Baadhi ya Viongozi wa Sekretarieti ya Mkoa na watendaji wa Wilaya mkoani Morogoro katika usikuvu wa elimu dhidi ya mapambano ya rushwa.
Katibu Mkuu Tamisemi, Hussein Katanga , akifafanua jambo kwenye ufungaji wa Kikao cha kazi cha Maofisa Elimu wa Mikoa na Wilaya za Morogoro
Mfanyabiashara wa maharage ,wa Chanjale , Gairo,akionesha magunia yake mengi ya mahinsdi mbele ya mkuu  wa Mkoa wa Morogoro, Mh.  Issa Machibya, ( suti nyeusi) aliyewatembelea. Hata hivyo wakulima wanalanguliwa gunia moja kwa sh 18,000 na wafanyabiashara ambao huenda kuuza kwa bei kubwa zaidi
Mzee wa Kata ya Chanjale, Tarafa ya Gairo, Wilaya mpya ya Gairo, akitoa kero zake wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya ( hayupo pochani) kuhusu barabara na elimu
Ofisa wa Dawati wa Elimu kwa Umma, wa Takukuru Mkoa wa Morogoro, Bi. Mercy Manyalika akitoa mada ya wajibu wa viongozi wa Mkoa wa Morogoro katika mapambano dhidi ya Rushwa
Mkuu wa Mkoa wa morogoro Mh. Issa Machibya akijichanganya na wahudhuriaji wengine waklatio ofisa wa Dawati wa Elimu kwa Umma, wa Takukuru Mkoa wa Morogoro, Mercy Manyalika akitoa mada ya wajibu wa viongozi wa Mkoa wa Morogoro katika mapambano dhidi ya Rushwa. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ukisema wafanyabiashara wanawalangua wakulima utakosea. Maana hiyo ni biashara, fanyabiashara inanunua kutoka kwa mkulima kijijini. Anasafirisha mpaka Dar, njia hujui kama gari litafika salama au vipi. Mpaka afikishe dukani gharama itaongezeka, aweke dukani mpaka auze naye anahitaji kula muda wote huo. Kama alinunua gunia 18,000. Mpaka likimfikia mlaji kununua litakuwa limeshapanda bei. Ndio maana biashara wanaweza kufanya watu wenye roho mbaya ya kuzaliwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...