisha bango la kutangaza maonyesho hayo sambamba na taarifa hii kwa ajili ya matumizi yako.

Tunaomba hisani ya kuchapishwa taarifa hii. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia anwani ifuatayo: -

Dismas Leonard Sekibaha
Development, Marketing & PR Manager
Dhow Countries Music Academy, Zanzibar
press@zanzibarmusic.org


PROFESSOR JAY KUWASHA MOTO ZANZIBAR, WASHINGTON DC, JUMAMOSI HII


hoja ya haja: BOT kulikoni??

Salaam mkuu wa libeneke.
Hongera kwa kazi nzuri ya kutuletea habari mbalimbali za nyumbani. Siasa, burudani, uchumi, jamii, .... furaha na huzuni.

Katika kupekura bei za madafu mtandaoni, nimeona tofauti kubwa ya bei za fedha kati ya BOT (Bank of Tanzania) ukilinganisha na bei katika mabenki ya ndani, maduka ya kubadilishia fedha na soko la kimataifa. Mfano nimeonyesha hapo chini, kwa tarehe 29/7/2010.

Yahoo: 29/07/2010: 1USD =1518.5 Tsh.
http://finance.yahoo.com/currency-converter/#from=USD;to=TZS;amt=1

NBC-TZ: 30/07/2010: Buying 1.426,42: Selling 1.546,42
http://www.nbctz.com/

BOT: 29/Jul/2010: Buying 1.368, 2466: Selling 1. 396,1700
http://www.bot-tz.org/

Kwa tarakimu hizo ina maana mtu unaweza kununua USD 10.000 kutoka BOT na kuziuza NBC na kupata faida ya zaidi ya T.Sh. 300.000 ghafla! Je hilo linawezekana? Ikiwa biashara hiyo haiwezekani, Viwango vya kubadilishana fedha vya BOT ni vya uongo au vinaonyesha nini?

Zaidi, nijuavyo mimi, ukituma fedha kutoka nje, fedha itabadilishwa kwa viwango vya BOT. Hivyo ukituma Tanzania SEK 20.000 za Sweden leo, kwa mfano, utapata Tsh. 3.760.000, wakati thamani yake katika soko la kimataifa ni T.Sh 4.200.000. Je hii si dhuluma? Kwa nini BOT isiwe na viwango vizuri vya kubadilishia fedha (Buying rate) ili kuwavutia watanzania walioko nje kutuma fedha nyumbani, badala ya kuweka viwango vya kukatisha tamaa na kuzikosesha familia zetu maisha bora na pia kulikosesha taifa fedha za bure kabisa za kigeni?

Ni imani yangu tutapata maelezo ya kitaalamu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya fedha, au BOT wenyewe!

Nakutakia kazi njema,

Mdau MCL


JK amkaribisha Dr. Migiro ikulu leo

JK akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha-Rose Migiro wakati alipomtembelea Ikulu jijini Dar leo. JK akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha-Rose Migiro alipomkaribisha Ikulu jijini Dar leo.


Fashion 4 Health with the Vodacom Foundation

a model in mustafa hassanalis zanzibar Charity Show in aid of Zanzibar Mental Hospital in 2009

• All set for the Black and Gold Gala event
• Top Models to Grace the Show
• Fashion For Health in aid of the Zanzibar Mental Hospital

VODACOM Tanzania, through Vodacom Foundation, will this year sponsor a charity fashion show (Fashion 4 Health black & gold gala night) by Mustafa Hassanali in aid of the Zanzibar Mental hospital in Zanzibar on July 30th.

The show is being in Zanzibar for the third year in a row and is organized by Explore Zanzibar.

“This is the third year in a row, we Hosting the Islands Premier and Biggest Fashion Show with Mustafa Hassanali , and we are All ready for Fridays Nights Gala Soirée”, said Maryam Olsen, Managing Director of Explore Zanzibar.

To support her calling, Vodacom Foundation and Mustafa Hassanali have joined forces to create a synergy that will benefit various people at the Zanzibar mental hospital.

“With The Best in Names from the Fashion Industry, Its My Responsibility as a creative entrepreneur to Give back to the Society in the smallest way possible, and together with various individuals From the Tanzanian Fashion Fraternity we lead the way”, stated Mustafa Hassanali, who together with Explore Zanzibar supports the work of the Mental Hospital of Zanzibar (Kidongo Chekundu).

Mustafa Hassanali, Tanzania’s most renowned fashion designer shall unveil his new creations Aptly named “Karafuu” inspired by the Cloves of Zanzibar at Zanzibar Serena Inn in Stone Town, with models from Dar es Salaam Like M’Net Face of Africa 2010 finalist Lillian Mduda, Kisura Tanzania 2009 Winner Diana Ibrahim amongst other top models and Former beauty queens. Also Part of this Event is Renowned Tanzanian Hair and Make up Artiste Rehema Samo.

Zanzibar’s renowned designer, Farouque Abdella shall curtain raise the event together with MAGO Designs who represent Best of the Zanzibar Fashion Brand names.

Tanzanite Band, from Dar es Salaam will provide the live band music and tunes for the Zanzibari Fashionistas to Party the Night away which shall be hosted by Celebrity Radio Presenter Babbie Kabaye

“Charity begins at Home and if we Do not support our Own people and institutions, whom are we waiting for then? It’s the Small steps that count and am Honoured that Maryam Olsen and Zanzibaris Have given me the Opportunity to Lead the way by taking that Step” stated Mustafa Hassanali.

The Fashion 4 Health with the Vodacom Foundation Black and Gold Gala, has been sponsored by The Vodacom Foundation, PSI (Population Service International) African Life Assurance, Zanzibar Serena Inn , Explore Zanzibar, 361 Degrees Events and Vayle Springs LTD

ABOUT VODACOM FOUNDATION

Established in July, 2006, Vodacom Foundation focuses on the company's corporate social investment efforts with the aim of improving the welfare of Tanzanians.

The Foundation looks at four key areas, namely, education, health, economic empowerment and social welfare which are in line with the country’s national development priorities.

Foundation has carried out almost 100 projects in all the regions of the country and more are in the books. These projects have reached and have had direct impact on the lives of thousands of Tanzanians from an array of backgrounds.

ABOUT MUSTAFA HASSANALI

Mustafa Hassanali, a creative entrepreneur believes in the ‘never say die’ attitude and uses his talent and creativity in making a better today and tomorrow for the fashion fraternity along various social causes very close to his heart. Mustafa is truly a fashionista personified!

Mustafa’s work has been highly appreciated at international levels. His showing at the Afric Collection in Douala, Cameroon, India International Fashion Week 20009, Naomi Campbell’s Fashion for Relief 2009, Arise Africa Fashion week 2009, Durban & Cape Town Fashion Weeks, Vukani Fashion Awards in Pretoria, Miss Ethiopia Beauty Pageant, Mediterranean Fashion Festival in Sicily, Italy; M’Net Face of Africa, Mozambique, Uganda & Kenya Fashion Weeks has brought him immense adulation.

ABOUT ZANZIBAR MENTAL HOSPITAL

The Mental Hospital of Zanzibar (Kidongo Chekundu), built in 1947 during the British colonial period has been in dire need of funding for a long time. The year 2009 saw 6 million TSH raised. This has been used to create a female ward and an occupational therapy room, so that the patients could be divided and allow them the respect that for so long they’ve been denied, but deserved. The money was also used to improve the gardens and improve the therapeutic environment of the hospital.

ABOUT EXPLORE ZANZIBAR

Explore Zanzibar an event, tour and promotions company at the forefront of any major events in Zanzibar and always keen to break new ground while earning millions for charity. Its managing director is the executive secretary of ZATI, (Zanzibar Association of Tourism Investors) with over 110 businesses enrolled as members.

FOR IMMEDIATE RELEASE

TELEPHONE NUMBER:
+255-78-4303880
EMAIL ADDRESS:
media@mustafahassanali.net


WAFANYAKAZI WIZARA YA HABARI WAKUTANA

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Seith Kamuhanda (wa pili kutoka kulia mstari wa kwanza) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 7 wa Baraza hilo leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda akiongea na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine Bw. Seith Kamuhanda ametoa wito kwa watumishi wa umma kuepuka ubaguzi na upendeleo katika utoaji wa huduma.
Baadhi ya wajumbe wakichangia agenda mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es salaam.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.


simba yapata kocha mserbia, yamwambia phiri ang'atuke

UONGOZI wa klabu ya Simba umemtaka kocha wake Patrick Phiri kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa njia ya mtandao, wakati huo huo klabu hiyo imemtangaza kocha mpya raia wa Serbia Cirkovic Milovan kurithi mikoba ya Mzambia huyo.
Simba imefikia hatua hiyo kutokana na kocha huyo raia wa Zambia ambaye aliiwezesha kutwaa ubingwa msimu uliopita kwa mafanikio makubwa akiwa amecheza mechi zote za Ligi Kuu bila ya kupoteza mchezo hata mmoja kutokana kuchelewa kurudi kutoka kwao ambako alikwenda kwa mapumziko.
Hata hivyo kocha huyo aliweka wazi hawezi kurudi kwa sasa na hajui hatarudi lini nchini kuendelea na kibarua chake kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia. Kufuatia hali hiyo, uongozi wa Simba chini ya mwenyekiti wake Ismail Aden Rage umemtaka ajiuzulu kwa ajili ya kulinda heshima yake kabla ya kumchukulia hatua zaidi za kinidhamu.
Kaimu katibu mkuu wa klabu hiyo Evodius Mtawala alisema jana kuwa "Iwapo Phiri hatotii agizo hilo la kuandika barua ya kujiuzulu, tutamchukulia hatua za kinidhamu, sisi tumemtaka afanye hivyo ili kulinda heshima yake."alisema.
Kwa mujibu wa Mtawala Milovan anatarajiwa kuwasili nchini muda wowote kuanzia sasa kusaini mkataba wa miaka miwili tayari kwa kuinoa timu hiyo ambayo ipo mafichoni visiwani Zanzibar chini ya kocha wake Sillarsaid Mziray. Milovan aliwai kuifundisha Simba mwaka juzi kwa muda wa miezi mitatu na kuondoka katika mazingira ya kutatanisha.


BREKING NYUUUZZZZ: jaji eliamani mbise afariki dunia

JK akila pozi na Majaji wa Mahakama Kuu 10 wapya na Msajili wa Mahakama ya Rufaa baada ya kuwaapisha July 31, 2009 Ikulu Dar. Marehemu Jaji Eliamani Mbise ni wa tatu toka kushoto mstari wa nyuma ya JK.

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Eliamani Mbise amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa.

Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Msajili wa Mahakama ya Rufani Francis Mutungi imesema Jaji Mbise imesema Jaji Mbise amefariki majira ya saa nne na nusu tarehe 29/7/2010 .
Taarifa hiyo imesemakuwa taratibu za mipango ya Mazishi ambayo yatafanyika Arusha itatolewa baadae baada ya utawala kuwasiliana na ndugu wa marehemu.

Aidha Bwana Mutungi amesema msiba umewekwa kwa muda nyumbani alipokuwa akiishi marehemu Mikocheni kwenye nyumba za viongozi wa Serikali.

Marehemu Mbise alikuwa akifanya kazi katika kituo cha kazi cha Mahakama kuu ya Tanzania .


JK amteua Balozi Malambugi kuwa Balozi Mpya nchini Brazil

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete amemteua Balozi Francis Malambugi kuwa Balozi wa Tanzania Brasilia nchini Brazil .

Uteuzi wa Balozi Malambugi umefuatia kutokana na aliyekuwa Balozi wa nchi hiyo Balozi Daktari Joram Mkama Biswaro kuteuliwa hivi karibuni kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na kwenye Umoja wa Afrika.

Balozi Malambugi ambaye kwa taaluma ni Mwanasheria na Mwanadiplomasia alijiunga na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa tarehe 1/1/1978 kama Wakili wa Serikali na amewahi kufanyakazi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Angola, Ofisi ya Umoja wa Mataifa iliyoko Geneva, Ujerumani,Ethiopia na Ubelgiji.


MPIGANAJI DANFORD MPUMILWA AMWAGA SERA JIMBON

MGOMBEA ANAYEOMBA KUTEULIWA NA CHAMA CHA
MAPINDUZI(CCM) KUGOMBEA KATIKA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI MKOANI IRINGA,DANFORD MPUMILWA AKIMWAGA SERA ZAKE KATIKA KIJIJI CHA UTEWELE WILAYANI HUMO.
MGOMBEA ANAYEOMBA KUTEULIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM)KATIKA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI,DANFORD MPUMILWA AKIWA KATIKA KIJIJI CHA ULEMBWE JIMBONI HUMO JUZI.(PICHA NA MOSES MASHALLA)



mwananchi turns 10 tomorrow, commissions new printing press

Mwananchi Communications Limited – the publisher of Mwananchi, The Citizen and Mwanaspoti, commissions its new printing press on tomorrow starting at 10.30am.
The function is part of activities to mark the 10th year since the company was founded and published the first newspaper (Mwananchi) on the 27th May 2000 followed by Mwanaspoti in 2001 and The Citizen in 2004. Mwananchi and Mwanaspoti are the leading newspapers in the Daily Swahili and Sports papers respectively.
The function will be officiated by His Excellency Ambassador Juma Mwapachu – Secretary General of the East African Community.

MCL was founded by Ambassador Ferdinand Ruhinda and Honourable Rostam Aziz but is now a subsidiary of Nation Media Group which is a publicly listed company and quoted in the Nairobi Stock Exchange.
The company is one of several companies that are part of the Aga Khan Development Network (AKDN).

The purchase of the new printing press acquired from Manugraph of India at a cost of US$4 million, is a milestone in the operations of the company now able to put out the best printed quality newspapers in the country.
In the last 18 months, MCL has enhanced and re-designing Mwananchi and Mwanaspoti newspapers. The Citizen is set for content and design enhancement before the end of the year.

These recent investments will support the drive towards distinguishing our products and ensuring market leadership.
SAM SHOLLEI –MANAGING DIRECTOR


JK aapisha manaibu katibu wakuu leo

JK katika picha ya pamoja ya Manaibu Katibu Mkuu wa wizara mbalimbali baada ya kuwaapisha leo Ikuku jijini Dar. Picha na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO


uchaguzi viti maalum mkoa wa dar

Mgeni rasmi ambaye ni Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar es salaam,Mh Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Mwenyekiti wa UWT Taifa Mh. Sophia Simba.
Mmoja wa washindi waliochaguliwa,Bi. Ritah Mlaki akishangilia mara baada ya kutangazwa kuwa mmoja wa washindi watano katika Matukio mbalimbali yaliyofanyika jana jijini kwenye uchaguzi wa Wagombea kupitia UWT kwenye mkutano Mkuu Maalum Wa uchaguzi Mkoa wa Dar es salaam uliofanyika kwenye ukumbi wa PTA katika viwanja vya Sabasaba.
Katika uchaguzi huo wajumbe wa UWT waliwachagua wawakilishi wa makundi mbalimbali kwa ajili ya VITI MAALUUM, Mwenyekiti wa UWT Mkaoni Dar es salaam Zarina Shamte Madabida alikuwa mshindi wa kwanza. na kufuatiwa na Ritah Mlaki, Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Mlezi wa Chama mkoa wa DSM Abdulrahman Kinana, na kuhudhuriwa na MWenyekiti wa UWT Taifa Sophia Simba.
Mgombea wa Viti Maalum Janeth Masaburi akiomba kura kwa wanachama.
Wanachama wakigawiwa karatasi kwa ajili ya kupiga kura.

(picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)


Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker