Mwakilishi Mkazi na Kiongozi wa waumini wa dini ya kiislamu wa madhehebu ya Bohora, Shaikh Tayabali Patanwalla akikata keki yenye uzito wa tani moja kuashiria kutimiza miaka 100 ya kiongozi huyo, H.H. Dk. Syedna Mohammed Burhanuddin Saheb (TUS), wakati wa sherehe zilizofanyika kwenye Uwanja wa Annadil Burhani Dar es Salaam leo.
Waumini wa dini ya Kiislamu wa Madhehebu ya Bohora wakipita kwenye barabara ya Diamond Jubilee kwa maandamano kusherehekea miaka 100 ya kuzaliwa kwa kiongozi wao wa kiroho,H.H. Dk Syedna Mohammed Burhanuddin Saheb (TUS), Dar es Salaam . Kiongozi huyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Keki ina uzito wa tani moja?!! Kubwa kiasi gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...