Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ndama...mbavu sina...ama kweli "Wakati Kitabu".

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza, kwa nn unasema wakati kitabu? Kwani huyu jamaa ni nani, msaada tutani?

    ReplyDelete
  3. mdau hapo ushaambiwa pdg.ukiwa muhudhuriaji wa ngwasuma ama akudo utamjua.mishen-town

    ReplyDelete
  4. sasa ndama na falii ipupa ni nani ana pesa zaidi jamani??
    ni kwanini asingepeleka hizi pesa kwa watoto yatima alafu akaita na waandishi waone ili apate huo umaarufu kwa kufanya jambo lenye manufaa walau??...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...