Vyombo vya habari vya kimataifa navyo havijawa nyuma katika kuelezea yanayotokea Loliondo kwa Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Ambilikile Masapila (pichani kulia) na tiba yake.

Hapa ni vyombo viwili maarufu kwa habari za kimataifa, BBC na The New York Times na machapisho yao.



The New York Times wanaandika hivi:


He’s a sensation in two countries. He’s snarled traffic for miles. He’s so popular that people have literally died waiting in line to see him. Ambilikile Mwasapile, a 76-year-old retired pastor in rural Tanzania, has been offering a herbal concoction that he bills as a miracle potion that can cure just about any illness. In the past few weeks, tens of thousands of sick people have scrambled for a sip of his homebrewed drink. Some, apparently, have even flown in by helicopter.

On Monday, Tanzanian officials said that several dozen elderly and sick people had recently paid the price for joining the throngs.

“They died from the long queues,” said Isidore Shirima, a local official in Arusha, a town popular with tourists about six hours’ drive from the pastor’s village. “We’re not going to stop this, but we want to organize it better.”

Mr. Masapile, a former Lutheran preacher, lives in Samunge, a village in the middle of the savannah near the Kenya-Tanzania border. He began administering his miracle potion several months ago, and charges about 30 cents a cup. He says it can cure AIDS, cancer, diabetes, high blood pressure — you name it.

Click here to continue reading this story
.

BBC wanaandika hivi:

A Tanzanian pastor has asked people to stop going to his remote home for a "miracle cure" after thousands flocked there, causing chaos in the surrounding area. Rev. Ambilikile "Babu" Mwasapile, 76, says he does not want any new arrivals until after Friday 1 April, to let the crowds die down.

Local media report that about 52 people have died while waiting to see him. A BBC reporter says the queues to see him stretch for 26km (16 miles).

The concoction is made from herbs and water, which he sells for 500 Tanzanian shillings (30 cents; 20p).
Click here to continue reading this story.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Watanzania tu watu wa ajabu sana. Hatuwezi kufikiria objectively. Hatuna uwezo wa kuangalia ndege inavyoruka na kudadavua kuwa uwezo uwo ni kutokana na spidi ya ndege ikichanganywa na umbo la zile bawa - badala yake tunasema ni uchawi wa mzungu.

    Kwa nini serikali/ vyuo/ hospitali/ NGO etc zisifanye objective research kuhakiki uwezo wa kikombe. Ni rahisi sana;

    1. Ainisha mtu mwenye ugonjwa fulani *kwa kumpima, siyo kuuliza*
    2. Peleka akapate kikombe
    3. Hakiki kama kaponi *kwa kupima, siyo kuuliza*
    4. Tangaza matokeo

    ReplyDelete
  2. Mangi wa KiboshoMarch 31, 2011

    Babuuuuu!!!! unaigilizwa na Vibabu vingine, vibibi na vitoto kuwa navyo vinatoa kikombezzz!

    ReplyDelete
  3. Waandishi wa habari wa Tanzania mpo hapo au bado mnachapa usingizi wakati wenzenu wakenya wanapeleka ripoti all over the world??? Na watu wataambiwa to go see Babu the easiest way is through Kenya!!! wake up Tanzanians!!!

    ReplyDelete
  4. Mwandishi ni mpumbavu, alikuwa na lengo la kutuua kiaina. Hizo story mbili zimeandikwa na mtu mmoja ambaye lengo lake ni kututangaza sisi kama taifa la washirikina. Ameithibitisha dhana ya mafuriko kwa babu kwa kujenga hoja arround mauaji ya albino. Stupid!! Majirani are always not good.

    ReplyDelete
  5. "In Tanzania, so many people believe, for example, that the body parts of albinos carry good luck"
    That is from the NewYork times, its so wrong saying many Tanzanias believe tht body parts of albino carry good luck, Its the kind of journalism tht finds a clip of news and relate it to the whole society,hate western media for generalizing things like this, bad reporting!

    ReplyDelete
  6. Wao wanaandika kwa kutucheka maana tunatumia dawa isiyofuata taratibu za kisayansi. Sasa vijana wa kitanzania mnatakiwa mtumie elimu yenu sasa kuhakiki hii dawa kama kweli inatibu yaho maradhi. Mkichelewa mtakuta John Hopkins washaichukua zamani. Amkeni acheni malumbano.

    ReplyDelete
  7. Kwanza mdau wa hapo juu,
    Usiwatukane Watanzania eti hawana uwezo wa kufikiri, hayo ni matusi na dharau kubwa. Fikiria kabla hujazungumza.

    Na pia madau wa tatu hapo juu, usiwadharau waandishi wa habari kwamba wanalala. Usifikiri ile tunayoiana story kwetu basi itakuwa story kwa mataifa mengine hususani nchi za magharibi.
    Kwa uwazi ni kwamba vyombo vya kimataifa hususani magharibi mfano UK, mara nyingi havina interests na story za bongo, na hapo inabidi tuangalia historical background. Ona hata Documentaries nyingi wanakuja ku-film Tanzania mfano mbuga za wanyama, mara nyingi hawataji jina la Tanzania, na hivyo conclusion ya watazamaji wa ulaya wanachukuliwa hiyo ni Kenya. Kuna tatizo na vita hapa kaka. Sijui Tanzania iliwakosea nini enzi hizo.
    Tuchimbe hapo.

    ReplyDelete
  8. watanzania kama kawaida tunakuwa defensive bila sababu, mnabisha nini?

    hakuna watanzania wenzetu albino waliouawa? katika journalism hiyo ni background kuonyesha jinsi gani utamaduni wetu wakati mwingine si mzuri.

    why not link the two to show kwamba huu umati si bahati mbaya, lakini ni widespread use of imani iwe za kidini au kishirikina.

    ReplyDelete
  9. Hii dawa inafanya kazi. Waliokwisha pona ni wengi sana kiasi kwamba kama alivyosema Mwalimu nyerere wakati fulani, " Inadibidi uwe kama mwendawazimu kupinga" hii Tiba. Viongozi wote wamekunywa hii dawa na wengi wamejitokeza kusema wamepona ama kupata nafuu. Wanaoipinga hii dawa wana agenda nyingine.

    Kwanza cha kushangaza ni kwamba utapingaje kitu kilichokuja kukuletea manufaa wewe mwenyewe. Majirani zetu wanapinga kwa kutuonea wivu lakini watanzania mnapinga kwa manufaa ya nani.

    Watu waliopona na wengi lakini kwa nini wajitokeze kwa lengo la mabishano tu. Wale mnaopinga mmeshakataa kuamini hata ushahidi ukiletwa mbele yenu hamtaamini.

    Halafu tumeshapoteza lengo la mada. Manake sasa mada imekuwa ni kuwasadikisha ninyi John Mashaka, Mjengwa) na wengineo. Kwa nini mmetunyanganya initiative na sisi tumekuwa tunahangaika na tunakuna vichwa eti tuwapatie ninyi majibu ya kuridhisha.

    Hebyu kwendeni zenu huko, kama hamtaki dawa hamjalazimishwa kunya. sisi tuliopona tunashukuru Mungu na tumeridhika. ninyi kaeni na imani zenu.

    lA MWISHO NI KUWA HATA DECI ILIFANYIWA HUJUMA HIVI HIVI. DECI ILIKUWA NI MUUJIZA WETU KWA MASUALA YA KIPESA NA UCHUMI. MUNGU ALITULETEA DECI ITUOKOE WATU WA TANZANIA KIUCHUMI. LAKINI IKAHUJUMIWA NA HAWA VIONGOZI WA DINI WENYE ROHO MBAYA NA WAKASEMA IMETOKA KUZIMU KAMA WANAVYODAI BABU NAYE ETI SI MTUMISHI WA MUNGU.

    DECI ILIKOSA WATU WA KUISIMAMIA NA KUITETEA TU. KWA SABABU MPAKA SASA MAMILIONI YA JK HAYAJASAIDIA WATU KAMA ILIVYOFANYA DECI. MIKOPO YA BENKI IMESHINDWA KUSAIDIA WATU KABISAAA. MAASKOFU WENGI NA WAFANYAKAZI WEWNGI WA SERIKALI WALINUFAIKA SANA NA DECI. HATA BAADHI YA TAASISI ZILIJIUNGA NA DECI YAANI KAMA WANGEWASIKILIZA VIONGOZI WA DECI NA KUREKEBISHA MAKOSA DECI NAYO INGEKUWA KAMA DAWA YA BABU.

    WAPO VIONGOZI WA KIDINI MATAPELI LAKINI KWA SEHEMU KUBWA MUNGU ANAWATUMIA WACHUNGAJI KULETA NEEMA.

    MSIFANYE HARAKA KUWAHUKUMU WATUMISHI WA MUNGU.

    A REALIST,
    DAR ES SALAAM, TZ

    ReplyDelete
  10. Kaka michuzi hii ripoti haikuandikwa kwa kututangaza uwezo wetu wa kugundua dawa bali kwa kuonyesha ujinga wetu tulionao watanzania, mwandishi kaweka kuhusu mauaji ya maalbino ili na hiyo dawa ya babu watu waichukulie kama uchawi uliokuwa ukitumika kwa viungo vya ndugu zetu. mimi nipo queens college hapa NYC na baadhi ya walimu wangu wameipata hiyo ishu lakini wote wananieleza kwamba ni uchawi japokuwa nimejaribu kuwaelewesha lakini hakuna anaekubali maana hawa watu wakiishasoma au kuona kitu hasa kwao ndio wanaamini hivyo. USHAURI WANGU NI KUITOA TU HIYO POST MAANA IMETUPONDA SANA BADALA YA KUTUSIFIA, sikulaumu kwa kuipost maana ulifurahi kuona habari inatolewa na NYtimes

    ReplyDelete
  11. Aceni tuu hapo hilton hotel bongo kuna wazungu kibao wamefikia hapo wana safari y a kwenda loliondo... kikombe cha ukweli vingine vinajikongoja!

    ReplyDelete
  12. I'm just waiting for Jay Leno, David Letterman, Saturday Night Live & MAD TV to get ahold of this story. Yes, the stories do make it sound like Tanzanians have a strong belief in witchcraft. It's almost mocking us. Yet, the true underlying story is that people are desperate to be cured of their ailaments, they may have given up hope with conventional modern medicine.

    ReplyDelete
  13. Ndugu Zangu Ukimwi unatibika na dawa ni kuacha zinaa, lakini kwa wale ambao tumejikwaa tumaini lipo kwa YESU, angalia video hii ya watu walioombewa na Askofu Kakobe kwa jina la YESU KRISTO na wakapona kabisa, http://www.youtube.com/watch?v=pJwFICU0N0E

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...