Je, wataka kufahamu jinsi ya kutengeneza chapati maji za unga wa mchele na mchanganyiko wa choroko? Ama wataka kujifunza kutengenza biriyani ya kuku kwa njia ya kisasa? Basi usitie shaka. Chef Issa anarudi kwa kishindo kukueleza yote hayo na mengine kibao hatua kwa hatua
BOFYA HAPA


Chef Issa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Yammy yammy kijana ana rock

    ReplyDelete
  2. Chef Issa uko juu unatusaidia sana kinamama mola akupe nguvu na moyo huo huo wa imani ya kujitolea amiin.

    ReplyDelete
  3. Hi doing young dynamic Tanzanian Execative chef, we real proud of you brother keep up the spirit. Super inetrnation combnation of recipes. Your compitent with your profession.

    Good boy

    Netherland

    ReplyDelete
  4. We love you chef mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  5. Inatia raha sana kuona chef kijana kama wewe na unajivunia utaifa wako, mungu akulinde na uendelee kukua zaidi na zaidi katika fani yako.

    Tunamachef kibao watanzania wapo nje lakini hawan mchango wowote na fani hii hapa nyumbani sijui ni uchoyo wa elimu au uwezo mdogo au basi tu hakuna mwanga wa kuweza kuelimisha.

    familia nyingi sana zinafaidika na mafunzo yako ya bure na safi sana. kweli unaipenda fani yako na unaiweza kaza buti ufikie mbali zaidi.

    Mama Sam

    Greece

    ReplyDelete
  6. What a helpfull recipe chef, sikujua tunavichwa vya kitanzania baab kubwa katika fani hii adimu na adhimu. Big up and keep it up.

    Mdau

    USA

    ReplyDelete
  7. CULINARY CHAMBER THE PLACE TO BE, THIS IS LIKE MY HOME PAGE. THANK YOU SO MUCH CHEF KAZI NZURI SANA.

    MDAU MUNICH

    ReplyDelete
  8. Mdogo wangu hongera sana kwa juhudi unazozifanya za kutuelimisha jinsi ya kupika vitu mbalimbali.Mungu akusaidie uendelee zaidi ya hapo ulipofika sasa.

    ReplyDelete
  9. chef Issa Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mungu akubariki sana. Leta mapishi mengi tu hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...