On February 10th, 2011 at 5:42pm, Pacific Time, Marie Makulilo has delivered our cute little Makulilo named BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO. Benedikt has 8.8lbs (weight) and 21 inches (length)

The logic behind the names (Benedikt Fulbright Makulilo)

The name Benedikt (with letter "K" instead of "C" because of Kiswahili and Germany spelling of Benedikt), which comes from the Latin word meaning "the blessed", in honour of both Saint Bendict of Nursia and Pope Benedict XVI. And the name Fulbright is in honour of the prestigious FULBRIGHT scholarship. Fulbright Scholarship is the scholarship which has been named after William James Fulbright, and it has lot of meaning in realizing my dreams today, and MAKULILO is the honor of unsung hero Boniface Makulilo, my father

Thank you all for your prayers and encouragement.
The Makulilos (Marie, Ernest and Benedikt)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Hongera sana bwana na bi Makulilo,mtoto akue katika afya njema.hongera Makulilo kwa kutuwakilisha vyema!

    ReplyDelete
  2. Hongera Makulilo na familia yako, LAKINI jamani, breaking news???? Marekani? Mzungu?? C'mon people!

    ReplyDelete
  3. hongera sana, kazi ni kulea sio kuzaa

    ReplyDelete
  4. Hongera sana !sana Makulilo,
    Lakini ulipokua unatutangazia nafasi za masomo na udhamini wa masomo katika blog yako!ukuwa muwazi,pia ulikuwa mchoyo! ukujulisha kama kuna Oppotunity zingine za kutengeneza makaratasi! kama hii uliyonayo!tena sio karatasi bali ni jarida la merekani,basi unapotutangazia nafasi za masomo na hizi zingine pia usitubanie..
    Any way Hongera

    ReplyDelete
  5. ...Hongera sana Makulilo, Mungu akuzidishie!

    ReplyDelete
  6. makaratasi safiiiii

    ReplyDelete
  7. na mimi natamani hako ka full bright scholarship nikazae na mzungu!! I wish

    ReplyDelete
  8. Kila la kheri kwa nyote mtoto kapendeza pia amerisi puwa ya baba yake

    ReplyDelete
  9. Hongera MPENI YESU maisha yenu atawale kila kitu na mtoto akikua amche Mungu. BE BLESSED.

    ReplyDelete
  10. Kuna watu walisema umefuata makaratasi ulipotuhabarisha juu ya ndoa yako. Nafikiri wameona kuwa hakuna mchezo hapo 43yrs to come we will be talking of President BENEDIKTI. Watajuta kutufahamu

    ReplyDelete
  11. Hongera sema Michuzi ujuage pa kutumia "breaking news" sio unatarusha roho kwa vitu visivyohusu...

    ReplyDelete
  12. nikitazama hiyo picha nafahamu ni furaha kiasi gani mliyonayo.inapendeza sana...makulilo...hongereni sana

    ReplyDelete
  13. Duuh hiyo kali yaani kwa kuwa FULBRIGHT ilikusaidia sio lazima umpe mtoto jina hilo. Basi umpe na jingine US Embassy kwa kukupa VISA. hata hivyo Hongera

    ReplyDelete
  14. Hakikisheni anakuwa 'OBAMA' wetu mwaka 2058, na pia hongereni sana.

    ReplyDelete
  15. Watanzania mna majungu utadhani mnalipwa mshahara vile. Mara makaratasi,mara VISA.
    Nendeni basi na nyie mkapate makaratasi kama mnadhani kupata wa kumuoa ni rahisi. Hayo ni mapenzi na kupendana ndio maana wakafunga ndoa na kujenga familia. Tujuege na kupongeza sio majungu tu na wivu.
    HONGERA SANA MDAU na UENDELEE KUTUPA INFO ZA NAFASI MBALIMBALI ZA UGHAIBUNI

    ReplyDelete
  16. Duh Mkuu umekomaa na hicho kibibi! Bomba lakini huwezi jua bwana labda riziki yako Mungu kaiweka kwa kibibi na ya kibibi kaiweka kwako!

    Congratulations!

    PS: Kwa wadau wanaodhani haya ni majungu msikonde ni kawaida yetu wabongo kurushiana vijembe kwenye shughuli za kijamii kama vile akizaliwa mtoto, harusi, msiba, n.k.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...