Mpiga kinanda wa muziki wa Mchiriku wa Jagwa Music group toka Mwananyamala Kisiwani Kwa Jolijo,  jijini Dar es salaam,  kikitumbuiza usiku wa kuamkia leo katika jijini Copenhagen, nchini  Denmark,  ambako wamepagawisha wapenzi wa muziki wa mchiriku isivyo kawaida. Karibu kila mwaka kundi hili hualikwa katika matamasha mbalimbnali ughaibuni. Wao hawana makuu, vvyombo vyao ni hicho kinanda, ngoma, filimbi na kiti cha kukalia ambacho hufanywa percussions. Wakianza hakuna anayebaki ameketi na wana uwezo wa kupiga muziki usiku kucha bila kuchoka
Add captionMwimbaji wa Jagwa akighani na kumfanya mshabiki ashindwe kujizuia
Mnenguaji wa Jagwa Music band ilibidi ashikiwe kiti
Mcheza show wa Jagwa akifanya vitu vyake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2011

    Nafikiri kama sikosei hiki kikundi ni cha Mwananyamala Kisiwani na si tandale. Hongera Jagwa kwa kuonyesha kwamba mchiriku si uhuni bali ni sehemu ya elimu na burudani.


    SINA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2011

    Hao ni wa M/nyamala kwa Jolijo sio Tandale

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2011

    Big up jagwa mnatupa raha na kutuwakilisha wapenda mmnanda kazeni buti mtayaona matunda

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2011

    mapromota wa USA mpo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...