Anko Michuzi heri ya mwaka mpya..! Anko nilipata fursa ya kutembelea kwa watani zetu kanda ya ziwa huko migombani na kukaribishwa mvinyo aina ya rubisi na hiyo ndiyo glasi kama uanavyo; ni jani la mgomba ambalo halijuvishi kinywaji hata kidogo..! Naomba wadau wakong'otee hiyo style..!
Anko niliwahi kusoma enzi za Mwalimu habari za siku ya gulio Katerero. Hakika nimefarijika mno pale nilipobahatika kufika huku Katerero ambako pamoja na mambo mengine kibao (ambayo nikileta hapa nitachafua hali ya hewa ama nitajeruhi hisia za mtu/watu) nimeshuhudia hii staili ya aina yake ambapo kila gesti niliyokwenda kupata malazi nilikuta godoro lina mpira wa karatasi kama anaowekewa mtoto mchanga asiloweshe godoro kwa mkojo. Kunradhi, na ashakum si matusi. Naomba kuuliza; Je, kwa watu wazima mipira ya nini..? Hebu wadau wenyeji wa huko watusaidie kujua hili...!
Mdau nikiwa Vekesheni Nanihii...
-----------------------------
ANGALIZO: Globu ya Jamii inapenda kumshukuru mdau aliye vekesheni huko nanihii kwa twaswira hizi pamoja na maelezo yakinifu. Hongera sana mdau kwa kuendeleza libeneke.

Tunapenda kutoa rai kwa mdau yeyote mwenye taswira na habari yakinifu kama hizi asione noma kwani anakaribishwa kwa mikonpo yote miwili na miguu pia. Hii yote ni katika kuendeleza sera jadidu ya Globu ya Jamii kwamba 'sibagui, sichagui; atayenizika simjui...

Hivyo mdau ukiwa na taswira ama hoja ya haja, ama haja ya hoja we ilete tu kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utashughulikiwa mara moja bila kusita, na bila kelele wala mikwaruzo. Libeneke Oye!
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Wewe Mdau Mwongo mbona mimi nimefika na hakuna GESTI eneo hilo ama katika kata / kijiji hicho kama zipo tupe majina na picha basi. Katerero hasa ni uwanja wa wazi (kama anavyoonekana jamaa mwenye KITEGEKO - Glass ya kienyeji)ambapo watu ufika hasa siku ya Jumamosi kwa ajili ya kuuza vitu mbali mbali hasa vya mashambani ingawa siku hizi machinga wanaleta mitumba na vitu vingine kama Redio, tochi n.k toka china.

    Pia kijiji hicho katika Wilaya ya Bukoba vijijini ama Muleba hakina GESTI zozote hivyo uache uzushi.

    Michuzi Habari kama hii aina itapelekea blog yako kukosa heshima, ni sawa na mtu aanze kuhusisha upotoshaji wa JINA la mtandao fulani na uhuni unaosemwa juu ya jina hilo. ovyooooooooooo!

    Mwisho %^£%$"&**(_)&(*&*^%%$ zake aliyetunga habari hii ya GESTI kuwa na Mipila ya Nailoni _)*()()^&*&^ ny(*)&)(^&%^^&* OOO OOOOOOOOOO! *&*(%^£%^%$£/*/

    ReplyDelete
  2. Kuiandika sababu ya kuweka mpira kwenye godoro kama la mtoto mdogo humu ndani itakua si vizuri maana ni mambo private. Ila kwa ufupi tuu ni kwamba kutokana na style za Kihaya kwenye starehe za chumbani, matokeo yake yatapelekea godoro kuroa na ndio sababu mpira unawekwa ili kuepusha madhara.

    ReplyDelete
  3. ukweli ni kwamba mambo ya wahaya ni mmmbila hayo akieleweki na hayo yakitoka mwanamke anakua fresh bila magonjwa ya kiuno na wanajua wao wenyewe wanachofanya mdau wa kwanza usikasirike hata kama limekugusa kwani hata hapa kazini kwangu leo wahaya wamechukia kwa hilo pole hao ni washaijah kweli

    ReplyDelete
  4. kwa kweli nakubaliana na huyo bwana wa kwanza (annon 09:41)huyo bwana inaonekana anatumia habari za mitaani,yeye angetoa majina na picha ya hizo guest houses.sio kawaida kijiji kuwa na guest house,tuache uzushi!

    ReplyDelete
  5. Mimi ninachojua wanahacha hiyo mifuko kwa sababu gesti wanalala wageni wa kila aina wengine vikojozi wengine walevi na wengine watoto,kwa hiyo katka hali hiyo lolote laweza kutokea kuaharibu godoro ambalo kulifua ni kazi kwelikweli.kwa hiyo wako makini .Au wewe unataka ukute kunanuka?Hiyo glasi ya kienyeji sio KITEGEKO NI KITEGERA/KITEGERO..Katerero ipo Bukoba vijijini na sio Muleba imepakana na Kyemetema,Kanazi,Bujugo na Kemondo.Ni ka centre fulani hivi na kuna sekondari inaitwa katerero na primary pia inaitwa hivyo hivyo.
    Kazi kwenu MZEE WA IFAKARA...

    ReplyDelete
  6. Duh mi nilidhani katerero ni matusi kumbe ni jina la sehemu bwana!!! hahahahaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Nshomile na mila zao. Na mandhari nzuri sana

    ReplyDelete
  8. bukoba mjini ndo nami niliikuta mipira hila si guest zote nilizoingia hapo ilikuwa mwaka 2005, mi ni mhaya asilia ila sijawahi kufika huko katerero. Mi ningekuwa wewe ningemuuliza muhudumu mapema. ila ni sababu za kiusalama si unajua magodoro bei gali lol! ungepiga godoro na naironi yake tuone, nadhani katika picha zangu ipo iloonyesha mpira ntaitafta.

    K

    ReplyDelete
  9. Teh teh teh teh teh teh teh teh teh! Mbavu zangu Maweeee!

    ReplyDelete
  10. mi nashangaa watu mnakua na chuki? why? kwanini?

    KATERERO MAANA YAKE NINI? NAONA WENGI HAMJUI. HILO ENEO LINAITWA KATERERO NA NI JINA TU KAMA YALIVYO MAJINA MENGINE. ISIPOKUA HILO ENEO ZAMANI LILIKUA NI MAARUFU SANA KWA GULIO NA UPIGAJI WA KOKOTO. MTU ALIKUA ANAKAA KISHA HUPONDAPONDA KOKOTO SASA BAADAE WATU WAKAIGIZA STAILI HIYO YA KUPONDA KOJKOTO WAKATI WA KUFANYA MAPENZI YAANI MWANAUME ANASHIKA UUME WAKE KISHA ANAUPIGAPIGA KWENYE SEHEMU ZA KIKE ZA MWANAMKE NA KWA KUFANYA HIVYO MAJI MENGI HUWA YANATOKA. HIYO NDIO MAANA GESTI NYINGI WANAWEKA MIPIRA ILI MAGODORO YASILIWE.

    HABARI NDIO HIYO.

    MI NAJUA ALIYEWEKA HII NI MTANI WETU WA MUSOMA ILA MKAE MKIJUA SISI WAHAYA NDIO TUMESOMA KULIKO MAKABILA YOTE TZ NA TUKO JUU SANA KIMAISHA.

    HABARI NDO HIYO


    MUSHUMBUSI RUGAIMUKAMU
    MENEJA
    BENKI MOJA MAARUFU BONGO

    ReplyDelete
  11. Nakumbeka kuna guest moja nilienda Mwanza nikakuta mipira kama hiyo iliyosemwa hapo juu. Inawezekana ni utamaduni wa eneo hilo ila sidhani kama linauhusiano na mambo mengine ya kimahusiano.

    Ila mdau ameongelea guest huko katerero au Bukoba mjini? Maana katerero ni kijiji ambacho hakina guest ila kuna eneo limetengwa kama soko/gulio ambapo siku ya jumamosi watu mbalimbali huleta mavuno yao ya shamba kuuza kwa ajili ya kujipatia riziki. Inakuchukua nusu saa driving kutoka Bukoba mjini mpaka hapo.

    ReplyDelete
  12. Haya mambo muhimu kujua hamna haja ya kuchukia, sioni tatizo kwa mtu kuleta topic kama hii. Mbona makabila mengine twawatania sana wejemeni. Tatizo ni kama kweli hakuna gesti na wala hii mipira. Hata hivyo hii ni burdani kwelikweli maana kama jina lenyewe lilivyo basi na kale kamtindo kanavyoleta namna basi ni budi mpira uwekwe. Nilishapita maeneo huko (siyo katerero) basi nikafundishwa haka kajamaa, si mchezo huu ni utamaduni wetu hatuna budi kujivunia, sina habari kama kuna nchi ina haka kautamaduni tukadumishe twaweza pata hata watalii kama philipines na Netherlands

    ReplyDelete
  13. Mdau uliyeleta habari jibu ni simpo! Kuna wateja waliokwishawahi kulowesha hayo magodoro ya gesti ndio maana ikaamuliwa kuwe na mipira ya kuzuia godoro kulowa.

    Waliloweshaje? Kuna wateja vijojozi? n.k. ... hiyo mimi na wewe hatujui!

    ReplyDelete
  14. NILIKAA KIMYA NIKIFUATILIA KUONA COMMENTS ZA WADAU,KATI YA WOTE WALIOSEMA NI MTU MMOJA TU AMEELEZEA VIZURI TENA BILA "KUCHAFUA HALI YA HEWA" WALA "KUJERUHI HISIA ZA WATU,MTU HUYU KWA HESHIMA YA KIPEKEE KABISA NAOMBA NIMTAJE MENEJA WA BENKI "MAARUFU" BWANA MASHAMBUSHI,YEYE NDIO PEKEE AMBAE HAKUUMA MANENO KAITOA KAMA ILIVYO,WENGINE WENGI WAMEJIKITA KATIKA KUISHIA KUKANUSHA UWEPO WA GESTI HUKU KATERERO NA KUTUMIA MEEEEEEENGI KULIELEZEA SOKO,SIJUI HALI YA HEWA YA HUKO,MARA WAPONDA KOKOTO WAKATI ISSUE HAPO ILIKUA NI JE MIPIRA YA KAZI GANI CHINI YA GODORO BILA SHAKA MASHAMBUSI AMETOA MAJIBU SAHIHI.NAOMBA SASA MJADALA UFUNGWE.

    ReplyDelete
  15. ww ulieleta habari hii huna akili,mjinga mjinga tu na hilo tumbo lako kubwa utafikili unakunya humo humo.

    ReplyDelete
  16. Makubwa kweli aleleta hii habari hajatulia, anko michuzi uwe unacheck kwanza ishu nyingine maana unaweza kuwa umetumiwa na chizi mana hili lijamaa linaonekana ni chizi na hilo tumbo lake ndo kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...