NA ALEX KAJUMULO
HII NI TIMU YANGU YA WATOTO INAITWA FARASI NIMEANZA KUWAFUNDISHA MPIRA WAKIWA NA MIAKA TISA SASA HIVI WANA MIAKA 15 TOKA NIMEANZA KUWAFUNDISHA. NIMESHINDA MAKOMBE MATANO PAMOJA NA UBINGWA WA STATE LA WASHINGTON MARA MOJA.

TIMU YA WAVULANA AMBAYO INAITWA TEMBO IMESHINDA MAKOMBE MATATU NA UBINGWA WA STATE LA WASHINGTON MARA MOJA. KWA HIYO WATANZANIA WANAODHANI NIMEACHA MPIRA BADO MPIRA UPO KWENYE DAMU .

WATOTO WA TATU TOKA KWENYE TIMU YA FARASI WAMECHANGULIWA KU INGIA TIMU YA TAIFA YA WASICHANA WA MIAKA 17 USA NATIONAL TEAM. TIMU YA WASHICHANA NITAILETA TANZANIA JUNI MWAKA 2012.
OK PEOPLE ONE LOVE UNAWEZA KUANGALIA KWENYE WWW.KAJUMULOFC.ORG
NA HIZO UNIFOM NI NGUO ZA KAJUMULO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Alex kajumulo namkubali katika inititions of social activities,na ni vitu muhimu sana katika involved community,lakini kama mtanzania mwenzako ningependa hizo project ziwe zinanufaisha Tanzania kwa njia moja au nyingine,watanzania tunawahitaji watu wenye potential kama nyie katika fikra zenu na uhamasishaji,sisi ndio tutakaoinua nchi yetu,tujitahidini.
    Mdau Mzalendo

    ReplyDelete
  2. Huyu bingwa namkubali sana. Tunahitaji watu kama bingwa Kaju wenye moyo wa kweli na uzalendo wa kweli. Tukiwa nao kama 300 hivi dunia nzima itatutambua. hakuna watani wa jadi wala watani wa mila. Tutachanja mbuga kwa speed ya ajabu. Mungu ibariki Bongo.

    ReplyDelete
  3. Kajumulo ana visa jamani ati timu ya farasi mbavu zangu wee! any way big up!

    ReplyDelete
  4. ha ha haa,jamaa namkubali sana maana ana bidii ya kweli ya kuanzisha vitu.endeleza juhudi babu kaju.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...