Warembo wa Redd’s Miss Temeke na Kinondoni  wakichuana katika Bonanza la michezo kati ya wanahabari wanawake  na warembo wa kanda za Dar es Salaam lililofanyika  ufukwe wa Mbalamwezi Beach  jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na TBL. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
 Mchuano ukiendelea
Baadhi wa wanahabari  wanawake katika bonanza hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...